kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Juhudi kubwa zinafanywa kumgombanisha Lissu na Mbowe. Hamtafanikiwa. Ukweli hi huu

    Lissu yupo kwa vile Mbowe yupo and not the other way round! Kama si Mbowe kutokewa na Mungu kuwa msiende Muhimbili, Lisu ingelikuwa historia. Hivyo Lisu is because Mbowe was. Hivyo ujinga wenu utagonga mwamba
  2. Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Nimeonelea nianzishe hii section ili watu tuwe tunapeana maneno ya hekima. Huu ni mwanzo na ruksa kuendeleza thread (mada) hii ili mradi uwe umejisajili. You may use any of the two official languages, Swahili or English. Karibu +++++++++++++++++++++++++++++++++++++ If we don't change, we don't...
  3. Prof. Sospeter Muhongo Asisitiza Kilimo ni Biashara Kubwa sana Duniani

    MBUNGE PROF. SOSPETER MUHONGO ASISITIZA KILIMO NI BIASHARA KUBWA DUNIANI Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini Mhe. Prof Sospeter Muhongo wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Kilimo iliyosomwa Bungeni na Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe amesema Wizara ya Kilimo inalo jukumu kubwa...
  4. Kasi ya China kuendelea kukua kiuchumi duniani. Wamejenga mji mpya kabisa uitwao Xiongan ndani ya miaka 7 tu.

    Ilikuwa ni mwezi february mwaka 2015 raisi Xi alipotangaza maono yake ya kujenga mji mpya mkubwa nchini China. Michoro na mipango yote ikakamilika mwaka 2017 na miaka sita imepita China wamekuja na mradi mkubwa wa kujenga mji mpya kabisa kutoka ardhini yaani "from scratch". Mji huo utatiwa...
  5. Sio mbaya wanasimba wenzangu kombe letu la kufa kiume ni kubwa kulikuwa makombe yote

    Sisi wanasimba furaha yetu tulishazimaliza na kuwapongeza kwa mafanikio yetu ya msimu huu baada ya timu kutoka Morocco. Sisi kauli ni ile ile hatuwadai benchi la ufundi, hatuwadai wachezaji na hatuwadai viongozi hakika malengo yetu ya msimu tumefanikiwa. Tuna kombe la robo fainali, kombe la kufa...
  6. Ipi ni changamoto kubwa katika maeneo haya Jijini Dar es Salaam? Mengine yanaogopwa

    Tuweze kushare uzoefu wa maisha maeneo haya kwa wale ambao wamewahi kuishi. Kwa upande wa mambo ya usalama, maadili, madili, utulivu, makuzi, tabia n.k. Wadau wanaweza toa uzoefu wao katika upande wa umalaya, matumizi ya Bangi/Maddawa ya kulevya, uhalifu, mapenzi ya jinsia moja, ubakaji na...
  7. Gharama kubwa za uchapishaji wa stika za vinywaji za TRA chanzo bei kubwa za vinywaji nchini

    Wazalishaji wa vinywaji vikali na baridi Tanzania wanalipa zaidi ya shilingi bilioni 100 kwa mwaka kwa hizi stempu. Kampuni inayolipwa ni kutoka Ulaya (Uswisi) inaitwa SICPA. Hizi gharama ni kubwa ukilinganisha na nchi majirani, mfano Zambia ni robo ya hii bei. TRA wameshauriwa sana kwamba...
  8. L

    China ina matarajio mazuri ya ukuaji wa kiuchumi licha ya kupoteza nafasi yake kama nchi yenye idadi kubwa ya watu duniani

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ya Uzazi na Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) limesema kuwa idadi ya watu nchini India itakapofika katikati ya mwaka huu, inakadiriwa kuwa bilioni 1.4286, na kuifanya India kuwa nchi yenye watu wengi zaidi duniani. Kwa mara ya kwanza, mwaka jana, China ilirekodi...
  9. Luhaga Mpina, songa mbele, kichwa chako umekijaza maarifa na akili kubwa, elimu yako unaitendea haki. Wapuuze hao wabunge vilaza

    Niliwahi andika humu, kua Dunia nzima utazunguka lakini Tanzania pekee ndio Utakutana na Bunge lenye wabunge wajinga wajinga Kwa kiwango kikubwa. Wabunge wa Tanzania, Kwa ukilaza wao, Uwezo Mdogo wa akili, kushindwa kufatilia masuala nyeti, wamejikuta wanamshangaa tu Mpina. Mbunge hajui hata...
  10. B

    Simba kuukatia tamaa ubingwa ni kosa kubwa sana

    Kuanzia kikosi alochopanga kocha hadi uchezaji na hatimae draw ni dhahiri Simba walikuwa wameshakata tamaa ya ubingwa mwaka huu 2023. Hili ni kosa kubwa sn wamefanya. Hata mwaka jana walikata tamaa mapema na kumalizia mechi zao ilimradi kwa kutoa sare nk bila kujua kuwa hata wapinzani wao...
  11. Kuna tofauti kubwa kati ya Masaki niliyoishi mimi na Masaki ya leo

    Kwanza kabisa naomba mnisamehe kama Uzi wangu unaofanania na kudhihaki ila hii si shabaha yangu!Shabaha yangu kubwa ni kutoa taswira ya namna mabadiliko ya matumizi ya ardhi ya maeneo husika yalivyotofautiana sana na mpango wa awali wa matumizi ya ardhi ya maeneo hayo kabla; Enzi hizo wakati...
  12. Swali fikirishi: Je, tunahitaji idadi kubwa ya watu ili kujikwamua kiuchumi au tunahitaji watu wenye tija kwenye uchumi wetu?

    Angalizo: Mada hii haiwahusu wenye mtizamo wa kuijaza dunia katika mtizamo wa imani za dini. Wakuu, bila kuwachosha naingia moja kwa moja kwenye mada. Kwanza, nikiri wazi kuwa mie si mtaalamu wa uchumi, bali ni mdau wa mambo fikirishi tu. Nimekuwa nikisoma baadhi ya maoni ya watu wakisema eti...
  13. D

    Aliyekuwa anakupeleka hotels kubwa na adventures ndio huyo huyo akuoe, tusipeane stress ukubwani

    Simple as that. Tusilaumiane . Watu tunaoa tulio kuwa nao. Enzi hatuna kitu, and we still don't have enough , they still love and support us to this day. Mtu anashinda hotelini, Anashituka 30s analalamika amna mtu wakumuoa. Aliyekuwa nakupeleka expensive hotels akuoe. Simple don't stress...
  14. Simba ni timu kubwa sana Yanga wasubiri

    Check hao wafutiliaji wa michezo ya Simba na Yanga kimataifa Yanga anajaribu kujilijganisha na Simba lakini bado sana nasema bado sana. Huo ndo ukweli wenyewe, huwezi kuwa na timu Bora kimataifa yenye mfungaji mmoja kazeni boot. Mapovu ruksa mvimbe mpasuke na mwiko wenu huko nyuma
  15. U

    Tukubali au tukatae, lipo tatizo kubwa sana katika sekta ya nishati ya umeme hapa nchini kwetu Tanzania

    Hili la umeme kwangu mimi Uzima Tele ndilo pekee hunifanya nimkumbuke kwa uzuri hayati Rais John P. Magufuli kuwa alifanya vyema chini ya u - Rais wake. Honestly, katika kipindi cha uongozi wake ni kama aliona tatizo lilipokuwa, akachukua hatua na kulidhibiti na kukawa na hali ya utulivu ya...
  16. Aibu kubwa kwa Taifa taa za uwanja wa Benjamini Mkapa kuzimika mechi ikiwa inaendelea

    Nashangaa sana katika hili taifa mwanzo walisema Kuna mtu/kibaka alifanya hujuma akakamatwa Sasa leo Tena ni Nini? Halafu tunaomba kuandaa afcon kwa hali hii tutakubaliwa kuandaa mashindano ya afcon?? Ni aibu kubwa kwa KWELI/tunaaibika kimataifa. ---
  17. Simba SC ilivyotolewa Juzi mliicheka je, ni lini mtaanza Kuwacheka Timu Kubwa Raja Casablanca FC nayo kwa Kutolewa?

    Na ndiyo maana wenye Akili kwa Kuujua Ugumu wa Kombe husika ( CAFCL ) na hatua ambayo Simba SC imefikia na kwa Kufa Kiume Juzi kwa Wydad Casablanca FC mpaka Waarabu wanaacha Kushangilia Wanasali na Kulia tunasema hatuna Deni na Wachezaji wa Simba SC hadi Kocha na Benchi lake lote la Ufundi...
  18. Akili kubwa: The Israeli plan to fit a fusion reactor into a container

    From the outside it looks like an ordinary warehouse. But inside this unassuming building, in Hod Hasharon central Israel, is one of the most ambitious energy projects in the Middle East, Researchers at NT-Tao have joined an elite group of around 35 private start-ups that are trying to build a...
  19. Kwanini Yanga SC imetumia Nguvu Kubwa na Kujiandaa Kupitiliza kwa Mechi ya Rivers United FC wakati kwa 99% Wameshafuzu?

    Nimeshuhudia Maandalizi mengi ya Klabu ya Yanga hasa ikicheza Michuano ya Kimataifa ila sijawahi kuyaona Maandalizi haya Kabambe na Kufuru yaliyofanywa kuelekea Mechi yao ya Marudiano na Rivers United FC Kesho Mkapa Stadium. Hata hivyo Wenye Akili tunajua baada ya Yanga SC Kushinda Ugenini (...
  20. Sikutegemea ningepewa Heshima kubwa kama hii humu JF. Medal hii nitakuja waonesha wajukuu zangu

    Mwandishi na mchangiaji mtulivu asiye na makeke, hata umchokoze vipi anatabasamu anakuita tu Mkuu.... Mpaka unajisikia aibu. Alilelewa vizuri na wazazi wake akashika maagizo yao. Msomi wa kiwango cha juu wa shahada ya Ustahimivu. Na elimu kwa ngazi ya PhD kwenye suala la mahusiano na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…