kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mbinu kubwa ya Bank kupata faida kubwa kuliko mtu binafsi

    Wakati mwingine tumekuwa tukijiuliza kwanini bank inapata faida kubwa kuliko sisi? Je ni mbinu gani bank wanazotumia kupata faida kubwa? Uhalisia ni kwamba hakuna mbinu kubwa, mafanikio yao yanatokana na wao kuthamini shilingi pamoja na kuwa makini katika mahesabu. Tizama tofauti ya mahesabu...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali imehamishiwa Dodoma kwa gharama kubwa, kwanini bado mnatutesa kwa misafara isiyoisha huku Dar? Hamna huruma?

    Kweli mnasubirisha watu maelfu kwa maelfu lisaa lizima, tena peak ya Rush hour, halafu gari zenyewe za msafara hata 10 hazifiki. Jamani, kama mna haraka sana wekeni utaratibu wa kupanda bodaboda, kwani nyie ni nani msipandishwe pikipiki?!
  3. JamiiForums Tanzania PhD ya michongo ni kubwa zaidi ya PhD ya darasani

    PhD. YA MICHONGO NI KUBWA KULIKO PhD YA DARASANI. Na. Robert Heriel. PhD ya michongo ni degree ya heshima ambayo mtu hafundishwi na mtu isipokuwa maisha. Mkufunzi mkubwa wa PhD ya michongo ni maisha, PhD hii ina coursework na thesis papo hapo Kwa pamoja. Ogopa mtu mwenye PhD ya michongo huyu...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini waliozaliwa katika familia maskini wana nafasi kubwa na wao kuwa maskini kuliko waliozaliwa katika familia tajiri?

    Ni swali fikirishi kidogo ukiangalia wengi wanaotokea familia maskini wengi huishia kuwa masikini ni wachache sana ambao hutoboa kimaisha. Au ndo tuseme umasikini mtu anaweza kuurithi? Mfano: mawazo ya kimasikini kutoka kwa baba yanaweza kuhamia kwa mtoto kama baba hakuwa na vitega uchumi...
  5. JamiiForums Tanzania Dkt. Joseph Kasheku Msukuma: Sasa nina hadhi kubwa duniani kisiasa. Naweza kuitwa nchi yoyote kuwa msuluhishi wa kisiasa

    "PhD ya Siasa na Uongozi ni Shahada kubwa sana kimataifa, kwa kuwa Taifa lolote linaongozwa na siasa pamoja na uongozi. Mimi kwa sasa naweza kuitwa Marekani, Liberia, India kama kuna mgogoro na kwenda kusuluhisha, hizi PhD ni chache sana duniani" Dkt.Joseph Msukuma
  6. JamiiForums Tanzania 2021 inaisha; Je, umefanya jambo gani kubwa la maana?

    Mimi hakuna cha maana nilichokifanya, maisha bado magumu, huu mwaka ni mgumu sana kwangu. Huu mwaka ni wa hovyo sana. Vipi kwa upande wenu wakuu?
  7. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz kujenga arena kubwa ya burudani

    Katika kuendelea na uwekezaji msanii namba moja Africa, Diamond Platnumz anakuja na investment ya ukumbi mkubwa wa burudani. Arena hiyo itayoweza kuchukua mpaka watu 20,000 itakuwa na kumbi za muziki, maduka, migahawa na lounge. Itakuwa solution ya kilio cha muda mrefu kwa wapenzi wa burudani...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Popote mlipo Viongozi wa Simba SC haraka sana epukeni 'Hujuma' hii Kubwa iliyopangwa na Yanga SC

    Kocha wa Geita Gold FC ambaye pia ni mwana Yanga SC lia lia (kindakindaki) Fred Felex Kataraiya 'Majeshi' Minziro amepewa Maagizo maalum ya kuhakikisha Wachezaji wake ama wanawaumiza vibaya au wanawatafutia Kadi Nyekundu Wachezaji Bernard Morrison, Jonas Mkude, Meddie Kagere, Larry Bwalya na...
  9. JamiiForums Tanzania Kati ya kuchoma vifaranga toka Kenya na kuchoma vibanda vya machinga ipi dhambi kubwa?

    Kati ya kuchoma vifaranga toka kenya na kuchoma vibanda vya machinga hapa ipi ni dhambi kubwa?
  10. JamiiForums Tanzania Mkiambiwa Timu au Club ya Simba ni kubwa muwe mnaelewa

    Unaposema ukubwa wa kitu ni kwenye nyanja nyingi lakini kwa leo nataka tuu tujikite kwenye mitandao ya kijamii. Hebu angalieni hapa chini
  11. M

    JamiiForums Tanzania Uhuni wa DAWASA, Maji hakuna lakini wanaleta bili kubwa kuliko wakati wowote ule

    Nimechoka mno baada ya DAWASA KIBAHA kunitaarifu bili ya maji. Kwa muda wa mwezi sasa maji ni shida, Yanatok mara moja ndani ya siku tatu au nne, lakini cha ajabu sasa eti bili imekuja kubwa mara mbili kuliko kipindi maji yanatoka kila siku Naomba nitume meseji ifuatayo kwa uongozi wa DAWASA...
  12. JamiiForums Tanzania TAKUKURU wachunguze mkataba tata kati ya Mahindra Tech na TANESCO. Huenda kuna harufu kubwa ya ufisadi

    Kwa taifa masikini kama Tanzania ambalo raia wake maskini wanakamuliwa kodi na tozo za kila aina kuingia mkataba wa bil 60+ ili kukodi software ya gharama ya bil 60+ ili hali wanafunzi hawana madarasa, maji ya uhakika, umeme na hata makazi mazuri ni kukosa busara. Hivi kweli Tanesco wanahitaji...
  13. JamiiForums Tanzania Enzi za Dola ya Roma walichaguliwa wenye bikra kutumikia madhabahu. Hawa walipewa heshima kubwa katika jamii

    Utaratibu kama huu unaweza kurudisha heshima ya bikra katika jamii na wana wari kujitunza mpaka ndoa.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kuna Tatizo kubwa la Cancer kanda ya ziwa Victoria

    Kuweni waangalifu. Kuna uchunguzi unaendelea lakini sijui kwanini serikali haiweki wazi hili Dar es Salaam. Chemical substances emanating from mining sites, consumption of local brews, population growth and fishing in the Lake Zone regions, have been identified by scientists as key risk...
  15. JamiiForums Tanzania Ni mji gani mkubwa hapa Tanzania una bwawa kubwa kwaajili ya maji yake?

    Kwenye miji mikubwa maji ya uhakika huwa ni kuwa na bwawa (reservoir). Sasa kwa hapa Tanzania, ukiachana labda na Moro, ni mji gani mkubwa wenye reservoir kubwa ya maji? Je, Dodoma wana bwawa kwaajili ya matumizi yao ya maji?
  16. JamiiForums Tanzania Demokrasia ni hitaji la Wanasiasa tu. Wananchi Hitaji lao kubwa ni Maendeleo

    Itamsaidia nini mwananchi kuwa na Uhuru wa kumchora Rais na Kumtukana atakavyo na huku hakuna Huduma za muhimu kama Elimu, Hospitali, Miundo Mbinu, Umeme na Maji? Yaani kuwa mwanasiasa wa Chama cha Upinzani atakuwa huru kufanya na kusema atakayo then mwananchi anakosa huduma muhimu ndo iwe...
  17. JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere aliona mbali madhara kuruhusu kabila kubwa kushika madaraka ya Urais

    Kati ya vitu ambavyo Hayati Nyerere alivipinga sana ni pamoja na kabila kubwa kushika madaraka ya urais na hili alikuwa na sababu kubwa sana ambazo tumejidhihirisha katika kipindi cha awamu ya tano. Nadhani wahusika mmejifunza pia na hamtarudia tena makosa mliyoyafanya miaka mitano iliyopita...
  18. JamiiForums Tanzania Wadada wenye maumbo mazuri kwa asilimia kubwa wakikutana na mwanaume huhisi kutongozwa tu

    Kuna siku nilitembelea benki fulani, kwa ajili ya kupata utaratibu wa kupata mkopo kwa ajili ya biashara yangu. Kwa bahati nzuri nilipokelewa na mdada, ni mzuri na anashepu ya kuvutia, nyuma amejaziwa kweli. Akanihudumia, na akanipatia namba yake kwa ajili ya kufuatilia. Cha ajabu, nilipokuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Unywaji wa pombe aina ya Banana inaathiri nguvu kubwa sana ya vijana

    Pombe hii ina kiwango cha kilevi asilimia kumi(10%)tu lakini wanywaji wa pombe hii ukiwaona hata kwa macho utajua tu huyu ni wa banana. Pombe hii imekuwa ikiuzwa kwa bei rahisi tu ya sh 500 ndo mana vijana wengi wanaweza kumudu kuinunua,lakini ulevi wake sio wa kawaida kwani vijana wengi...
  20. JamiiForums Tanzania Usitumie nguvu kubwa sana mwanamke akupende. Utalia sana!

    Wasalaam, Kati ya vitu vingi mbavyo wanaume wengi huwa wanakosea ni pale wanatumia 'Nguvu' kubwa sana kuwapata hawa wanawake, hasa ikiwa ana malengo naye ya future. Kama ni mwanamke anayekusuuza roho ukimuona na wewe ukatumia nguvu kula 'msambwanda' uridhishe nafsi sawa. Ila sio kama una...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…