kuagiza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni jambo la hekima sana kumweka wazi bajeti yako kwenye mtoko wa date lasvyo umempa tiketi ya kuagiza vinywaji ghali na kuleta marafiki zake, n.k.

    Hii ni muhimu zaidi kwetu wenye vipato vya kawaida. Sio jambo la aibu hata kidogo wala sio urijali wala ujanja kwenda date bila kumpanga mapema kuhusana na bajeti. Ukishindwa kujipanga jiandae kupata aibu, kuharibu bajeti yako, n.k. Kumjuza bajeti yako itakusaidia mapema kujua kama yupo nje ya...
  2. S

    JamiiForums Tanzania TCRA, acheni kujitetea kuhusu mikopo ya mtandaoni; je, hamna uwezo wa kuagiza makampuni ya simu kutosajili lipa namba wanazotumia kupokea marejesho?

    Watanzania, tufike mahali tujiulize swali hli dogo tu: Mikopo ya mitandaoni hutolewa kwa wateja kutumiwa hela kwenye simu zao na zaidi marejesho hutumwa kwa haya makampuni kwa kutumia lipa namba za mitandao ya simu. Sasa kama mpaka wanakuwa wamesajili lipa namba kwenye menu ya mitandao ya simu...
  3. Backend

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuagiza bidhaa kutoka China kwa kununua katika mtandao wa Alibaba nikapata hiyo bidhaa Kwa bei nafuu zaidi?

    Wakuu habari ya muda huu, hongereni kwakuendelea kupambana kuhakikisha ndoto zenu zinatimia🤝 hakika Atukuzwe Mungu anaye tuwezesha katika Hatua hizi zote🙏. Wakuu nimekuwa nikiangalia Bei za bidhaa mbalimbali zinazouzwa katika mtandao WA Alibaba kwakweli zina Bei nafuu kuliko hapa nyumbani..Sasa...
  4. Hommy

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kuagiza bidhaa mtandaoni

    Mala kwa mala huwa naagiza bidhaa kupitia aliexpress na kupokea mzigo kupitia posta kwa sasa nataka kuagiza mzigo kupitia alibaba na mzigo ni mdogo tu ambao nitatumia agent kama silent ocean n.k ila kunakitu kinanitatiza je kwa huku mkoani nitaupokelea wapi bila ya mimi kufika dar, na je hawa...
  5. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilichokiona mara ya kwanza baada ya kuagiza kitu ebay

    Nilikuwa sijawahi kufanya manunuzi ya kitu mtandaoni, kwa mara ya kwanza tarehe 5/08/2024 nilifanya manunuzi ya miwani ya macho katika mtandao wa eBay, hii ni baada ya miwani yangu kupasuka. Niliingia katika mtandao wa eBay, nikasearch aina ya miwani ninayoitaka, nilishangaa sana bei...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Tumekosana hatuongei! kisa nimemfananisha na mafarisayo, anadai kuagiza chakula hotelini au kujaza mafuta gari yako siku ya Sabato ni dhambi!

    Wadau hamjamboni nyote? Ni kisa cha kweli kabisa nimeona nikilete kwenu tupeane uzoefu Nimekosana na rafiki yangu wa karibu kwa sababu zisizo na mashiko kabisa! Tulianza kama utani kujadili amri za Mungu na tulikwenda vema tu hadi tulipofikia kujadili utunzaji amri ya nne ndipo tukakosana...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu wa kuanzisha biashara ya kuagiza magari nje ya inchi

    Kama ujumbe unavyojieleza natafuta mtu mwenye wazo la biashara ya kuagiza magari mtandaon
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nataka kuagiza dawa India

    Samahani ndugu zangu kuna dawa naihitaji lakini kwa hapa Tanzania haipatikani. Nataka kuagiza nje ya nchi kama vile India. Maomba mwenÿe connection na phamacy za India na huwa anaweza kuagiza au kama kuna mtu hapa Tanzania huwa anaagiza dawa nje ya nchi anisaidie kwa kuja inbox.
  9. Candela

    JamiiForums Tanzania Msaada kuagiza bidhaa ambazo haziji tanzania

    Hello, nahitaji muongozo kuagiza bidhaa ambazo ukiingia Amazon unaambiwa THIS ITEM DOES NOT SHIP TO YOUR LOCATION. Nina soundbar nililetewa na mtu imekufa, nataka kuagiza nyingine lakini haiwezi kuwa shiped Africa. Kuna mtu aliniambia nicheki PROSHIP ila sina uhakika na usalama wa pesa, almost...
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Sio Aibu kwa Tanzania Kuagiza Chakula, Sukari, Mafuta ya Kula,Wakati Tuna Ardhi na Vyanzo Lukuki vya Maji? BigUP Sana Awamu6 Kusisimua Kilimo kwa BBT!

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la leo Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala elimishi za kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huwa na swali, jibu utatoa mwenyewe, swali la leo, hivi sio aibu sana kwa nchi yetu Tanzania kuagiza chakula kama mchele, ngano, sukari na mafuta...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Sheria ya kuruhusu National Food Reserve Agency (NFRA) kuagiza sukari toka nje ya nchi imekwisha sainiwa?

    Katika kikao cha Bunge kilichomalizika hivi karibuni walitunga sheria ya kuruhusu National Food Reserve Agency (NFRA) kuagiza sukari toka nje ya nchi. Je sheria hiyo imekwishasainiwa na Mhe. Rais?.
  12. steve_shemej

    JamiiForums Tanzania AUFAFANUZI KUAGIZA TV KWA BEI YA VIWANDANI

    NILIKUJA NA UZI KUHUSU KUAGIZA TV WENGI WALINIPIGIA WAKITAKA UFAFANUZI SASA SOMA VIZURI MAELEZO HAYA CHINI SPECIAL BIG ODA TV SMART BRAND:SAMSUNG / LG /HISENSE 💫32@160000 💫43@300000 💫50@480000 💫55@500000 💫65@540000 💫75@740000 💫85@1000000 Smart TV android TV zote 0713861567 Bei za usafiri...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Profesa Bengesi: Serikali haikuchelewesha Vibali vya Kuagiza Sukari, Wazalishaji wenyewe walichelewa kuvichukua

    BODI ya Sukari Tanzania imekanusha taarifa za kuchelewa kutoa vibali vya uagizaji wa sukari kwa kampuni za wazalishaji nchini, badala yake baadhi ya kampuni hizo zilichelewa zenyewe kuchukua vibali hivyo. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Bodi ya Sukari Tanzania, Profesa Kenneth Bengesi...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Je ni sawa kuagiza cheti kipya Cha kuzaliwa kama Cha mara ya kwanza kimekosewa?

    Habari Wana JF cheti changu Cha kuzaliwa kimekosewa spelling tu kwenye jina la baba na ukoo sasa nauliza ni sawa nikiagiza cheti kipya au ni mpaka nifate taratibu za kubadili? Maana Niko mbali na nilipochukulia cheti na taratibu zinasema niende nilipochukulia
  15. T

    JamiiForums Tanzania Tunatoa usaidizi na ushauri katika kuagiza gari

    Habari wanajamvi, Nikiwa na passion, uzoefu kiasi ktk mchakato wa kuagiza magari Japan hadi mkononi. Nimedhamiria kama fursa kuleta wazo hapa namna navyoweza kuwasaidia wale wahitaji wa kuagiza magari kutoka nje..ambao pengine wanahitaji usaidizi. Mchakato uko hivi; 1)Tuwasiliane tujadili gari...
  16. MK254

    JamiiForums Tanzania Mataifa ya waarabu yaanza kuagiza raia wake waondoke Lebanon, huku Israel ikianza maandalizi ya kuifanya Lebanon iwe kama Gaza

    Lebanon iliachia nchi yake itumike na magaidi wa kiislamu, sasa leo hii inapotaka kufanywa kama Gaza, waarabu wanaihama badala ya kubaki wapambane dhidi ya Israel. ================== The Kuwaiti Foreign Affairs Ministry has called on its citizens who are currently in Lebanon to leave the...
  17. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Kuagiza gari nje ya nchi ujipange (2024/25 FY)

    1. Wale wote wanataka kuagiza magari nje ya nchi mwaka ujao wa fedha wajipange maana Dr wa Uchumi (PhD) First class ameongeza tozo ya kuchangia ujenzi/maendeleo ya reli (1.5% mpaka 2.0% ya CIF) katika kodi utakazolipia. 2. Usiseme hukuambiwa, watu wanataka kununua majumba Dubai na kuongeza...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka wa Tundu Lissu kuwataja masheikh na maaskofu waliopewa vibali vya kuagiza sukari kwa ushirika wa Bashe na Mwigulu

    Salaam,Shalom, Ushahidi wa Luhaga Mpina uko dhahiri kuwa Kuna uwezekano mkubwa kuwa TUNDU Lissu alisema Kweli juu ya kuhusika Kwa baadhi ya masheikh na maaskofu kuhujumu Taifa Kwa kutengeneza mgao wa sukari nchini Ili kupata faida binafsi. TABIA hii ya Kiongozi Mkuu kunyamazia HOJA zenye...
  19. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Watanzania tupo tayari kupokea Electrical Vehicles (EVs)?

    Wakuu habari. Bado Watanzania wengi tuna wasiwasi kuhusu "transformation" kutoka kwenye magari ya kutumia mafuta (ICE - Internal Combustion Engine) kwenda magari ya Hybrid (pamoja na Plug-in Hybrid) au kumaliza kabisa full Battery Electrical Vehicles (BEV). Nilikua napenda tujaribu kudiscuss...
  20. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu Kwa wale wanaotaka kuagiza magari kipindi hiki

    Wakuu... Baada ya kuuza Rumion yangu siku ya jumatano uliyopita nilingia fasta mitandaoni kuagiza gari ninayoikusudia. Siku ya alhamisi asubuhi nilienda Kwa agent ili nianze process za kulipia gari hakika hapo ndipo nilichoka kabisaa baada kuambiwa kuwa hakuna dollar kwenye bank, kumbuka haya...
Back
Top Bottom