kuagiza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mb-one

    JamiiForums Tanzania Nataka kuagiza gari ila imetembea zaidi ya kilometer 200,000

    Hello wakuu Nataka kuagiza X-Trail new model 2007, ila tatizo ni kuwa ina kM zaidi ya laki 2. Sasa nakuwa na wasiwasi, je inaweza ikawa engine yake haijachoka. Kuna mtu kaniambia road za wenzetu Japan hazina shida Kama huku bongo. Hebu naomba ushauri wenu wakubwa wa kazi.
  2. Rion Jr

    JamiiForums Tanzania Kuagiza kuku wa kienyeji

    Nilikuwa naomba kufahamu ni mkoani gani ambao una mbegu nzuri ya kuku wakienyeji kwa ajili ya kufuga na bei za hao kuku zikoje. Na gharama za usafirishaji zikoje ?
  3. JZHOELO

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Imekuwa ni shida sana kwa watanzania wengi kununua bidhaaa katika masoko haya ya mtandaoni kwani mengi huwa hayakupi fursa ya kutumiwa mzigo wako moja kwa moja Tanzania. Baadhi ya thread zilianzishwa na zimeelezea mengi sana kuhusiana na manunuzi haya ya mtandaoni, ila tulipata ufumbuzi mdogo...
  4. Jimbi

    JamiiForums Tanzania Rais anapata wapi mamlaka ya kuagiza Spika asilipe posho za Wabunge?

    Wakuu, ile dhana ya uwepo wa Mihimili Mitatu inayojitegemea ni DANGANYA TOTO TU. Magufuli amedhihirisha hilo leo kwa kuagiza Ndugai asilipe posho za Wabunge walioamua kujiweka "karantini". Kama Rais ana mamlaka ya kuliingilia Bunge, vipi kuhusu Mahakama? Atashindwaje kutoa maagizo yanayofanana...
  5. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Taratibu za Kuagiza Pikipiki kutoka nje ya Nchi

    Wakuu Habari. Naomba kujuzwa taratibu za kuagiza pikipiki kutoka nje (Mfano Japan). Kwa magari tunaona kuna website kama Beforward Tradecarview Autocom etc, sasa kwa pikipiki kuna utaratibu huo? Na ikishafika bandalini, wakati wa kuitoa ushuru una kadiriwaje au unafuata taratibu gani? Shukrani.
  6. Prodigy Oligarchy

    JamiiForums Tanzania Ipi ni kampuni bora ya kuagiza gari Japani

    Wana Jf habari, Pameibuka makampuni mengi sana, ambayo yanajihusisha na uuzaji magari kutoka japan kuleta huku Na kila moja akijitangaza kuwa bora zaidi. Kitu ambacho kwa wageni ambao wanahitaji kufanya maamuzi ya uagizaji, huwa kinawachanganya, wasijue ipi ni sahihi ipi sio. Naamini tunao...
  7. afrique

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri katika kuagiza gari. Je, nitumie mitandao mikubwa au niende kwa dealers

    Habari zenu, Nataka kuagiza gari naona hata hao makampuni ya kuagiza wanacwanachukua picha za beforwad na Japanese autocom. Sasa si heri ninunue tu huko beforwad au autocom! Ushauri wenu experts na experience zenu zitanisaidia
  8. pansophy

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kuingiza silaha (Bastola) kwa matumizi binafsi

    Habari wanajamvini Nimepita Tanganyika Arms kwa lengo la kujua utaratibu wa kuingiza silaha (bastola) kwa ajili ya matumizi binafsi lakini sikufanikiwa kupata majibu. Naomba muongozo kwa anayefahamu utaratibu wa kuingiza kifaa hiki.
Back
Top Bottom