Rapa na Mtayarishaji Mkongwe wa Muziki wa Hip Hop, Snoop Dogg ametangaza kuacha Uvujati Sigara baada ya kukaa na kushauriana na Familia yake.
---
Rapper na nyota wa hip hop Snoop Dogg ametangaza kuacha kutumia bangi. Mwanamuziki huyo, ambaye jina lake halisi ni Calvin Broadus, alifanya tangazo...