kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Issue kubwa ni watu kutaka kutimiza ndoto zao za urais 2025 baada ya Mwendazake kuondoka

    Yatasemwa mengi na mtasikia mengi, ila issue kubwa ni watu kuutaka urais wa nchi hii mwaka 2025. Wakati Magu yuko hai, walikosa ujasiri wa kuonyesha hadharani mtatamani yao na kwa Mama, bado hawajaanza, ila ili wapate hiyo fursa(waanze) ni lazima Mama asigombee (bahati mbaya alishasema...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nimekubali Tanzania Kuna chuki kubwa, upo umezekano tunauana kimya kimya

    Nimemsikiliza Mwingira, nimemsikiliza Nape,nikamsiliza WA zamani wa Jumuhia ya wazazi wa CCM, nimemsikiliza huyu mzee mwanajeshi mstaafu kiongozi wa organizashen ya mambo ya nje, nikamsikiliza Gwajima, nikaona ushahidi wa Makomandoo, nikaona namna sabaya alivyotesa, Makonda alivyotesa, Muro...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli kupenga makamasi kwa kutumia kitambaa na hajaa kubwa kwa kutumia tissue na kupiga chafya kwa kutumia kiganja,ni usafi na ndio kustaarabika?

    Kwa wengi tuliokulia mijini, bila shaka tumeshiriki katika kuyafanya haya na huenda bado tunaendelea kutekeleza huu utamaduni wa kimagharabiki ambao tunauona ni sahihi na ndio kustaarabika. Tusione aibu na tujadiliane hapa kama kweli hii tabia ya kupenga makamasi na kisha kuweka kitambaa cha...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kutulia na mwanamke mmoja ni kati ya discipline kubwa ambayo wanaume wengi hatuiwezi

    Kutulia na mwanamke mmoja ni kati ya discipline kubwa ambayo wanaume wengi hatuiwezi. tujitahidi
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wale Wanasimba SC na wana Yanga SC mliokuwa 'mkinishambulia' JF nilipokuwa 'nikimsifia' Kibu Denis kuwa ni Hazina Kubwa mpo wapi leo?

    Kudadadeki GENTAMYCINE sijawahi Kumpenda na Kumsifia Mchezaji Mbovu au Mchezaji ambaye hafanyi kile nilichomsifu nacho. Nikisema au Nikichambua huwa nakuwa nina uhakika kwani hata huo Mpira wenyewe naujua na isitoshe nimeucheza vile vile tena katika Ngazi zote Muhimu za awali Mashuleni, Mtaani...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kujenga nyumba ndogo pembeni kabla ya kumalizia nyumba kubwa

    Wakuu habarini za mihangaiko, nimejenga nyumba kubwa ya vyumba 3 nimeishia kuweka lenta lakini kutokana na kupanda Kwa gharama za vifaa vya ujenzi kuna uwezekano wa kuchukua hata miaka miwili Hadi kumaliza. Kuna wadau wamenishauri ili nitoke kwenye upangaji basi nijenge chumba kimoja na sebule...
  7. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Serikali Kubwa Ni mzigo

    Nimesikia kuwa serikali ya Tanzania ina mipango ya kupanuka kidogo kuongeza Wizara moja au mbili hivi. Serikali yoyote kubwa sana yenye wizara nyingi huwa siyo mzigo tu kwa nchi, bali pia ni serikali ambayo huwa haina ufanisi kutokana na baadhi ya maeneo ya utendaji kuingiliana. Kipindi cha...
  8. T

    JamiiForums Tanzania "Kuna gharama kubwa ya kujifanya shujaa"

    "Kuna gharama kubwa ya kuwa shujaa" Kesi ya Mbowe ilipoanza tulisikia watu mbalimbali wakihudhuria mahakamani na wengine kushinikiza aachiwe, tulishuhudia mabalozi kutoka nchi za Marekani, Ujerumani na Ubelgiji wakihudhuria na kutoa matamko mbalimbali lakini Leo yupo pekee yake na makosa yake...
  9. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Wahuni hawatashinda, CCM ni taasisi kubwa inayoweza kupambana na wahuni.

    Kitu kimoja nina hakika ni kwamba wahuni hawatashinda lakini kitu kimoja nina imani kubwa sana ni kwamba ni Chama Cha Mapinduzi (CCM) pekee ndio kina uwezo wa kitaasisi na kidhamira wa kukabiliana na wahuni. Kazi ni kwetu wana CCM. #ujamaaniimani #kaziinaendelea #kataawahuni...
  10. Area 56

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Foleni kubwa zaonekana kwenye ukataji wa ticket

    Wachagga wamejitokeza kwa wingi sana leo jumapili kwenye ofisi mbalimbali za mabasi kwaajili ya kukata tiketi kuelekea kaskazini mwa nchi kusherehekea msimu wa sikukuu za Xmass na Mwaka mpya!! Wachagga mko vizuri
  11. B

    JamiiForums Tanzania John Mnyika ni Mwanasiasa aliyefanya kazi kubwa na Katika mazingira magumu 2019, 2020 na 2021 Nchini Tanzania

    Nikiri niliwahi kupoteza Imani na Mnyika kipindi Dr. Slaa anatimkia CCM Kwa mgongo WA kuachana na siasa. Nilidhani kijana huyu atasaliti dhamira na Imani ya Watanzania dhidi yake lakini niombe radhi nilimwazia vibaya. Kati ya watu waliosimama Katika mazingira magumu ni huyu kijana. Alisimama...
  12. Ngungenge

    JamiiForums Tanzania Nashauri Rais Samia apate mapumziko, amefanya kazi kubwa sana, tangu mwezi march hajapumzika

    Afya ya Rais ni muhimu. Kazi ya Urais ni ngumu, kiongozi wa nchi halali isipokuwa masaa mchahe sana, wakati mwingine analala akiwa safarini, wakati wote kiongozi anapokea taarifa mpya kutoka ndania na nje ya nchi, Wakati wote atatakiwa kutatua changamoto au kutoa maelekezo, yamkini asipate muda...
  13. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yazindua eneo la kupaki meli, ambalo ndio eneo kubwa kuzidi yote Kusini mwa jangwa la Sahara, tumewazidi hata SA

    Inawezekana isiwe rahisi kumeza, ila ndio ukwel wenyewe................. Kenya has unveiled a modern shipyard at the Mtongwe Navy base in Mombasa, making her the first country in sub-Saharan Africa with such a facility. Kenya Shipyards Ltd (KSL) has the capacity to handle vessels of more than...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Nape ni aibu na fedhea kwa CCM, kuachwa kwake kutaleta aibu kubwa ndani ya CCM

    Kwa muda mrefu nimekuwa ni adui wa kauli na utendaji usiofata misingi wa Nape Nnauye. Kauli zake Mara nyingi zinaonesha ni mtu anayejisikia, mtu ambaye anaamini kwamba bila yeye CCM haiwezi kusonga mbele,kwa kifupi anajiona ni mungu mtu ndani ya CCM. Nape anachotakiwa kujua ni kwamba chini yake...
  15. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Mbinu kubwa ya Bank kupata faida kubwa kuliko mtu binafsi

    Wakati mwingine tumekuwa tukijiuliza kwanini bank inapata faida kubwa kuliko sisi? Je ni mbinu gani bank wanazotumia kupata faida kubwa? Uhalisia ni kwamba hakuna mbinu kubwa, mafanikio yao yanatokana na wao kuthamini shilingi pamoja na kuwa makini katika mahesabu. Tizama tofauti ya mahesabu...
  16. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Serikali imehamishiwa Dodoma kwa gharama kubwa, kwanini bado mnatutesa kwa misafara isiyoisha huku Dar? Hamna huruma?

    Kweli mnasubirisha watu maelfu kwa maelfu lisaa lizima, tena peak ya Rush hour, halafu gari zenyewe za msafara hata 10 hazifiki. Jamani, kama mna haraka sana wekeni utaratibu wa kupanda bodaboda, kwani nyie ni nani msipandishwe pikipiki?!
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania PhD ya michongo ni kubwa zaidi ya PhD ya darasani

    PhD. YA MICHONGO NI KUBWA KULIKO PhD YA DARASANI. Na. Robert Heriel. PhD ya michongo ni degree ya heshima ambayo mtu hafundishwi na mtu isipokuwa maisha. Mkufunzi mkubwa wa PhD ya michongo ni maisha, PhD hii ina coursework na thesis papo hapo Kwa pamoja. Ogopa mtu mwenye PhD ya michongo huyu...
  18. SubTopic

    JamiiForums Tanzania Kwanini waliozaliwa katika familia maskini wana nafasi kubwa na wao kuwa maskini kuliko waliozaliwa katika familia tajiri?

    Ni swali fikirishi kidogo ukiangalia wengi wanaotokea familia maskini wengi huishia kuwa masikini ni wachache sana ambao hutoboa kimaisha. Au ndo tuseme umasikini mtu anaweza kuurithi? Mfano: mawazo ya kimasikini kutoka kwa baba yanaweza kuhamia kwa mtoto kama baba hakuwa na vitega uchumi...
  19. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Dkt. Joseph Kasheku Msukuma: Sasa nina hadhi kubwa duniani kisiasa. Naweza kuitwa nchi yoyote kuwa msuluhishi wa kisiasa

    "PhD ya Siasa na Uongozi ni Shahada kubwa sana kimataifa, kwa kuwa Taifa lolote linaongozwa na siasa pamoja na uongozi. Mimi kwa sasa naweza kuitwa Marekani, Liberia, India kama kuna mgogoro na kwenda kusuluhisha, hizi PhD ni chache sana duniani" Dkt.Joseph Msukuma
  20. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania 2021 inaisha; Je, umefanya jambo gani kubwa la maana?

    Mimi hakuna cha maana nilichokifanya, maisha bado magumu, huu mwaka ni mgumu sana kwangu. Huu mwaka ni wa hovyo sana. Vipi kwa upande wenu wakuu?
Back
Top Bottom