Kila aliyesema Simba ni kubwa kuliko Yanga aliropoka, Bodi ya Ligi imethibitisha.

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
7,492
2,000
Kama huna takwimu unaweza kujisemea chochote, na kujisemea chochote ni kuropoka.

Kila aliyesema Simba ni kubwa kuliko Yanga aliropoka tu kulifurahisha kundi lake na kupunguza sonona yake.

Pamoja na Yanga kutofanya vizuri kwa misimu minne mfululizo lakini ukubwa wake haujatetereka, takwimu za bodi ya ligi zimethibitisha ukweli ambao ulikuwa unafichwa kwa kutumia fedha.
 
Nifah

JF-Expert Member
Feb 12, 2014
26,583
2,000
Unapoongelea mpira wa Nchi hii unaiongelea Yanga. Takwimu hizo bado tunasuasua hatujarudi kwenye ubora wetu. Tukirudi si itakuwa balaa?

Mafanikio ya hivi karibuni ya watani wetu laiti kama tungekuwa ndio sisi tungeshabeba taji la klabu bingwa Afrika!
Yule kocha wa TP Mazembe hakukosea, Yanga ndio timu kubwa ukanda huu wa Afrika Mashariki.
 
kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
7,492
2,000
Umeangalia kwenye nyanja ipi? Ukubwa wa timu unapimwa kwenye mafanikio, miundo mbinu je umeangalia kipengere gani?
Hata African Sports ya Tanga iliwahi kuchukuwa ubingwa wa ligi kuu, unataka kusema african sports ilikuwa kubwa kuliko simba na yanga?
 
kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
7,492
2,000
tunajua kitendo alichowafanyia river united hakitawaacha salama lazima mpate uchizi
Haaa, sio kweli, hata Simba kamili walifanywa hivyohivyo na UD Songo, kwani simba waliingia uchizi kwaajili ya hiyo? Yanga hawawezi kuingia uchizi kwakuwa sababu za kufungwa wanazo za ukweli kabisa kama vile wachezji wake mahiri 3 hawakuruhusiwa kucheza na preseason yao haikuwa ya kutoka kwa mashindano kama yale na timu kama ile. huna hoja. Sisi tumewasamehe wachezaji wote na viongozi wa Yanga kutokana na kufungwa na RIvers, kwani hata sisi tulijuwa kuwa itakuwa vigumu kuifunga timu ya nigeria kwa maandalizi hafifu kama yale.
 
kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
7,492
2,000
Unapoongelea mpira wa Nchi hii unaiongelea Yanga. Takwimu hizo bado tunasuasua hatujarudi kwenye ubora wetu. Tukirudi si itakuwa balaa?

Mafanikio ya hivi karibuni ya watani wetu laiti kama tungekuwa ndio sisi tungeshabeba taji la klabu bingwa Afrika!
Yule kocha wa TP Mazembe hakukosea, Yanga ndio timu kubwa ukanda huu wa Afrika Mashariki.
Eti mwamedi anasema hatakubali kulipwa sawa na Yanga bila kuwa na takwimu
 
Eng peter pan

JF-Expert Member
Sep 15, 2021
972
1,000
Kama huna takwimu unaweza kujisemea chochote, na kujisemea chochote ni kuropoka.

Kila aliyesema Simba ni kubwa kuliko Yanga aliropoka tu kulifurahisha kundi lake na kupunguza sonona yake.

Pamoja na Yanga kutofanya vizuri kwa misimu minne mfululizo lakini ukubwa wake haujatetereka, takwimu za bodi ya ligi zimethibitisha ukweli ambao ulikuwa unafichwa kwa kutumia fedha.
Kama huna takwimu unaweza kujisemea chochote, na kujisemea chochote ni kuropoka.

Kila aliyesema Simba ni kubwa kuliko Yanga aliropoka tu kulifurahisha kundi lake na kupunguza sonona yake.

Pamoja na Yanga kutofanya vizuri kwa misimu minne mfululizo lakini ukubwa wake haujatetereka, takwimu za bodi ya ligi zimethibitisha ukweli ambao ulikuwa unafichwa kwa kutumia fedha.
Tutajua panapovuja tar 25 utopolo jiandaeni kisaikolojia
 
rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
10,541
2,000
Haaa, sio kweli, hata Simba kamili walifanywa hivyohivyo na UD Songo, kwani simba waliingia uchizi kwaajili ya hiyo? Yanga hawawezi kuingia uchizi kwakuwa sababu za kufungwa wanazo za ukweli kabisa kama vile wachezji wake mahiri 3 hawakuruhusiwa kucheza na preseason yao haikuwa ya kutoka kwa mashindano kama yale na timu kama ile. huna hoja. Sisi tumewasamehe wachezaji wote na viongozi wa Yanga kutokana na kufungwa na RIvers, kwani hata sisi tulijuwa kuwa itakuwa vigumu kuifunga timu ya nigeria kwa maandalizi hafifu kama yale.
hizo sababu zako hazina msingi ratiba ilishatoka toka mwezi wa sita tunawajua nyie ni mabingwa wa vijisababu ukitaka kujua ukubwa wa simba waulize caf kwanini simba hawakuanza hatua ya awali ya mashindano
 
kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
7,492
2,000
Umeangalia kwenye nyanja ipi? Ukubwa wa timu unapimwa kwenye mafanikio, miundo mbinu je umeangalia kipengere gani?
Yanga ina jengo lenye nafasi ambalo wananchi wanaweza kutumia kwa mikutano, kutia ubani, kuuza na kununua jezi na tiketi, parking ya magari vyumba vya kulala wachezaji na ofisi
 
Pool Table

JF-Expert Member
Jan 30, 2020
713
1,000
Yanga ni kubwa kwanini tuwabishie sisi simba tunakubali sisi n team ya kawaida tukutane 25/9
 
Seth saint

JF-Expert Member
Oct 27, 2020
274
500
Ukiachana na mashabiki wa Arsenal ambao timu yao imeanza kufanya vizuri sasa hivi.Nadhani mashabiki wa Uto ndio wanafuata kwa mashabiki ambao dunia inabidi iwatizame kwa jicho la karibu.Mtu kujinyonga ni jambo la kawaida.Nadhani TFF msimu unaonza wa ligi kuu basi ikiwapendeza waunde kamati ya kutoa faraja kwa mashabiki wa Uto.
 
The imp

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
13,153
2,000
Unapoongelea mpira wa Nchi hii unaiongelea Yanga. Takwimu hizo bado tunasuasua hatujarudi kwenye ubora wetu. Tukirudi si itakuwa balaa?

Mafanikio ya hivi karibuni ya watani wetu laiti kama tungekuwa ndio sisi tungeshabeba taji la klabu bingwa Afrika!
Yule kocha wa TP Mazembe hakukosea, Yanga ndio timu kubwa ukanda huu wa Afrika Mashariki.
Timu ya wananchi

Mikia washatekwa na kanjibai
 
kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
7,492
2,000
Ukiachana na mashabiki wa Arsenal ambao timu yao imeanza kufanya vizuri sasa hivi.Nadhani mashabiki wa Uto ndio wanafuata kwa mashabiki ambao dunia inabidi iwatizame kwa jicho la karibu.Mtu kujinyonga ni jambo la kawaida.Nadhani TFF msimu unaonza wa ligi kuu basi ikiwapendeza waunde kamati ya kutoa faraja kwa mashabiki wa Uto.
Kama hiyo ni kweli basi Yanga wangegomea kwenda viwanjani kuiangalia timu yake. Yanga ni wanamichezo halisi, hawaoni aibu kuichangia timu yao kwa kutembeza bakuli. huwezi kumkataa mwanao kwasababu ana upele. Simba bila mwamedi ingeshashuka daraja.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom