kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Neema kubwa yaanza kuonekana baada ya China kufunguliwa na kulegeza kanuni za UVIKO-19

    Mwaka mpya wa 2023 umekuwa mzuri na wa neema hapa nchini China kwani kuanzia tarehe 8 Januari milango yote ya China inafunguliwa na kuruhusu wageni na wenyeji kuingia na kutoka China, hii ikiwa ni hatua ya kulegeza kanuni zote za UVIKO-19, ambazo zilisababisha nchi kufungwa tangu virusi vya...
  2. A

    Unlimited bundles zinazowekwa kwenye taasisi kubwa (free Wi-Fi)

    Habari wana jamii forums poleni na majukumu, Mimi ni member Mpya na ni post yangu ya kwanza. Natamani kujifunza kitu kuhusu hili swala kwa wanaofahamu. Kwa Sasa gharama za bundle ziko juu sana karibu kila mtu anatafuta namna ya ku-solve au kutatua, wengi now days tunatumia kwa mawasiliano...
  3. Hili ni moja ya tatizo kubwa kwa vijana wanaojihusisha na siasa nchini

    Huwa nafuatilia sana, kusoma na kufuatilia mijadala na hoja nyingi zitolewazo na vijana wa vyama mbalimbali vya siasa nchini. Nimeona shida kubwa sana kwa vijana wetu ambao wengi wanaonekana dhahiri wanatamani kuwa na madaraka au nafasi kubwa ndani ya serikali. Shida iliyopo ni kwamba vijana...
  4. T

    Jambo kubwa linakuja mbele ya Taifa, ewe mtanzania fungua macho

    Sitaki kuandika sana ila kama ilivyo kawaida ya sisi waona mbali na wausia watanzania mlio nje ya Taifa na ndani fungue macho, jambo kubwa lina enda kutokea machoni pa Taifa ktk wakati hakuna angeweza kutarajia au kufikiri hivyo basi ni Maombi yangu na maombi yako yataliponya Taifa. Kama ni...
  5. Je, unajua Delta ya Rufiji ndio eneo zimezamishwa meli kubwa mbili za kivita za Ujerumani?

    Kwa nini walikuwa wamekuja huku na walikuwa karibu kufanya nini? Washambulizi wa Biashara Baada ya kuanza Vita vya Kwanza vya Dunia, Jeshi la Wanamaji la Kifalme la Ujerumani lilikuwa na manuari nne zilizowekwa katika sehemu mbali mbali za ulimwengu. Meli hizi za kivita zilikuwa tishio kubwa...
  6. Taja jambo lilikushangaza mwaka 2022

    Binafsi nilishanazwa na kushindwa kuzuia mgao wa maji na umeme pamoja na kuwa imepita miaka 61 ya uhuru na bado hatuna suluhisho kwani hata mwakani ukame ukija bado tutakosa maji na umeme. Wewe ni maajabu gani umeyaona mwaka 2022?
  7. B

    Adhabu ya kuchomeka milele kwenye ziwa la moto, mbona naona ni kubwa sana kuliko? Majini mliopo humu mnaionaje?

    Najiuliza sana hili fundisho lililopo Kwenye uislamu na ukristo la wenye dhambi kuchomwa milele kwenye moto wa jehanum, logically haliingii akilini. Kwasababu 1)Mungu anajua kila kitu, kama kabla ya kutuumba alijua kuwa baadhi ya binadamu na viumbe ntakaoumba wataniasi na ntawapeleka kwenye...
  8. Kuna siri kubwa iliyofichwa katika kuoga maji ya maporomoko ya Marangu

    Hakuna kuongea sana siri za kimungu zilizopo katika maji hayo ni za ajabu na zinastaajabisha ni mara 1000 zaidi ya maji ya upako, fanyeni hivyo mje kutoa ushuhuda hapa. Sina mengi, twendeni.
  9. Ifike hatua tukubali wahaya wana IQ kubwa sana

    Tusimung'unye mung'unye maneno. Kama ulikuwa makini kipindi unasoma, lazima uligundua kuwa kwenye kundi la wale wanafunzi smart darasani lazima mhaya alikuwepo. Ukiangalia % kubwa ya maprofesa bongo ni wahaya. Zile ndizi zina nini? Nadhani zile ndizi zinaongeza maji na IQ
  10. Mzee Mohamed: Tuna kazi kubwa sana kumuandaa kijana atakayefanana na Magufuli

    MZEE Mohammed Juma, Mkazi wa Unguja Zanzibar amesema kama Taifa tuna kazi kubwa sana kumuandaa kijana atakayefanana na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na alikubali lolote limfike lakini Tanzania isonge mbele. “Tuna kazi kubwa sana ya kumuandaa kijana atakayefanana na Magufuli, tuna kazi kubwa...
  11. Wataalam wa Majanga na Hatari kwa Mazingira ya sasa ya Tanganyika Packers Kawe yanaruhusu Tamasha Kubwa kufanyika?

    Kwa jinsi palivyo sasa Tanganyika Packers Kawe na Ujenzi unaoendelea, Kulivyobanana na hata Hali ya Usalama kuwa si nzuri nikisikia kuna Tamasha lolote lile linataka Kufanyika naanza kuingiwa / kujawa na Hofu Kubwa kuwa huenda Madhara Makubwa ( Vifo au Watu Kujeruhiwa ) kukatokea na baadae...
  12. TMA yatahadharisha mvua kubwa mikoa 11 Tanzania

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua kubwa zinazoweza kuleta madhara zinatarajiwa kunyesha katika mikoa 11 ya Tanzania. Mikoa hiyo ni Ruvuma, Njombe, Iringa, Morogoro, Mbeya, Songwe, Rukwa, Singida, Dodoma, Lindi na Mtwara. Katika taarifa iliyotolewa leo Desemba 27, 2022 na TMA...
  13. TMA yatoa angalizo ya mvua kubwa!

  14. Bila kuikataa na kuipinga hii CCM maisha ya Watanzania yatakuwa magumu na itakuwa ni janga kubwa

    Watanzania ni watu wa kujishughulisha. Wanapambana maana wanalima, wanafuga na kufanya ujasiriamali wa kila namna. Ila ukweli ni kuwa CCM haina sera na mipango madhubuti ya kiuchumi kuwanyanyua Watanzania. Ufisadi na ubadhirifu usiokemewa na kudhibitiwa huruudisha nyuma maendeleo ya...
  15. Kutokana na mvua hii Kubwa ya Dar es Salaam mechi ya Azam na Yanga itapigika kweli kwa Mkapa?

    Kama vile naona Uwanja utafurika Maji. Mvua hii Kubwa ya Dar es Salaam Kitapigika kweli leo kwa Mkapa Azam na Yanga?
  16. AIBU: Rais anazindua ujazaji maji Bwawa la JNHP taifa likiwa na mgao wa umeme huku mizengwe kibao ikiwekwa lisikamilike mapema

    ~ Nini kimesababisha bwawa la JHNP lisikamilike kwa wakati? ~ Kwanini aliyekuwa waziri wa nishati kabla ya kutumbuliwa alituhakikishia litakamilika june 2022. ~ Crane za mizengwe za January? ~ Kwanini hawataki kuondoa tatizo la umeme Tanzania? ~ Leo wananchi wengi hawakushuhudia huu uzinduzi...
  17. S

    Kashfa kubwa CCM Kilimanjaro

    Kashfa kubwa yaikumba CCM Kilimanjaro Uongozi wa chama cha mapinduzi ccm mkoa wa Kilimanjaro umeingia katika kashfa kubwa baada ya kusemekana ya kuwa imefungua akaunti ya siri isiyo rasmi ambayo inatumika kukusanyia michango ambayo inadaiwa kuingia mifukoni mwa baadhi ya viongozi wa chama...
  18. Hivi ndivyo meli kubwa ya kivita (Moskov) ilivyopigwa na Ukraine, japo mlisema sigara ndio chanzo cha ajali yake

    Ukraine wametoa taarifa walivyotumia kombora aina ya Neptune kuipiga meli kubwa ya kivita ya Urusi, yaani kombora moja tu, limeli lote chali, gharama yote hiyo, hasara yote hiyo, Mrusi bado anatumia mbinu za kitambo sana kupigana, anaacha meli muhimu inakua yenyewe huko baharini, siku hizi meli...
  19. Kutana na akili kubwa ya Rais Kagame, one of the best President, the dream of Africa

    Ninachojua ni kwamba Tanzania ingempata Rais Paul Kagame kwa mikakati yake na uwezo wake mkubwa wa akili basi naamini tungekuwa tunashindana na akina Qatar, Uae,Malaysia,South Africa huku tukianza kuwafukuzia akina Uingereza, Marekani, Ufaransa, Urusi, Ujerumani na Sweden ila imekuwa ni Kinyume...
  20. TRA wanatumia migambo kama 10 kwenye kafrem kadogo

    Msiwasikilize wanasiasa, TRA wanatumia migambo kama 10 kwenye kafrem kadogo. Natamani ku attach video ya cctv ila nahisi watanirudia waniite muhujumu uchumi. Jamaniii sijawahi shuhudia hiyo nguvu hata kama umekutwa unaiba kambi ya jeshi. Aiseeee jitahidi hawa jamaa wakija uwe una leseni, ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…