kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC acheni kucheza na Akili zetu, kwa huyu Kipa Mbrazili Jefferson Luis mmetutukana Tusi Kubwa Sisi Mashabiki wenu

    Siyo kwamba kila Siku GENTAMYCINE nikiwa Nawachokoza, Nawananga na Nawatania mno Watani zetu Yanga SC basi Kwetu huku ( Simba SC ) mkikosea nitawanyamazia. Huwa sina Unafiki na Upumbavu na ndivyo hata nilivyo Kiuhalisia wangu. Kama Kipa Ally Salim ( japo ana Mapungufu kadhaa ) ameweza Kudaka...
  2. JamiiForums Tanzania Sitokuja kusahau kilichotokea katika chama changu CHADEMA. Je, tuamini hayatojirudia tena?

    Binafsi tangu nimejiunga CHADEMA zaidi ya miaka 10 iliyopita nlikuwa nina imani sana na chama changu na nliamini ipo siku tutakuja chukua dola. Muda na chaguzi zilipita lakini hakuna kitu kilichoniumiza kichwa kama ghafla kumuona Lowassa anapeperusha bendera ya CHADEMA. Nlikumbuka sana...
  3. JamiiForums Tanzania Faida sita kubwa za kula ndizi mbivu na angalizo la kutokuweka ndizi kwenye friji

    Ndizi ina aina tatu za kipekee za sukari zinazojulikana kitaalamu kama Sucrose, Fructose na Glucose na pia ina kiasi kingi cha ufumwele (fibre), ambacho husaidia sana katika usagaji wa chakula tumboni. Pia, ndizi ina uwezo mkubwa wa kuongeza na kuimarisha nishati ya mwili. Unaweza kupata...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Jambo kubwa la Nchi lipo Kondoa

    Jambo lipo Kondoa. Mkutano Mkuu wa Jimbo kondoa Mgeni Rasmi Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ( Bara) Ndg. Abdulrahman Kinana. #VitendoVinaSauti #CCMImara #KaziIendelee
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini asilimia kubwa sana ya Waalimu hawamkubali Hayati Magufuli?

    Habari jf , Binafsi kwa nature ya kazi yangu ananifanya nakuwa karibu sana na watu wa aina mbalimbali lakini kuna kitu sijakuelewa. Asilimia kubwa ya Waalimu hawampendi hayati JPM Wanasheria na wanasiasa wanafuata Cha kushangaza wafanyabishara ambao ndio walibanwa sana ni wachache sana kuona...
  6. JamiiForums Tanzania Misiba mingi ya Wakristo ina gharama kubwa kuliko wengine

    Zama za leo ni tofauti kabisa na zama za mababu zetu. Ukisoma vitabu vya dini utagundua kuwa mazishi hayakuhitaji hata majeneza. Mfano Lazaro inaonesha alizikwa tu na sanda pasi na jeneza. Leo hii watu wanashindana hadi kwenye gharama za majeneza. Hivi kwanini basi majeneza yote yasiwe yenye...
  7. JamiiForums Tanzania Uelewa Mdogo wa Misingi na Maadili ya Uandishi wa Habari sababu kubwa ya kushuka kwa viwango vya tasnia hii

    Tasnia ya uandishi wa habari katika nchi zinazoendelea mfano Tanzania inakumbwa na changamoto nyingi ambazo zinatajwa kila siku mfano, citizen journalism ambayo imempa nafasi kila mtu kuweza kuhabarisha watu popote alipo kupitia simu yake ya mkononi. Ambapo kwa upande wangu Changamoto kubwa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Tume ya haki jinai kwanini inafanya vikao kwa speed kubwa hivi? Au ndio wanatekeleza mapendekezo?

    Tumewaona UDSM, jana walikuwa Ikulu na Kesho wapo Dodoma; wanawasilisha ripoti ile ile ambayo walitelekezwa wakae waweke utaratibu wa kuitekeleza. Je, ni kwamba Watanzania awakuielewa siku imewasilishwa? Je, kwa mfumo wa sasa katika joto la DP World wataielewa au tusubiri DP world ipate muafaka?
  9. JamiiForums Tanzania Picha: Reli ya gharama kubwa, ajabu, vichwa vya treni yenyewe vya ajabu ajabu

    Unajenga reli ya gharama kubwa, ajabu, unacholeta wala hakifanani! Haya, kichwa chenu hicho hapo.
  10. JamiiForums Tanzania Ripoti TCRA: Dar yaongoza kwa idadi kubwa ya Watumiaji wa huduma za Simu Tanzania

    Katika kipindi cha miaka 5 kumekuwa na ongezeko la Watumiaji 16,327,131 wa Huduma za Simu Nchini kutoka 47,685,232 mwaka 2019, sawa na 88% ya Idadi ya Watu hadi 64,088,651, sawa na 101.5% ya Idadi Watu Mikoa yenye Idadi kubwa ya Watumiaji wa Huduma za Simu Tanzania Bara ni Dar es Salaam...
  11. JamiiForums Tanzania Video: Nape alipoangua kilio hadharani jimboni kwake Mtama

    Sijajua ilikuaje hadi mheshimiwa akawa over-come na emotions huko kwao, sijajua ni super V.I.P treatment na heroic welcome aliyopipata huko kwao ukilinganisha na alivyokuwa treated Dar na kupuuziwa na mkubwa wake wa kazi au au ni remorse na guilty ya aliyoyafanya zamani au ni vipi.
  12. JamiiForums Tanzania Korea Kusini nchi yenye hifadhi kubwa ya silaha duniani wakataa kutoa silaha zaidi kwa Ukraine

    Raisi wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol ameondoka nchini Ukraine kurudi Seul baada ya kufanya ziara ya kustukiza akitokea Vilnius nchini Lithuania. Raisi huyo wa Korea Kaskazini alikuwa alihudhuria kikao cha NATO kilichokutana kujadili masuala mbaimbali likiwemo suala lla misaada zaidi kwa Ukraine...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa Maegesho na penati za Traffic imekuwa kero kubwa Dar es Salaam

    USHURU MAEGESHO + TRAFFIC PENALTY JIJINI DAR VIMEKUWA KERO KUBWA SANA Tunaomba wizara husika ziangalie upya hizi taratibu 1. Gari moja inaweza kuta ina madeni ya miaka hadi 3. 2. Kiwango ni kukubwa mno, madeni yasiolipika. 3. Inaturudisha kwenye tatizo la zamani la Motor Vehicle...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Nadhani kuhusu issue ya DP WORLD shida kubwa iko kwenye hizi 35% za wazawa

    Leo 14/7/2023 katika mkutano wa Wahariri na Viongozi wa wizara mbali na kuambiwa mikataba itakayo fuata ya kibiashara itakuwa ni SIRI iki maanisha kuna uwezekano tusije jua Ukomo wala Mapato baada ya hii IGA ,shida kubwa nliyoiona ni hii 35% hisa wazawa . Ni kwamba katika mikataba ya kibiashara...
  15. JamiiForums Tanzania Katika umri wa miaka 10 tu, kuna tofauti KUBWA SANA kati ya mtoto wa kiafrika na mtoto wa kizungu

    Nimeshangaa sana kusoma habari kwa millard Ayo eti mtoto wa miaka 8 huko kwa Obama ameiba Gari na amekimbizana na Polisi barabarani😂😂😂 At 8 years mtoto anajua driving? Ana control barabarani kabisa in busy roads? Huku Afrika huyu mtoto akitumwa dukani tu anakunjiwa elfu 10 kwenye karatasi...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa hisia kubwa, kwa uzoefu wako, eleza chanzo na suluhisho cha tatizo hili

    NB: Mzaha uwe kando, chukulia ndo madogo zako
  17. JamiiForums Tanzania Maxence Melo: "Machawa" sio wawakilishi wa Vijana

    Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums, Maxence Melo akiwa katika Maadhimisho ya Siku ya Mapambano dhidi ya Rushwa Afrika, yaliyofanyika Jijini Arusha, Tanzania amesema vijana wanaongoza katika mapambano ya rushwa na ni vema vijana wakashirikishwa katika maamuzi Akieleze mchango wa Vijana katika...
  18. JamiiForums Tanzania Mzee Butiku aigeuza Mwalimu Nyerere Foundation kutoka kuwa taasisi kubwa ya kimataifa mpaka level ya kikao Cha ukoo wa Nyerere. Ikabidhiwe UDSM

    Mwalimu Nyerere Foundation wakati inaanzishwa, ilikuwa na malengo makubwa sana. Ilivutia wafadhili, ilivutia serikali kuweka fedha. Na Kila mtu alitarajia kwamba itakuwa ndio kisima Cha mawazo ya kisiasa, kiuchumi, kijamii, kidiplomasia kwa Kila namna. Mwanzoni ilianza vizuri, kabla haijawekwa...
  19. JamiiForums Tanzania Hii nguvu si mchezo: Kitenge, Zembwela na Hando wapewa escort ya ving'ora Dubai

    Nani amefatilia Wasafi media leo asubuhi? Hawa watangazaji watatu tangu juzi wapo Dubai na wanajinasibu Kama ni wageni rasmi wa DP world kutoka Tanzania. Na wanapata escort ya ving'ora Kama wageni wa heshima. Leo walikuwa wanawahoji watanzania ambao wanafanya kazi hapo bandari ya Dubai...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania na Kenya zinaongoza kwa Kodi kubwa kwenye Mafuta Afrika Mashariki

    Kenya imejiunga na ligi ya nchi zinazokusanya ushuru wa juu zaidi wa mafuta na kuyapita mataifa makubwa kiuchumi kama vile Marekani na Afrika Kusini. Uchambuzi wa gazeti la Business Daily unaonesha kuwa ushuru nchini Kenya sasa unachukua asilimia 40 ya gharama ya kila lita ya Petroli ya juu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…