kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Mufti afungua rasmi dua kubwa ya kimataifa

    Hatimaye siku adhimu na tukio muhimu, nyeti na lenye kupendeza kwa Allah na mtume wake, Muda wa kuanza dua kubwa umewadia. Samaha Mufti wa Tanzania, Mujaddidul Asri, amefungua Dua Kubwa ya Kimataifa leo Alhamisi Alfajiri kwenye msikiti mkuu Bakwata makao makuu, msikiti wa Mfalme Mohammed...
  2. JamiiForums Tanzania Sehemu kubwa ya dunia hawafanyi tohara, wanatumia toilet paper, tembea uone

    Ukikaa sehemu moja, unaweza sema dunia iko hivyo. Hapana dunia haiko hivyo. Ukweli ni kwamba sehemu kubwa ya dunia wanatumia toilet paper na wanaume hawafanyi tohara. Asia, Europe, America, Pacific, Australia ni mwendo wa toilet paper na wanaume wengi hawajafanya tohara. Mambo ya tohara yapo...
  3. JamiiForums Tanzania Raia 10,000, wataalamu 140

    Israel ni taifa lenye maendeleo makubwa na uchumi mkubwa as per capita income kuliko mataifa yote middle East Ni taifa tena lenye technologia kubwa pale middle East Ni taifa lililopiga hatua kubwa Sana kwenye technologia ya kilimo, anga za juu, uchakaji wa madini, utaalamu wa mambo ya computer...
  4. JamiiForums Tanzania Ndege kubwa ya abiria ya C919 yashiriki kwenye Maonesho ya Ndege ya Singapore

    Ndege kubwa ya abiria ya C919 ya China hivi karibuni iliwasili nchini Singapore ili kushiriki kwenye Maonyesho ya Ndege ya Singapore ya mwaka 2024 yanayofanyika siku hizi. Hii ni mara ya kwanza kwa ndege kubwa aina ya C919 ya COMAC inayozalishwa nchini kuonekana nje ya nchi. Hali hii inaonesha...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Mtu akifika miaka 90+ hakuna haja ya kuomboleza kwa huzuni, ni baraka kubwa sana kwa mtu kuweza kuishi maisha marefu, cherish it

    Kila mtu aliezaliwa kasainishwa mkataba wa kurudi chini ya ardhi, hio ni utake usitake kila mtu ana siku yake inamngoja arudi huko. Lakini kuna watu wamebahatika kuishi mpaka miaka 90 huku kuna wengi wanakufa wakiwa vijana wadogo wanaoziacha familia zao ambazo bado zinawahitaji. kwa mtu mwenye...
  6. JamiiForums Tanzania Ni dawa gani niitumie kutibu uvimbe kwenye haja kubwa

    Niende moja kwa moja kwenye mada. Wakuu ni dawa gani inaweza kutibu viuvimbe na vidonda sehemu ya haja kubwa,na wakati wa kujisaidia damu inamwagika na maumivu makali, pia vinawasha sana. Ni dawa gani ninunue dukani inayoweza kunisaidia.
  7. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Taasisi za serikali na taasisi kubwa za binafsi acheni kuwadumaza na kuwarudisha kwenye umaskini wajasiriamali wadogo

    Kuna mambo yanaendelea kwenye nchi hii yanaonekana madogo lakini kadiri siku zinavyoenda yanaweza leta shida. Wote tunajua nchi yetu kama zilivyo nchi nyingi duniani ina uhaba mkubwa wa ajira. Tofauti na nchi kama China ni kuwa nchi karibu zote za Afrika zinaenda kuwa na tatizo kubwa zaidi...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kusafirisha mizigo kutoka Kigoma kwenda Kampala

    Hi wanajamii, Nahitaji usafiri wa haya magari makubwa nataka kuchukua mzigo kutoka Kigoma kupeleka Kampala...
  9. JamiiForums Tanzania Ruvu: Kuna foleni Kubwa Barabara ya Morogoro

    Kuna foleni kubwa sana, magari hayaendi haijulikani ni ajali naona wanajeshi wamekuja kuingilia kati kuongoza magari Kuna muhimu sana kwa Serekali kupanua sasa hii Barabara
  10. JamiiForums Tanzania Nguvu kubwa imetumika kuwapiga Houth na hakuna kilichobdilika. Vita enzi hizi ni ngumu kushinda

    Siku ya mwanzo Marekani na Uiengereza walipoanza kushambulia Houth kule Yemen maeneo karibu 85 ya Houth tuliambiwa yamepigwa na picha za moshi ukifuka tukarushiwa. Kuna watu walijua Houth imeisha lakini siku iliyofuata Yahya Sarea akatoa tangazo kulenga meli nyengine na watu hawakuamini. Baada...
  11. JamiiForums Tanzania Kinachofichwa ni hiki, umeme ni tatizo kubwa kuliko tunavyoambiwa

    Haijulikani sababu hasa ya Shida ya umeme kuwa kubwa kiasi hiki , ila sasa ni dhahiri ni tatizo kubwa sana . Dar es salaam ni kama raia wamezoea shida hiyo, huko Mbeya, wilaya ya Kyela kimsingi ni kama umeme haupo, tangu ulivyokatika saa 11 alfajiri, hadi muda huu haujarejeshwa.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Anaetoa assist ya goli na mfungaji, yupi hufanya kazi kubwa?

    Katika soka, mfungaji wa goli mara nyingi ndio humiminiwa sifa na kuonekana ni bora, ila ukweli wanaotoa assist mara nyingi ndio hufanya kazi kubwa kumfikishia mpira mfungaji ila anaesifiwa siku zote ni huyo mfungaji. Swali ni je, wewe kwa mtazamo wako, nani hufanya kazi kubwa kati ya...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya uchafu Soko la Mbogamboga na Matunda ni kubwa Dodoma

    Hali ya mazingira katika Soko la Mbogamboga na Matunda Sabasaba ni mbaya, eneo la kuingia sokoni hapo limejaa maji na taka nyingi zimerundikwa hapo. Kama mamlaka husika hazitashughulikia jambo kuna uwezekano mkubwa wa wafanyabiashara na wateja wanaotembelea soko hilo wakakumbwa na magonjwa ya...
  14. JamiiForums Tanzania Riba za Mabenki kwa Watumishi wa Umma na Sekta Rasmi ni Kubwa Sana, Serikali Iangalie Namna ya Kupunguza Riba kwa Watumishi

    MBUNGE ZAYTUN SWAI: Riba za Mabenki kwa Watumishi wa Umma na Sekta Rasmi ni Kubwa Sana, Serikali Iangalie Namna ya Kupunguza Riba kwa Watumishi "Naomba kutoa pole kwa watanzania wakiwemo wananchi wenzangu wa Mkoa wa Arusha hususani Jimbo la Monduli kwa kuondokewa na mpendwa wetu Waziri Mkuu...
  15. JamiiForums Tanzania Fredrick Lowassa: Kama sio Rais Samia, Baba asingefika juzi

    "Baba ni mpambanaji alipambana sana mpaka dakika ya mwisho lakini kwa yaliyotokea tunasema ni kazi ya Mungu na kama familia tulipokea kwa amani kabisa, tunasema acha baba apumzike" "Lakini katika vita yake hii ya kupigania maisha yake lazima niseme kipekee naomba sana kutoa shukrani za familia...
  16. JamiiForums Tanzania Abiria wanapanga foleni lakini bado changamoto ya Mwendokasi ni kubwa

    Mbali na kuwa na utaratibu wa kupanga foleni lakini bado usafiri wa Mwendokasi Kituo cha Mbezi Luis Dar es Salaam bado ni changamoto sana, sijui nini kifanyike kwa kweli? Nimepita nikaona watu wanavyopambana na kugombania kuingia kwenye usafiri hadi huruma.
  17. JamiiForums Tanzania Je, jeshini na vyuoni ndio sehemu kubwa za kuleta teknolojia mpya kwa nchi?

    Jeshi na vyuo vikuu vinaweza kuchangia katika kuleta na kukuza teknolojia mpya kwa nchi, lakini ni muhimu kutambua kwamba sehemu zingine za jamii na sekta zinaweza pia kuchangia kwa njia kubwa. Hapa kuna jinsi ambavyo jeshi na vyuo vikuu vinaweza kuwa sehemu muhimu ya kuleta teknolojia mpya...
  18. JamiiForums Tanzania Kinachowafanya wapinzani wasihangaike kuonesha wanafaa kushika uongozi ni sababu Makonda anawasafishia njia

    Friends and our Enemies, kindly go and listen the beautiful song of the late Lucky Dube ''Reap just like you sow''. Move ya wapinzani kuingia barabarani na kuandamana kwa Amani huku wakipewa ulinzi na vyombo na Dola kwa kiasi kikubwa imeonekana kama ni pigo kwao na ushindi Kwa CCM kwa kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Uwakala wa crypto una faida kubwa na huduma zisizohitaji ofisi

    Mimi ni trader wa forex katika soko la gold ambayo pear XAUUSD niliyoingia nayo ilinipa kama usd 7700 kwa lot size 20 kipindi cha nyuma mwaka 2021. Kipindi cha nyuma kutrans pesa kufika kwenye nchi yetu ilikuwa changamoto hata wengine ilifikia pesa zao kuzuiwa na benki nyingi au kuletewa...
  20. D

    JamiiForums Tanzania PJ na Hando ni watangazaji wenye I.Q kubwa sana

    Aise kwangu mimi PJ kutoka clouds FM na Gerald Hando kutoka Wasafi Media hawa watu huchoki kuwasikiliza wana madini, ● Wazuri katika uwasilishaji wa mambo magumu katika lugha rahisi ● Wachambuzi wazuri hasa wa habari ngumu za kisiasa ● Pia wana kaliba km ya uongozi hivi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…