kuachana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bwana Bima

    JamiiForums Tanzania Yanga walifanya uamuzi wa maana kuachana na mcameroon

    Nadiriki kusema hivyo kwasababu inasemakana bwana yule mahop alifika mpaka Dar akaomba mshahara wa milion 35 per month na alipwe pesa yote ya signing fee. Jaman nina maswali mengi aana kichwani kuhusu hili je ni kweli au ni propaganda za makolo? Kwanza je kuna mchezaji wa kulipwa kwa daraja...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Luis Miqsonne avunja mkataba na Al Ahly

    Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika kutoka Misri, Club ya Al Ahly ya Misri imevunja Mkataba na Mchezaji wa Kimataifa wa Msumbiji Luis Jose Miquissone kwa makubaliano ya pande zote mbili. Miquissone alijiunga na Al Ahly ya Misri akitokea Simba SC ya Tanzania 2021 ila amekosa nafasi ya kucheza...
  3. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Bayern Munich yajipanga kuachana na Sadio Mane

    Kocha wa Bayern Munich, Thomas Tuchel amekiri kuwa usajili wa raia huyo wa Senegal haujawa na mafanikio kwa kuwa mchezaji ameshindwa kufikia malengo, hivyo anaweza kuuzwa kwa Paundi Milioni 17 ikiwa ni mwaka mmoja tu tangu alipoajiliwa kutoka Liverpool kwa Pauni Milioni 35. Bayern ina mpango...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku: Watanzania hawajaridhika na uwekezaji wa bandari, serikali isione aibu kuachana nao

    Mzee Butiku anasema kwa namna kelele zilivyo nyingi kuhusu suala la bandari serikali Ina namna mbili tu.. 1. Kiheshimu hofu na maoni ya wananchi kwamba hawajaridhika na suala hili, au 2. Kuwapuuza wananchi na kuendeleza na suala hili. Lakini wapime madhara ya kila uamuzi watakaoifanya...
  5. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Kila kitu Yanga, wengine hamuwaoni?

    MDAU - KILA KITU YANGA, WENGINE HAMUWAONI...! ✍️ Kaandika mdau wa soka, Ole Mushi ! "KWA NINI WACHEZAJI WA SIMBA HAWAULIZIWI NA TIMU KUBWA ZA NJE?" "Sijasikia mchezaji hata mmoja wa Simba SC kutakiwa kununuliwa na timu za nje. Karibia wachezaji wote wa Yanga SC timu za nje zimetuma maombi ya...
  6. PakiJinja

    JamiiForums Tanzania Huyu si alishamtema Mwamba? Mbona anajipigisha U-Turn?

    Kwamba alikua anatingisha kiberiti au?
  7. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafikiria kuachana na mke wangu

    T
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Simba kuachana na Okrah Magic

    Augustine Okrah na Simba wamefikia makubaliano ya kuachana mwishoni mwa msimu huu, imethibitishwa. 🚨🇬🇭 Okrah alisaini mkataba wa mwaka mmoja na Simba wenye kipengele cha kuongezwa zaidi. Mambo hayakwenda sawa kama ilivyopangwa kwa hivyo pande zote mbili zimeamua kuachana. Hivyo, msimu ujao...
  9. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulioacha wake zetu kwa sababu ya usaliti waliotufanyia tukutane hapa

    Habari wana JF. Leo na leta kisa changu hiki kilichonitokea, nina miaka 38 sasa. Ni Baba wa watoto 2 nilizaa na wanawake wawili. Wa kwanza mke wangu wa pili niseme kama mchumba tuu. Miaka kama 12 hivi iliyopita nilikutana na mdada mmoja kanisani, nilimpenda kwa muonekano wake hasa mavazi yake...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Sauti Sol kutengana kwa muda usiofahamika, Mashabiki wagoma kuelewa

    Kundi hilo la Muziki linaloundwa na Mastaa wa kiume 4 kutoka Kenya, Bien-Aime Baraza, Willis Chimano, Polycarp Otieno na Savara Mudigi, limetangaza kuwa litatengana baada ya kuwa pamoja kwa miaka 20. Kwa mujibu wa taarifa, Kundi hilo litatengana rasmi baada ya kumaliza ziara yao Desemba 16...
  11. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnafanyeje kuachana na wanawake wasiowataka huku wamekula pesa zenu

    Huyu kala pesa zangu nyingi lakini hataki kutoa mzigo. Alinipa mara Moja tu Tena baada ya kulazimisha. Najitahid niachane nae lakini nafsi inagoma. Kibaya zaidi tumepanga ghorofa Moja. Akiniona anabaki uchiuchi
  12. L

    JamiiForums Tanzania Uingereza yapaswa kuachana na mawazo ya kuwa “Bwana wa Kikoloni”

    Waziri wa Biashara wa Uingereza Dominic Johnson hivi karibuni alifanya ziara mjini Hong Kong, China, akiwa na lengo la “kuihimiza Uingereza kupata uwekezaji na biashara zaidi”. Hata hivyo, bado hakuacha kufuatilia mambo ya ndani ya Hong Kong, na kudhihirisha kuwa ni vigumu kwa Uingereza kuacha...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Iringa: Ajinyonga baada ya kuachana na mkewe

    Kijana Carlos Mwamilinga aliyekuwa na miaka 37, amekutwa amejinyonga kwa kamba katika chumba alichokuwa akiishi eneo la Njiapanda ya Mtwivila kwa kile kinachodhaniwa kuwa ni kutingwa na mawazo kupita kiasi kutokana na kuachana na mkewe mwezi mmoja uliopita. Marafiki na majirani wa marehemu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Samsung kuachana na Google Kama Search Engine

    Imeripotiwa kuwa Samsung wana mpango wa kuanza kutumia Bing ya Microsoft kama default search engine. Taarifa zinasema kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya AI ambapo ChatGPT iliyo chini ya Microsoft kuonekana kuwavutia wengi imefanya Samsung wafikirie kutumia Bing kama default search engine...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Samsung kuachana na Google kama Default Search Engine

    Imeripotiwa kuwa Samsung wana mpango wa kuanza kutumia Bing ya Microsoft kama default search engine. Taarifa zinasema kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya AI chatbot ambapo ChatGPT iliyo chini ya Microsoft kuonekana kuwavutia wengi imefanya Samsung wafikirie kutumia Bing kama default search...
  16. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuachana na aibu ukiwa ua mwanamke

    Njia pekee ya kuacha aibu ni kufanyia mazoezi. Fanya mazoezi ya kuwa jasiri utakavyo. Fanya mazoezi kwa wanawake wengi uwezavyo. Ongea chochote na wanawake wengi uwezavyo. Huna cha kupoteza wakati unafanya mazoezi. Kama utasoma haya na hufanyi mazoezi ni kazi bure. Pia baada ya muda utaachana na...
  17. farfat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inakuchukua muda gani kuanza kutafuta mpenzi baada ya kuachana?

    Tupo katika kipindi cha toba kwa dini zote, Islamic na Christian tupo katika Ramadan na Kwa Resma, ni matumaini yangu mnashirki vyema na Mungu awabariki. Kwa hakika mahusiano hayajawahi kuwa rahisi iwe katika uchumba ama ndoa. Kuna ups n down nyingi za kukatisha tamaa, ila wakudumu wanadumu na...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Urusi, China, Iran na Saudi Arabia zaanza maandalizi ya kuachana na matumizi ya Dola ya Marekani

    Ripoti mbalimbali zinadai kuwa Benki kuu za Urusi na Uchina zimeanza kuondoa akiba ya dola ya Marekani katika hifadhi yake huku biashara zake nyingi zikiendeswa kwa Yuan ya China. Kuhama huku kutoka kwenye dola kumechochewa na vikwazo vilivyowekwa dhidi ya Urusi kwa kuivamia Ukraine...
  19. vance12

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, umewahi kuachana na mtu uliewahi kumpenda? Ilikuwaje?

    Kati ya vitu vigumu ambavyo vimekuwa vinawasumbua vijana wengi sikuhizi ni pale anapokuwa ana mapenzi na mtu ambaye kiukwel yeye anampenda kutokana na mazingira labda waliokutana au vitu walivyofanya pamoja lakni mwenzake anakuwa hampendi kabsa na kuna vitu baaadhi anakuwa anafanya ili tu...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Drake anafikiria kuachana na masuala ya Muziki

    Drake anaweza kuwa anafikiria mpango wa kuondoka kwenye game. Rapa huyo anaonekana kuongelea kustaafu kwake wakati wa mahojiano na "rafiki yake mkubwa" Lil Yachty kupitia mazungumzo ya tangazo la kampuni ya miwani ya jua ya FUTUREMOOD. ============ “I think I’m at the point now where I just...
Back
Top Bottom