Sehemu kubwa ya dunia hawafanyi tohara, wanatumia toilet paper, tembea uone

ward41

JF-Expert Member
Apr 3, 2022
397
1,396
Ukikaa sehemu moja, unaweza sema dunia iko hivyo. Hapana dunia haiko hivyo.

Ukweli ni kwamba sehemu kubwa ya dunia wanatumia toilet paper na wanaume hawafanyi tohara.

Asia, Europe, America, Pacific, Australia ni mwendo wa toilet paper na wanaume wengi hawajafanya tohara.

Mambo ya tohara yapo middle East na baadhi ya nchi za Africa

Sio hilo tu, hata mahari hazipo ulaya na North America
Unaoa bila mahali

Tusikalili, dunia ni kubwa na tamaduni ni tofauti.
 
Za kupunguzia uchafu ndio utumie maji tofauti na hapo ni uchafu mtupu, na ndio maana minguo mingine ya mitumba unaikuta michafu sana
 
Back
Top Bottom