Nchi 10 za Afrika zenye akiba kubwa ya Dhahabu kwa mujibu wa Statista

Dunia yakoo

Senior Member
Nov 23, 2019
139
214
Nchi 10 za Afrika zenye akiba kubwa ya Dhahabu kwa mujibu wa Statistics

1. Algeria 🇩🇿 - tani 174 za kipimo
2. Afrika Kusini 🇿🇦 - tani 125 za metric
3. Libya 🇱🇾 - tani za metric 117
4. Misri 🇪🇬 - tani 80.73 za metric
5. Moroko 🇲🇦 - tani za metric 22.12
6. Nigeria 🇳🇬 - tani 21.37 za metric
7. Mauritius 🇲🇺 - tani 12.44 za metric
8. Ghana 🇬🇭 - tani 8.74 za metric
9. Tunisia 🇹🇳 - tani 6.84 za metric
10. Msumbiji 🇲🇿 - tani 3.94 za metric

IMG_20220613_081004_232.jpg
 
Nchi 10 za Afrika zenye akiba kubwa ya Dhahabu kwa mujibu wa Statistics

1. Algeria - tani 174 za kipimo
2. Afrika Kusini - tani 125 za metric
3. Libya - tani za metric 117
4. Misri - tani 80.73 za metric
5. Moroko - tani za metric 22.12
6. Nigeria - tani 21.37 za metric
7. Mauritius - tani 12.44 za metric
8. Ghana - tani 8.74 za metric
9. Tunisia - tani 6.84 za metric
10. Msumbiji - tani 3.94 za metric

View attachment 2259063
KUNA NCHI NAITAFUTA INAPATIKANA MASHARIKI MWA AFRIKA SIIONI?
 
Nchi 10 za Afrika zenye akiba kubwa ya Dhahabu kwa mujibu wa Statistics

1. Algeria - tani 174 za kipimo
2. Afrika Kusini - tani 125 za metric
3. Libya - tani za metric 117
4. Misri - tani 80.73 za metric
5. Moroko - tani za metric 22.12
6. Nigeria - tani 21.37 za metric
7. Mauritius - tani 12.44 za metric
8. Ghana - tani 8.74 za metric
9. Tunisia - tani 6.84 za metric
10. Msumbiji - tani 3.94 za metric

View attachment 2259063
Yani tumezidiwa hadi na Mauritius?.. Nchi ngumu sana hii kwakweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi 10 za Afrika zenye akiba kubwa ya Dhahabu kwa mujibu wa Statistics

1. Algeria - tani 174 za kipimo
2. Afrika Kusini - tani 125 za metric
3. Libya - tani za metric 117
4. Misri - tani 80.73 za metric
5. Moroko - tani za metric 22.12
6. Nigeria - tani 21.37 za metric
7. Mauritius - tani 12.44 za metric
8. Ghana - tani 8.74 za metric
9. Tunisia - tani 6.84 za metric
10. Msumbiji - tani 3.94 za metric

View attachment 2259063

Kwa hali ya uchumi wa dunia unavyokwenda, kuna uwezekano kwamba ndani ya miaka kumi hadi ishirini ijayo US Dollar itapoteza thamani yake kwa kiwango fulani, hasa kutokana na uwezekano wa mataifa mengi kuanza kupunguza USD reserves wakiogopa kutendwa na Marekani alichotendwa Russia.

Kwa sababu hii, inabidi Tanzania iongeze akiba yake ya dhahabu ili kusaidia katika kukabiliana na msukosuko wa kiuchumi utakaotokea wakati USD itakapoanza kupoteza global dominance. Ikumbukwe kuwa Dhahabu na USD zina mahusiano kinzani katika thamani zao (inverse relationship). Kwahiyo, mwokozi wa dunia wakati huo atakuwa Dhahabu kwa sababu thamani yake itakuwa juu.
 
Kwa hali ya uchumi wa dunia unavyokwenda, kuna uwezekano kwamba ndani ya miaka kumi hadi ishirini ijayo US Dollar itapoteza thamani yake kwa kiwango fulani, hasa kutokana na uwezekano wa mataifa mengi kuanza kupunguza USD reserves wakiogopa kutendwa na Marekani alichotendwa Russia.

Kwa sababu hii, inabidi Tanzania iongeze akiba yake ya dhahabu ili kusaidia katika kukabiliana na msukosuko wa kiuchumi utakaotokea wakati USD itakapoanza kupoteza global dominance. Ikumbukwe kuwa Dhahabu na USD zina mahusiano kinzani katika thamani zao (inverse relationship). Kwahiyo, mwokozi wa dunia wakati huo atakuwa Dhahabu kwa sababu thamani yake itakuwa juu
Ni aibu kubwa saaana , hii imesababishwa na poor incompetent administration ..........we need change reserve ya dhahabu ni muhimu saana kwa uchumi wa Taifa lolote Duniani .....
 
Dhahabu haishuki dhamani ndio maana matajiri wakiona wanafilisika wananunua dhahabu na kuweka kama reserve..kama nchi pia dhahabu ni muhimu kuweka reserve ikitokea dharura sio inauzwa yote tuu.russia kaingia vitani bila uoga kwasababu ana reserve ya dhabu yenye thamani ya dola bilion 500 ndani hata vikwazo viwejeww haumii kiuchumi
 
Nchi 10 za Afrika zenye akiba kubwa ya Dhahabu kwa mujibu wa Statistics

1. Algeria - tani 174 za kipimo
2. Afrika Kusini - tani 125 za metric
3. Libya - tani za metric 117
4. Misri - tani 80.73 za metric
5. Moroko - tani za metric 22.12
6. Nigeria - tani 21.37 za metric
7. Mauritius - tani 12.44 za metric
8. Ghana - tani 8.74 za metric
9. Tunisia - tani 6.84 za metric
10. Msumbiji - tani 3.94 za metric

View attachment 2259063
Kwamba DRC hawamo?,Hizo takwimu zina walakini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom