kuagiza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania SHOPPING SERVICES: Nanunua, nafunga na kusafirisha bidhaa kutoka Kariakoo kwenda mikoa yote Tanzania na nchi jirani

    NANUNUA,NAFUNGA NA KUSAFIRISHA BIDHAA KUTOKA KARIAKOO KWENDA MIKOA YOTE TANZANIA NA NCHI JIRANI. HUDUMA ZA ZIADA 📌Nafuata,nafunga na kusafirisha bidhaa iliyokwisha kununuliwa Kariakoo kupitia mitandao kama fb na insta. 📌Nafanya ukaguzi na kuhakiki ubora wa bidhaa uliyonunua kariakoo kupitia...
  2. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia: Wanaopinga mkataba wa bandari wana mdomo. Msiwasikilize wanaohubiri ubaguzi

    Spika wa Bunge Dkt.Tulia awashukia vikali kama mwewe wanaopinga Mkataba wa Uwekezaji Bandarini. Hayo yamejili wakati wa ziara yake jimboni Mbeya kuelezea faida za uwekezaji wa DP world katika bandari nchini Watu wamesema sana na mimi huwa nakaa kimya nawasikiliza tu, Huwezi kuwa unabisha kila...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kuagiza mabelo ya mitumba toka UK, Canada na USA

    Wakuu, Ninapenda kuagiza mabelo ya mitumba toka UK, CANADA na USA. nimejaribu kusearch bila mafanikio. Kwa mwenye uzoefu, naomba maelekezo au ukashare linki ya site inayo uza.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kuagiza gari kutoka UK vs South Africa, Japa & Singapore

    Habari za leo waungwana. Mimi nataka kuagiza used gari kutuka nje na nime narrow down kwenye hizo nchi kwani ndio nimeambiwa magari mengi yanatoka huko Mazingatio makubwa kwangu ni Uimara, usalama na matengenezo ( japo nimeambiwa gari ambayo haijatumika sana hugharamiki sana matengezo au...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Tanzania Inajipanga Kuacha Kutumia Fedha za Kigeni Kuagiza Mafuta Nje ya Nchi

    WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI - TANZANIA INAJIPANGA KUACHA KUTUMIA FEDHA ZA KIGENI KUAGIZA MAFUTA NJE YA NCHI SERIKALI imekutana na wadau wa kuzalisha Mafuta ya kupikia kwa ajili ya kujadili changamoto zinazosababisha kushuka kwa bei ya Mafuta ya Alizeti nchini. Katika kikao kilichofanyika tarehe...
  6. Magari Aina Zote

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Unatafuta gari zuri la kuagiza nje ya nchi? Pita hapa

    Kupitia uzi sasa unaweza kuagiza gari yoyote kutoka; Japan✔ UK✔ Singapore✔ Dubai✔ China✔ Thailand✔ Korea✔ n.k NB: Ukiagiza gari nasi tunakupa full package; yaani kuagiza, ku-clear bandarini na kusajili. Pia ukihitaji delivery popote ulipo tunakuletea. Tunapatikana Rita towers, ghorofa ya 11...
  7. monotheist

    JamiiForums Tanzania Kuagiza mzigo alibaba

    Wakuu nimeongea na seller alibaba kama watatu nataka kuagiza smartwatch 30 pcs akanipa mchanganuo wa cbm 30*5.65=169.5usd naona kama gharama kubwa zaidi ya bei ya bidhaa au mimi ndo sijaelewa maana ni mgeni kwenye sbm nimeshazoea kuagiza AliExpress Je kuna njia yoyote naweza kutumia kupunguza...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuagiza gari japan

    Habari za humu members,naombeni msaada katika hili nimejichanga hela kidogo nna mil.12 net.Sasa nataka kufanya maamuzi ya kupata usafiri wangu wa kwanza kabisa (sijawahi miliki gari)nataka gari ndogo tu itakayo nisaidia kwenye mishe zangu za hapa mjini.naombeni mawazo kwenye maamuzi yangu haya...
  9. Sambinyakwe kitololo

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni msaada juu ya kuagiza Alibaba, bila kutumia njia zao za usafiri

    Nimekuwa nikiagiza mizigo AliExpress kwa muda Sasa ,, nataka tumia alibaba kwa baadhi ya mizigo Nimechat na seller kanitumia link na nili inquiry logistics company akanipa cheapest Ni Dola 30USD Njia za Alibaba zinaonekana Ni fast Sana Ila Zina Bei Sana Nasikia Kuna silent ocean nisaidieni...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya simu used kutoka Dubai

    Habari Ndugu Zangu Nataka Kufanya Biashara ya Simu used Kutoka Dubai, Naomba msaada wa vitu vifuatavyo. 1. Jinsi ya kupata connection ya kuagiza vitu hivyo Kutoka Dubai 2. Mtaji unaohitajika (Kima Cha chini ya Mtaji) 3. Je, Biashara hii Ina Faida nzuri?
  11. Rumi96

    JamiiForums Tanzania Msaada wa bidhaa za kuagiza China, zinazouzika Dsm.

    Wakuu habari ya majukumu! Nimepata mfadhili anataka awe ananitumia bidhaa kutoka China, kaniambia nifanye utafiti wa bidhaa zinazouzika Tanzania. Msaada wa bidhaa na mtaji unaohitajika, natanguliza shukrani.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Walioanzisha kodi leo wanaziita kandamizi na kuagiza zifutwe

    Nimeona gazeti la Habari Leo la tar. 05/03/2023 na kichwa cha habari. "CCM WAAGIZA KODI KANDAMIZI KUFUTWA" Nimetafakari na kuhitimisha kwamba aidha watanzania wanachezewa akili au hao wahubiri kuna mahali wanapwaya huko kwenye medula zao. Wanapoagiza zifutwe wanamuagiza nani? Mtu anaekaa...
  13. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa kibali kuagiza mchele nje ya nchi

    Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt.Ashatu Kijaji akiwa Dar es salaam leo amesema Serikali imetoa vibali vya kuingiza mchele nchini Tani Elfu 90 kwa ruhusa ya Rais Dkt.Samia “Tunatarajia kuanzia mwisho wa mwezi huu wa pili zao la mchele litapungua bei” Lengo la Serikali mchele ushuke...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Kuagiza ama kuuza mizigo (Internatianal trade)

    Habari za muda wanajukwaa. Mimi nina rafiki yangu aliepo Asia (korea) wakati wa kujadili Idea za hela akaniambia yeye anafanyaga pia International trade. Akaniambia kuwa maaana yake ni yeye ni mtafuta masoko wa kimataifa anatuma mizigo kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine ama bara jingine...
  15. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuagiza Pizza kwa miaka 10, ghafla kuna kitu hakikuenda sawa!

    Ilikuwa ni mwaka 2020, anajulikana kama Alexander Kirk alikuwa ni mmoja wa wateja kindaki ndaki wa Pizza katika Duka la Domino. Majirani wanasema ni mtu ambaye ni mara chache kuonekana mtaani na hata alipokuwa anagongewa mlango basi ilikuwa ni mara chache sana kuitikia au kufungua mlango...
  16. February Makamba

    JamiiForums Tanzania Wapi ni safe kuagiza LCD screen ya Huawei P40 lite kati ya Aliexpress au Alibaba?

    Wakuu, Katochi kangu kameanguka na kupasuka kioo..Najua Kariakoositakipata kwahyo Nina mpango wa kuagiza China, wapi ni salama zaidi na uhakika kupata bidhaa kati ya Aliexpress na Kikuu? Aliexpress sina experience nao lakini naona ndiyo wanavyo vingi na pia bei zao ni ndogo lakini sijajua issue...
  17. Elon Mzebuluni

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kuagiza bidhaa kutoka Marekani kwa kutumia kampuni ya Myus

    Habari wakuu. Poleni na majukumu. Ni mara ya tatu Naagiza bidhaa mbalimbali kutoka ebay kupitia kampuni ya myus. Mara mbili nimepokea bidhaa nilizoagiza bila changamoto yeyote. Mara hii ya tatu bidhaa inaonekana imefika dar es salaam na inaleta meseji ya Clearance delay- import. Clearance...
  18. Narumu newz

    JamiiForums Tanzania Urusi yaishiwa silaha yaamua kuagiza North Korea

    Super power mandonga aishiwa silaha, sasa akipigana miaka 2 si ataishiwa mpaka bunduki, hahaaaa super power wa mchongo anachekesha. Russia to buy North Korean artillery shells, rockets: Report Declassified intelligence from the US says that Moscow is turning to isolated state to secure weapons...
  19. Green Beret

    JamiiForums Tanzania Utaratabu wa kuagiza gari kutoka Japan

    Habari wakuu. Ninahitaji kuagiza gari nimejaribu kufuatilia mtandaoni nimeona kuna kampuni tofauti kama beforward, sbi nk. Napata changamoto maana nikiangalia bei zao ziko poa ila ukiangalia kampuni za tz instagram inakuwa mara mbili yake! Naomba ushauri kuhusu hizi kampuni, 1. kuhusu gharama...
  20. Rubo Motors Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya kuagiza magari kutoka Japan,Dubai,na UK, tuone "Rubo Motors

    Hasa kwa watu wa Kanda ya Ziwa na mikoa Jirani. Kwa mahitaji ya kuagiza magari kutoka Japan,Dubai,na UK, tuone "Rubo Motors Tanzania" magari tuagizayo ni Fuso, Canter,Hino,Isuzu,Rosa bus,Coaster,Nissan,na magari madogo ya kutembelea. Malipo ni awamu mbili. ambayo ni malipo ya awali na malipo...
Back
Top Bottom