Bi Harusi ashindwa kutembea, aona shimo na joka kubwa, ex wake adaiwa kumroga

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Stori ya kushangaza nchini Rwanda imetokea, Bi harusi aliyetambulika kwa jina la Nadine anadaiwa kurogwa na Ex wake ambaye walipendana kwa muda mrefu na ndiye aliyemsomesha.

Inaelezwa kuwa jamaa alikuwa akimgharamia kila mahitaji yake yote, alimnunulia gari, viwanja ila mwishowe Nadine akamuacha baada ya kupata mwanaume mwingine.

Kilichotokea ni kuwa siku ya ndoa yake na mwanaume mwingine Nadine akajikuta akishindwa kupiga hatua baada ya kuelezwa kuwa alikuwa akiona shimo mbele yake.

Ghafla akaanza kupiga kelele kwa kile alichodai anaona nyoka na shimo kubwa la kutisha.

Ilikuwa ni kilio kwa familia yake siku hiyo na kwa Bwana Harusi mpya. Harusi ilikuwa chungu kwao.

Watu waliokuwa wanalifahamu penzi hilo la zamani la Nadine na ex wake wanaeleza kuwa huenda Ex huyo ndiye aliyefanya mambo kutengeneza mauzauza hayo.

Duuuu! Kumbe Mwanamke anauma ehh!

01e78e5c-ff53-41c8-8c87-7de7727852d2.jpg

Saaly njoo huku uone mwenzio yaliyomkuta
 
Kuna mdada alirogwa na Ex wake kila akikojoa wanatoka ndege wengi. Sijui alimaliza vipi hili tatizo...Watu hawakubali kabisa kama hawapendwi🚶🚶
 
Kuna mdada alirogwa na Ex wake kila akikojoa wanatoka ndege wengi. Sijui alimaliza vipi hili tatizo...Watu hawakubali kabisa kama hawapendwi
Sio hawakubali, inshu ni Kula cha MTU kwa miaka na miaka alafu unapotea.

My Bro mmoja ni mjeshi. Alimsomesha mwanamke aliyekua kafel kidato cha nne, akamtafutia Shule binafsi,, dem akaanza kidato cha kwanza.

Jamaa akasomesha huku anahudumia nakwao demu

Demu mpaka naingia kufanya MD pale MUHAS .

Akiwa mwaka 4 ,demu anamwambia, nimepata Daktari mwenzangu ivo hatuendan ... Kademu kakamuacha kimasihara kabisaa

BRO NUSURA AJIUE, MSAADA WA AKINA MAMA ZETU NA MA BROO WENGINE KUMSHAURI ,Ili chukua miezi karibu 6 ,baadae ndio akaoa Mwanamke mwengine.

Haya, sio tu Pesa na Muda...embu fikiria uwekezaj wa hisia aloufanya kwa demu miaka yote hiyo akijua ndio anamuoa??

HAWA VIUMBE, MSIWAONEE HURUMA, AKIFANYA UJINGA, MTENDE UJINGA...

kuna wanaume wakipenda,wanapenda kweli kwa dhati hasa hawa( Good Boy).

Mambo ya kijinga jinga fanyia bad boys , na kwa Bahati mbaya, Dem anamtenda good boy, sababu ampe K bad boy.

Mimi naona. MFANYA UBAYA, HAKIKISHA NAWEWE UMEMFANYA APITIE YALE MAUMIVU MABAYA.
 
Back
Top Bottom