Kuagiza mzigo alibaba

monotheist

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
720
943
Wakuu nimeongea na seller alibaba kama watatu nataka kuagiza smartwatch 30 pcs akanipa mchanganuo wa cbm 30*5.65=169.5usd naona kama gharama kubwa zaidi ya bei ya bidhaa au mimi ndo sijaelewa maana ni mgeni kwenye sbm nimeshazoea kuagiza AliExpress
Je kuna njia yoyote naweza kutumia kupunguza gharama ya shipping
 
Mara nyingi angalia comments za package unayonunua itakusaidia sn
..pia angalia products ambayo ina pcs chache zakununua kuna mwingine minimum ni zaidi ya unachonunua. ..alibaba kwa kumja ..Aliexpress niwa rejareja
 
Wakuu nimeongea na seller alibaba kama watatu nataka kuagiza smartwatch 30 pcs akanipa mchanganuo wa cbm 30*5.65=169.5usd naona kama gharama kubwa zaidi ya bei ya bidhaa au mimi ndo sijaelewa maana ni mgeni kwenye sbm nimeshazoea kuagiza AliExpress
Je kuna njia yoyote naweza kutumia kupunguza gharama ya shipping
Mbona kama hiyo ni gharama ya kununulia? mana kama pcs 1= 5.65$ mara 30pcs ndo inakuja 169.5 Usd.
Chakufanya mwambie una shipping agent, akupe gharama za 30 Pcs, Tafuta Local Shipping Agent (ninauzoefu na Jamaa wanaitwa Shamwaa wako faster) Mwambie supplier akupe dimension ya box iliyobeba hizo smart watch WD X L X D. ingia kwenye site ya Shamwaa sehemu ya Shipping Calculator ingiza hizo details utapata Gharama za kusafirisha hadi Dar
 
Sawa mkuu maana niliwacheki yoonek cargo wakasema wanahesabu kila pc ya saa ni elfu 25 kwa meli na kwa ndege ni 50usd
 
Hapana Kwa meli wana charge kwa CBM, CBM moja kuna wana charge 400/450/500$ kutokana na aina ya mzigo, na kama mzigo wako haujafika CBM kuna namna ya kukokotoa kupata gharama ya mzigo wako na kwa ndege huwa wanacharge kwa KG na kg moja buwa inaanzia $13 kutegemea na kampuni unayotumia
 
25*23*36 hiyo ni cbm ngapi mkuu
 
Back
Top Bottom