Picha ya foleni iko wapi mkuu?Kuna foleni kubwa sana, magari hayaendi haijulikani ni ajali naona wanajeshi wamekuja kuingilia kati kuongoza magari
Kuna muhimu sana kwa Serekali kupanua sasa hii Barabara
Kuna umuhimu traffic police waachiwe kitengo cha kupokea rushwa na kusimamia usalama barabarani iwe section ndani ya JWTZKuna foleni kubwa sana, magari hayaendi haijulikani ni ajali naona wanajeshi wamekuja kuingilia kati kuongoza magari
Kuna muhimu sana kwa Serekali kupanua sasa hii Barabara
Kuna foleni kubwa sana, magari hayaendi haijulikani ni ajali naona wanajeshi wamekuja kuingilia kati kuongoza magari
Kuna muhimu sana kwa Serekali kupanua sasa hii Barabara
Kuelekea Chalinze au Kibaha?Kuna foleni kubwa sana, magari hayaendi haijulikani ni ajali naona wanajeshi wamekuja kuingilia kati kuongoza magari
Kuna muhimu sana kwa Serekali kupanua sasa hii Barabara