kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuna tofauti kubwa kati ya kutafuta mke/mume na kutafuta mpenzi

    Kuna njia au namna za kutafuta mke/mume na kutafuta mpenzi. Ni vizuri ukajua kuzitofautisha. Njia utakazotumia kutafuta mke/mume ni tofauti na njia utakazotumia kutafuta mpenzi. Ukijichanganya kwenye hizo njia, mwisho wake huwa ni kilio; mfano ulitumia njia za kutafuta mpenzi ili upate...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania itapiga hatua kubwa ya maendeleo pale wakoloni watakaporudi upya

    Inchi za afrika, ikiwemo Tanzania haitakaa ipige hatua kama watu wengi wanavyotarajia! Tutasubiri sana! Ebu fikiria kwa haya maendeleo machache tumeyafikia baada ya miaka 60 ya Uhuru! Je ikitokea vita si ndo itakuwa kiama! Huko Ulaya watu hupigana vita na kuharibu kila kitu, lakini ndani ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kanuni ya Umoja katika kuwezesha kutatua changamoto kubwa za maisha zinapokujia

    Rejea mada tajwa hapo juu kwenye heading na ninaomba niende moja kwa moja kwenye mada husika. UTANGULIZI Kwanza kabisa unaweza kukubaliana nami kuwa changamoto kubwa zaidi za watu wa maisha ya kati ni kuhudumia matibabu, kupoteza ajira, kuunguliwa na nyumba, misiba na kupatwa na kadhia ya...
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya kiwanda kuwaka moto GSM wasema “Tumepata hasara kubwa sana, hakuna kilichosalia"

    Muda mfupi baada ya moto kuwaka katika Kiwanda cha GSM Industrial kilichopo Mwenge jijini Dar es Salaam, mmoja wa viongozi wa kiwanda hicho, Salaah Mohamedi amesema wamepata hasara kubwa kutokana na moto huo uliowaka leo Jumapili Machi 13, 2022. "Chanzo hatujui hadi sasa, nilipigiwa simu saa 12...
  5. JamiiForums Tanzania Vita kubwa ya maneno inayoendelea kati Lema Vs Zitto Kabwe

    Wanasiasa wawili maarufu, Godbless Lema ambaye aliwahi kuwa Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chadema, na Zitto Kabwe, kiongozi wa ACT Wazalendo wameingia katika vita ya maneno. Kupitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Twitter, Lema ameandika ujumbe ambao bila kumtaja mtu jina...
  6. JamiiForums Tanzania Taarifa za uongo ni silaha kubwa ya Mzungu tangu enzi

    WENGI wetu hata humu jukwaani wanameza kirahisi sana taarifa za habari za uongo na elimu za uongo, espesheli, historia. Ili mradi zimeletwa na mzungu... afu Cha kusikitisha, ndo wanakuwa wabishi wakubwa. Historia za uongo wa mzungu tunazijua sana sana, ila sielewi kwa nini kila kukicha akatoa...
  7. JamiiForums Tanzania Makonda usikubali kuachia hilo ghorofa na imani kubwa kuna nguvu kubwa inakulinda

    Kwa ufupi ni kwamba ukisalimu amri ukakabidhi hilo ghorofa kwa GSM jua daraja la umasikini linakunyemelea. Kwa ninavyowafahamu Wasukuma si rahisi kukata tamaa pambana hadi tone lako la damu la mwisho. Kuna wakubwa wanafuatilia huu mtanange kwa ukaribu zaidi. Kila la kheri
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi wanapendelea RAM kubwa kwenye simu bila kufahamu matumizi halisi ya RAM

    Mara kadhaa kabla ya ununuzi wa simu imesababisha watu wengi kuamini kuwa RAM kubwa zaidi kama 3GB, 4GB, 8GB na 12GB ndio suluhisho kuu la kuboresha utendaji wa simu. Ingawa bila shaka ni muhimu, sio suluhisho pekee la utenda kazi bora, au hata lazima liwe sahihi, kulingana na mahitaji yako...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hangary: Hatutoafikiana na EU kuweka vikwazo dhidi ya mafuta na gesi ya Russia, 90% ya waHungary watapata dhiki kubwa na uchumi wetu utaanguka

    Waziri Mkuu wa Hungary, Viktor Orban, ametangaza kuwa nchi yake (Hungary) ipo dhidi ya vikwazo vyovyote vitavyowekwa na umoja wa Ulaya juu ya Russia kuuza mafuta na gas ktk nchi za Umoja huo. Kufuatia mkutano uliofanyika London uliowahusisha mawaziri wakuu wa nchi kadhaa zikiwemo Hungary...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Natabiri Rais wa taifa kubwa huko Ulaya atapumzishwa jambo la kutisha sana

    Nadhani zama Hizi Mungu hadhiakiwi na ameamua kushuka nakutoa hukumu ili dunia ijifunze nakukumbuka Yeye yupo na hakuna mwanadam au kiongozi Yeyote ana kuwa na haki kutoa roho ya mwenzake kwa wivu na uchu wa madaraka. Siku sio nyingi Mungu anaenda kuonyesha jambo lakutisha sana jambo litaifanya...
  11. JamiiForums Tanzania Mfuniko wa jaba kubwa...

    Niliacha mfuniko wa jaba kubwa nje wakati nakinga maji ya mvua. Nao ukakinga maji, kutoa, imetoka ndoo kubwa na robo. Kama lita 25 hivi. I thought you should know😊
  12. JamiiForums Tanzania Nataka kubadili Tairi kwenye gari la Toyota IST Size 195/60R16 kwenda size kubwa inayofaa

    Wakuu nina Toyota IST nataka nibadilishe tairi kitoka 195/60R16 kwenda kwenye size kubwa kidogo ambayo itafiti kwenye gari. Nimeona baadhi ya IST wameweka tairi ya size tofauti na zinazokuja nazo zinapendeza sana. Ni size gani itafaa? Sitaki tairi za Kichina.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe kuachiliwa, pigo kubwa kwa wasiotutakia Mema kama Nchi

    Mh. Mbowe yuko huru kama ilivyosemwa kwenye hukumu, "bila ya masharti yoyote." Iwe ni kwa uamuzi huru wa mahakama au kuna mkono wa mama ndani yake, pana watu wamechanganyikiwa wasijue kulikoni. "Kwamba, ni mwiba mchungu mno kwa wasiotutakia mema kama nchi." Wasikie sasa wale manguli wa kile...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Benki ya Equity Mwenge ni kero kubwa kwa wateja

    Ndiyo benki pekee iliyobakia hapa mjini ambayo unaweza kukaa foleni zaidi ya saa 1 na nusu hujahudumiwa.Uongozi wa Equity litizameni hili.
  15. JamiiForums Tanzania Benki kubwa ya Urusi yaaga soko la bara Uropa na kufunga matawi yote huko

    Hii ni baada ya wafanyi kazi wake Warusi kutishiwa waondoke kwenye mataifa yote ya Uropa, na pia kususiwa kwa biashara zote zenye asili ya Urusi. Putin alikua amesubiriwa muda mrefu aingie kwenye kumi nane, Warusi wanateseka kote nje na ndani kwa ajili yake na muda usio mrefu watamgeukia, Urusi...
  16. JamiiForums Tanzania Ifahamu nchi kubwa kuliko zote duniani

    IJUE NCHI KUBWA KULIKO ZOTE. Je, unafahamu kuwa Urusi (Russia)/ USSR Ndio nchi inayo shika rekodi ya kua nchi kubwa kuliko nchi yeyote duniani? Basi fahamu Kuhusu ukubwa wake, eneo lake kwa ukubwa ni 17,075,400km² za mraba (million17.1km²), ambayo sawa na 12,577mile kwa urefu. Pia Urusi...
  17. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kuwa na storage na RAM kubwa kwenye simu

    Ikiwa uko kwenye soko la simu mpya basi unaweza kutumia muda wako kuangalia kamera ni megapixels ngapi, saizi ya display au jinsi inavyoweza kucheza game. Lakini kuna jambo lingine muhimu ambalo unahitaji kulipa kipaumbele: Internal storage. Hifadhi ya ndani inakuwa tatizo kubwa zaidi pindi...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Waziri wa Maji iende mbali zaidi kwani miji mingi tunauziwa Maji kwa bei kubwa

    Maji ni uhai wa vitu vyote vinavyopumua Dunia, nichukue nafasi hii kumpongeza Waziri kwa kushugulikia tatizo hili ambalo limekuwa sugu hasa kwa wauza Maji ya ku pump kutumia pump za dezel au uneme. Imekuwa kawaida kwa wasambazaji wa huduma hii kujiongezea kiwango Cha pesa pasipo washirikisha...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Jarida la Inside the Nation lamtaja Rais Samia kama Rais aliyefanikiwa kuifungua nchi zaidi Kidiplomasia na Kiuchumi

    Na Bwanku M Bwanku. Jana Jumatano Februari 23, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua hatua ya Jarida kubwa la Marekani la Inside the Nation kumtaja Rais Samia kama Rais aliyefanikiwa kuifungua nchi zaidi Kidiplomasia na Kiuchumi na kufanikiwa kuokoa fedha nyingi sana...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ethiopia waanza kuzalisha umeme kwenye bwawa lao kubwa, mipango kuuzia Kenya huku Wabongo wakisuasua na lile lao

    Chelewa chelewa utshangaa.... Nilisoma sehemu bwawa la Watz bado liko 44% wanaendelea kuburuzana huko.... Kenya and Ethiopia have started talks on Nairobi’s plans to buy electricity from the $ 4.5 billion Grand Ethiopian Renaissance Dam (GERD) that began generating power on Sunday. This is...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…