Prof. Sospeter Muhongo Asisitiza Kilimo ni Biashara Kubwa sana Duniani

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,897
941

MBUNGE PROF. SOSPETER MUHONGO ASISITIZA KILIMO NI BIASHARA KUBWA DUNIANI

Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini Mhe. Prof Sospeter Muhongo wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Kilimo iliyosomwa Bungeni na Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe amesema Wizara ya Kilimo inalo jukumu kubwa sana kuhakikisha uchumi wa Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ukue kwa haraka sana (Accelerated Growth)

"Mijadala yetu ni kutayarisha Wizara ya Kilimo iweze kutoa mchango wa ukuaji uchumi wetu Kitaifa utakaotufikisha asilimia 8 mpaka 10. Wizara inalo jukumu la kutuhakikishia chakula kipo, Ajira inapatikana, ustawi wa jamii na kuongeza pato la Taifa" - Prof Sospeter Muhongo

"Wizara ya Kilimo inakuja vizuri. Kuna Mabadiliko, Maboresho na Ubunifu. Naweka msisitizo wa mabadiliko na ubunifu anaoufanya ili Kilimo chetu kiweze kuwa na tija kubwa ni lazima kwanza tuwekeze kwa nguvu zote kwenye kilimo cha umwagiliaji" - Prof Sospeter Muhongo

"Takwimu za Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa (FAO) zinaonesha kwamba, mfano, Mahindi ukitumia mvua tunayoitegemea kwa Hekari moja utavuna Tani 1 mpaka Tani 2.7 ila ukienda kwenye umwagiliaji ni kati ya Tani 6 mpaka Tani 7. Namibia ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฆ wameweza kuvuna mpaka Tani 11" - Prof Sospeter Muhongo

"Ngano, kwa Mvua za kudra ya Mwenyezi Mungu unapata Tani 4 mpaka Tani 5 kwa Hekari moja lakini ukitumia Kilimo cha umwagiliaji unaenda Tani 8 mpaka Tani 10. Kwa hiyo Maboresho makubwa yaende kwenye umwagiliaji" - Prof Sospeter Muhongo

"Zana za Kilimo (Farm Implements). Duniani tuna Trekta Milioni 16, mfano mzuri wa Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ kuiga ni Nchi ya India ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ. Mwaka 1961 kwa Hekari 1000 India ilikuwa na Trekta 0.19, Mwaka 2000 kwa Hekari 1000 India ilikuwa na Trekta 9. Sasa hivi wana Trekta 14 kwa Hekari 1,000" - Prof Sospeter Muhongo

"Wizara ya Kilimo ipige mahesabu yenyewe kwa Hekari zetu tunazolima tunazo Trekta ngapi. India kwenye Jimbo la Pjamu linalolima sana kwenye Hekari 1,000 wana Trekta 82" - Prof Sospeter Muhongo

"Mbolea ikiwemo Samadi: Wataalam wa Kilimo na Wakemia wamepiga hesabu ukichukua Tani moja ya Mahindi ukalima ukaivuna unachotoa ndani ya Ardhi, unachopoteza ni 25Kg za Nitrojeni, 20Kg za Potassium, 5Kg za Phosphorus" - Prof Sospeter Muhongo

"Utumizi wa Mbolea ni muhimu sana. Hekari moja unapaswa kutumia Mbolea ili urudishe urutubisho unahitaji 100Kg uongeze Nitrojeni, 100Kg uongeze Potassium Oxide na 280Kg Phosphorus Pentoxide" - Prof Sospeter Muhongo

"Mbegu bora, ni biashara kubwa sana Duniani, sasa hivi inagharimu karibu Dola za Marekani Milioni 70 biashara ya Mbegu. Kwahiyo tuwekeze huko" - Prof Sospeter Muhongo

"Musoma Vijijini na Mkoa wa Mara tunaunga mkono hoja ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa sababu tuna Mabonde Sita Mkoa wa Mara yamewekwa kwenye bajeti; Musoma Vijijini kuna Mabonde Mawili, bonde la Bugwema, bonde la Suguti na Wanyere. Ninaomba Consultancy waende haraka tuanze Kilimo cha umwagiliaji" - Prof Sospeter Muhongo

"Mahitaji ya Chakula Duniani (Global Food Demands Projection); Mwaka 2030 tutahitaji Tani Bilioni 10 za Chakula, Mwaka 2050 tutahitaji Tani Bilioni 15 za Chakula. Kwahiyo Kilimo ni biashara" - Prof Sospeter Muhongo

"Mahindi, mwaka 2021 wauzaji wakubwa namba moja ni Marekani amefanya biashara ya dola Bilioni 18.8. Wa tatu ni Ukraine ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ amefanya biashara ya dola Bilioni 5.8. Mwaka 2022 makisio ni kwamba Mahindi yatahitajika ni Tani Bilioni 1.07. Je, Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ tutauza?" - Prof Sospeter Muhongo

"Afrika wazalishaji na wauzaji wakubwa wa Mahindi ni Nigeria ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ, Afrika Kusini (SA), Misri, Ethiopia ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡น. Wizara ijitahdi angalau ifukuzane na Nigeria kuzalisha Tani karibu Milioni 35" - Prof. Sospeter Muhongo

"Mpunga (Rice) asilimia 50 ya watu Duniani ambao ni Bilioni 8 wanatumia Mchele kama chakula kikuu kila siku. Mwaka 2022 thamani yake ilikuwa karibu Bilioni 300, wazalishaji wakubwa ni China ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ ambayo mbali na kuzalisha ila bado inanunua kutoka nje" - Prof Sospeter Muhongo

"Kilimo chetu Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Wizara yenye dhamana itusaidie kwenye kila Hekari moja tuvune kati ya Tani 3 mpaka Tani 6 na tukilima vizuri zaidi tuvuke zaidi ya Tani 10 kwa Hekari moja" - Prof Sospeter Muhongo

"Biashara nyingine kubwa Duniani ya Kilimo ya Mazao ni Ngano, tuko watu Bilioni 8 Duniani na watu Bilioni 3 kila siku wanatumia Ngano kama chakula. Mwaka 2020 Biashara ya Ngano ilikuwa ya dola Bilioni 155. Inategemewa Mwaka 2028 itafika dola Bilioni 211" - Prof Sospeter Muhongo

"Wanunuaji wakubwa; Misri ananunua karibu dola Bilioni 5 kwa mwezi, Nigeria ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ, Indonesia ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฉ, China ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ na Taki wananunua Tani karibu Bilioni 5" - Prof Sospeter Muhongo

"Misri, China, na Uturuki tumewapa miradi hapa Tanzania lakini kumbe wananunua Ngano. Na sisi tuwauzie Ngano ili angalau na sisi turudisherudishe kidogo" - Prof Sospeter Muhongo

"Biashara ya Mihogo mwaka 2022 ilifika karibu Tani Milioni 280. Asilimia 70 ya Mihogo Duniani inazalishwa na nchi Tano; Nigeria, Brazil ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท, Thailand ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ญ, Indonesia ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฉ na nchi ya Congo" - Prof Sospeter Muhongo

"Nigeria ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ inazalisha Mihogo kwa mwaka Tani Milioni 60. Tanzania tuliombwa tupeleke Mihogo China hata Tani Milioni moja hatukupata. Nigeria inazalisha kwa Hekari moja Tani 16." - Prof Sospeter Muhongo

"Wanunuzi wakubwa wa Mihogo Duniani ni China ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ ambayo inatumia dola Bilioni 2.2. Marekani Milioni 150, Japan ๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ต Milioni 62. Wizara ya Kilimo wekeni mkazo kwenye Kilimo cha Mihogo kwa sababu Wanunuzi wapo" - Prof Sospeter Muhongo

"Biashara ya Maua Duniani, mwaka 2022 ukubwa wake ulikuwa wa Bilioni 36.5. Mwaka 2027 Biashara ya Maua itafika karibu Bilioni 45.5" - Prof Sospeter Muhongo

"Wazalishaji wakubwa wa Maua Duniani ni Uholanzi, Colombia ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ด, Ecuador ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡จ, Kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช inauza Maua Milioni 766, Ethiopia ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡น inauza Maua Milioni 35" - Prof Sospeter Muhongo
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2023-05-09 at 15.08.30.jpeg
    WhatsApp Image 2023-05-09 at 15.08.30.jpeg
    47.1 KB · Views: 17
  • WhatsApp Image 2023-05-09 at 15.08.33(2).jpeg
    WhatsApp Image 2023-05-09 at 15.08.33(2).jpeg
    33.7 KB · Views: 16
  • WhatsApp Image 2023-05-09 at 15.08.32(1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-05-09 at 15.08.32(1).jpeg
    53.6 KB · Views: 17

Duuh anadata!
 
๐Ÿ™
 
Alishaachana na masuala ya umeme? Na yale ya madini?
 
Yeye amelima mashamba mangapi?
 
Wanunuzi wakubwa wa Mihogo Duniani ni China ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ ambayo inatumia dola Bilioni 2.2. Marekani Milioni 150, Japan ๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ต Milioni 62. Wizara ya Kilimo wekeni mkazo kwenye Kilimo cha Mihogo kwa sababu Wanunuzi wapo" - Prof Sospeter Muhongo
Huyu jamaa alitwambia Gesi ya Lindi na Mtwara tutazalisha Megawatt 10,000 na tutauza Umeme hadi Ethiopia, Rwanda na Kenya.
 
Back
Top Bottom