kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Waziri wa Maji iende mbali zaidi kwani miji mingi tunauziwa Maji kwa bei kubwa

    Maji ni uhai wa vitu vyote vinavyopumua Dunia, nichukue nafasi hii kumpongeza Waziri kwa kushugulikia tatizo hili ambalo limekuwa sugu hasa kwa wauza Maji ya ku pump kutumia pump za dezel au uneme. Imekuwa kawaida kwa wasambazaji wa huduma hii kujiongezea kiwango Cha pesa pasipo washirikisha...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Jarida la Inside the Nation lamtaja Rais Samia kama Rais aliyefanikiwa kuifungua nchi zaidi Kidiplomasia na Kiuchumi

    Na Bwanku M Bwanku. Jana Jumatano Februari 23, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua hatua ya Jarida kubwa la Marekani la Inside the Nation kumtaja Rais Samia kama Rais aliyefanikiwa kuifungua nchi zaidi Kidiplomasia na Kiuchumi na kufanikiwa kuokoa fedha nyingi sana...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ethiopia waanza kuzalisha umeme kwenye bwawa lao kubwa, mipango kuuzia Kenya huku Wabongo wakisuasua na lile lao

    Chelewa chelewa utshangaa.... Nilisoma sehemu bwawa la Watz bado liko 44% wanaendelea kuburuzana huko.... Kenya and Ethiopia have started talks on Nairobi’s plans to buy electricity from the $ 4.5 billion Grand Ethiopian Renaissance Dam (GERD) that began generating power on Sunday. This is...
  4. JamiiForums Tanzania Muonekano wa kichwa cha Treni ya SGR

    Kichwa cha treni cha reli ya kisasa - SGR chàwasili Kichwa hiki cha Mkandarasi kinachotumia nishati ya umeme kimewasili bandarini jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuanza majaribio ya miundombinu ya umeme katika reli ya kisasa - SGR kipande cha Dar es Salaam - Morogoro.
  5. JamiiForums Tanzania Fahamu nchi yenye bei kubwa na yenye bei ndogo kwa uuzaji wa Data

    Fahamu Leo; Ifahamu nchi yenye Bei ndogo zaidi ya data. Israel ndio nchi ambayo kifurushi cha internet huuzwa kwa Bei ndogo kuzidi nchi zote, Nchini Israel 1GB huuzwa kwa shilingi za kitanzania 150/= au chini ya 150 Fahamu Leo; Ifahamu nchi yenye Bei kubwa ya data. Guinea Equitorial ndio...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Wilayani Iramba Mkoani Singida pamefanyika Kongamano kubwa sana la Madini

    Jana Jumamosi Februari 19, 2022 Wilayani Iramba Mkoani Singida pamefanyika Kongamano kubwa sana la Madini lililoandaliwa na Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mhe. Suleiman Mwenda na kuhudhuriwa na Wadau mbalimbali wa Madini wa ndani ya Wilaya na kutoka Makao Makuu huku Naibu Waziri wa Madini Mhe. Dkt...
  7. JamiiForums Tanzania Dunia hii chagua upande, aidha Urusi au Amerika, kamwe usiwe katikati, utalipa gharama kubwa siku moja !

    Kama Kiongozi kamwe usiwe katikati, chagua upande ambao utaona unakufaa na uende mazima siyo nusu nusu, nusu nusu itakufaa tu kama kila kitu kiko sawa, lkn kikinuka hauna msaada wowote na wanakushukia kama mwewe. Mfano Erdogan wa Uturuki mwaka 2016 kama asingekuwa rafiki wa kweli wa Putin...
  8. JamiiForums Tanzania Bi Harusi ashindwa kutembea, aona shimo na joka kubwa, ex wake adaiwa kumroga

    Stori ya kushangaza nchini Rwanda imetokea, Bi harusi aliyetambulika kwa jina la Nadine anadaiwa kurogwa na Ex wake ambaye walipendana kwa muda mrefu na ndiye aliyemsomesha. Inaelezwa kuwa jamaa alikuwa akimgharamia kila mahitaji yake yote, alimnunulia gari, viwanja ila mwishowe Nadine...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mtaturu: Gharama za ATCL ndani ya Tanzania ni kubwa kuliko zile za Dubai

    Mbunge Miraji Mataturu alia na bei za ATCL === Mbunge wa Singida Mashariki (CCM), Miraji Mtaturu ameitaka Serikali kutafuta suluhisho la bei kubwa ya usafiri katika ndege za Shirika la Ndege Nchini (ATCL) ambapo amezifananisha gharama hizo na gharama za kwenda Dubai. Mtaturu ameyasema hayo...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Equity Bank inasema kwamba inatengeneza faida kubwa sana huko DR Congo

    Wabongo ambao hawaelewi structure ya uchumi wa Kenya someni hii article. Uchumi wa Kenya upo built around services industry hususan banks. Benki za Kenya ndio benki kubwa ukanda wote huu na ndio zinazoservice companies ukanda huu. Equity sasa hivi ni the second biggest bank in DR Congo na...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Makamba una majibu mepesi, Mawaziri wote hubanwa kwenye utendaji. Jibu maswali ya Kamati ya Nishati

    Waziri Makamba umeonyesha kiwango kidogo cha ukomavu, kwa kusema wabunge wanakubana kwa sababu ya uwaziri wako. Hii ni kauli inayopaswa kutolewa na mtu ambae sio msomi, hakuna wabunge wenye shida na uwaziri wako bali wanachofanya ni wajibu wao kwa maana wanawakilisha wananchi. Wabunge wanarudi...
  12. JamiiForums Tanzania The Biggest Star wa Kiume wa Bongo, Kumvisha Pete ya Uchumba The Biggest Star wa Kike wa Bongo? Happy Valentines!

    Wanabodi, Leo ni siku ya wapendanao, Valentine Day, hivyo nami nawatakia a Happy Valentines Day!. Mimi ni Mzee wa Trends Readings, Siku ya wapendanao ya leo, kuna trends fulani naiona kwa mbali, hivyo bandiko hili ni swali, Jee siku ya Valentine ya leo, The Biggest Star wa Kiume wa Bongo...
  13. JamiiForums Tanzania Morogoro: Mvua Kubwa Inaendelea Kunyesha

    Mungu ni mwema, ule ukame uliotutia hofu kwamba huenda mwaka huu kukawa na njaa imetoweka, kuna mvua kubwa sana inanyesha ikiambatana na radi, japo hofu ni kwa wale waliojenga mabondeni, usalama wao huenda ukawa mdogo sana, ilitokea siku chache zilizopita baadhi ya makazi ya watu yaliingiwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Makambako: Katibu wa Baraza la Walei auawa ndani ya eneo la Kanisa Katoliki, kichwa chatenganishwa na kiwiliwili

    Nickson Myamba ambaye ni katibu wa baraza la walei kigango cha Makambako, jimbo la Njombe, amekutwa ameuawa kwa kutenganishwa kichwa na kiwiliwili chake ndani ya Kanisa Kuu Katoliki la Parokia ya Makambako usiku wa Februari 7, 2022. === KIONGOZI WA KANISA AKUTWA AMEUAWA KANISANI, KICHWA...
  15. JamiiForums Tanzania Nini kinafanya kodi kuwa kubwa sana kwenye frem za Kariakoo?

    eti, kodi mpaka one mil per month? na faida mnapata kabisa. Hebu tupeni siri za mafanikio! Je net profit kwa siku inaweza fika laki 1 kwa mtu anaelipa kodi kubwa hivyo? maana sijawahi kusikia malalamiko ya hizo kodi kuwa kubwa
  16. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO mnatusababishia hasara kubwa kwa kukata na kurudisha umeme kila wakati

    Kichwa cha habari chahusika. TANESCO toeni ratiba ya kata washa kata washa ifahamike kuliko jambo mnalotuanyia kwa sasa. Hizi hasara za kutuunguzia vyombo vyetu sijui kama mtazibeba tukiamua kuwaburuza mahakamani. Siku hizi haieleweki lini mtu unakuwa na umeme. Halafu watu tunashindwa kupanga...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala anajua sana alifanyalo. Ni lazima akuchanganye tu

    Huyu bwana stahili yake ni kukuhoji kwa muda mrefu sana. Yaani kielelezo kimoja kinaweza kwake kikawa na maswali Zaidi ya 25. Ana utaratibu wa kuhoji mpaka kufikia muda wa kuhairisha ili siku inayofuata aje na nguvu mpya na mawazo mapya. Amekuwa sana na utaratibu huo ambao kwa kweli umekuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Presha yawa kubwa kwa Luis Miquissone, benchi lamtesa, Simba watajwa, wadau Al Ahly waja juu

    Vigogo wa Afrika, Al Ahly wamepoteza mchezo wa nusu fainali ya Klabu Bingwa Dunia kwa kufungwa mabao 2-0 na Palmeiras ya Brazil, usiku wa kuamkia leo. Kwa maana hiyo AL Ahly sasa wanasubiri kucheza mechi ya kutafuta mshindi wa tatu dhidi ya Al Hilal ya Saudi Arabia au Chelsea ya England ambazo...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Kshs. ina thamani kubwa kuliko Tshs?

    Huu mjadala nimeukuta mahali, kwanini pesa ya Kenya inathamani kubwa kuliko ya Tanzania? Mjadala ulikuwa mkubwa sana watu kidogo wazichape, mkenya alikuwa mmoja tu watz tulikuwa kama wote. Wapo waliodai utofauti wa pesa yetu na yao ni namba tu, kwa mfano 500 ya kenya ni sawa 10k ya tz watu...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Madai ya watu kuishi Hifadhi ya Ngorongoro na wanyama pori kuwa ni kuvutia utalii ni ujinga

    Hivi karibuni kumezuka mijadala mingi juu ya uwepo wa zaidi ya watu zaidi ya laki Moja kuishi hifadhi ya Ngorongoro kuwa ni njia Moja wapo ya KUVUTIA UTALII ni ujinga na upuuzi usio vumilika hata kidogo. Tumeshudia Waandishi wa habari Maulid Kitenge na Oscar Oscar Mzee wa Kaliua wakiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…