Nawezaje kuachana na mwanaume mbabe anayeniingilia kinyume?

AmKATRINA

JF-Expert Member
Jul 27, 2012
414
366
Habari za wakati huu wanafamilia wote wa Jamii Forums, hasa wa jukwaa hili la MMU.

Nimekuja kuleta tatizo langu kwenu hapa jukwaa ili kama kuna mtu/daktari/mtoa ushauri/mwanasaikolojia atakayeweza kunisaidia basi na aweze kunisaidia. Japo ni tatizo la aibu au la fedheha, lakini nina imani ninaweza pata msaada angalau nikafanikiwa kumaliza hili tatizo kama sio kulimaliza kabisa.

Historia yangu inaanzia miaka kama 5 iliyopita, nilipata mwanaume ambae kiukweli tulipendana sana, ingawa alikuwa amenizidi umri, hilo sikulizingatia kwa sana.

Tulianza mapenzi na baada ya muda wa kama miezi 4 akaanza kunilazimisha aniingilie kinyume na maumbile nami kwa kuwa nilikuwa na mapenzi nae, nilikubali japo awali sikutilia maanani kama tatizo hili litakuwa kubwa.

Basi, tukawa tunaendelea na mchezo huo mpaka nikawa nazoeazoea, ikafika mahali nikawa nikichepuka, basi lazima huyo mwanaume wa pembeni ninaechepuka nae nimlazimishe aniingilie nyuma.

Ikawa tabia yangu na kiukweli niliifurahia ile hali japo nilitaka kuacha, ila naogopa kuharibu mahusiano yangu. Ikafikia hatua nachoka kufanya hayo ila najilazimisha tu.

Shida inakuja hivi, nataka niachane na hii hali na pia niachane na huyo mwanaume maana naweza jikuta naharibikiwa sana. Mwanaume amesema nikijaribu kumuacha, atanivurugia mahusiano yangu mapya kila niendapo.

Pia anadai eti ana video zangu wakati akinitendea hiko kitendo (hapo naweza nisiamimi maana hatujawahi kushika simu au kujirekodi popote wakati wa tendo).

Msaada, nifanyaje?
Nikamshtaki au nipambane nae kiume? Kwanza nitamshtaki kwa nani?

Kupambana nae najua aidha nitashinda au nitaharibu kila kitu.
 
Habari za wakati huu wanafamilia wote wa Jamii Forums, hasa wa jukwaa hili la MMU.
Nimekuja kuleta tatizo langu kwenu hapa jukwaa ili kama kuna mtu/daktari/mtoa ushauri/mwanasaikolojia atakayeweza kunisaidia basi na aweze kunisaidia....japo ni tatizo la aibu au la fedheha, lakini nina imani ninaweza pata msaada angalau nikafanikiwa kumaliza hili tatizo kama sio kulimaliza kabisa.

Historia yangu inaanzia miaka kama 5 iliyopita, nilipata mwanaume ambae kiukweli tulipendana sana, ingawa alikuwa amenizidi umri, hilo sikulizingatia kwa sana.
Tulianza mapenzi na baada ya muda wa kama miezi 4 akaanza kunilazimisha aniingilie kinyume na maumbile nami kwa kuwa nilikuwa na mapenzi nae, nilikubali japo awali sikutilia maanani kama tatizo hili litakuwa kubwa.
Basi, tukawa tunaendelea na mchezo huo mpaka nikawa nazoeazoea, ikafika mahali nikawa nikichepuka, basi lazima huyo mwanaume wa pembeni ninaechepuka nae nimlazimishe aniingilie nyuma.
Ikawa tabia yangu na kiukweli niliifurahia ile hali japo nilitaka kuacha, ila naogopa kuharibu mahusiano yangu.
Ikafikia hatua nachoka kufanya hayo ila najilazimisha tu
.....Shida inakuja hv, nataka niachane na hii hali na pia niachane na huyo mwanaume maana naweza jikuta naharibikiwa sana.
Mwanaume amesema nikijaribu kumuacha,atanivurugia mahusiano yangu mapya kila niendapo.
Pia anadai eti ana video zangu wakati akinitendea hiko kitendo...(hapo naweza nisiamimi maana hatujawahi kushika simu au kujirekodi popote wakati wa tendo)

Msaada, nifanyaje?
Nikamshtaki au nipambane nae kiume?
Kwanza nitamshtaki kwa nani?

Fanya TOBA. Itakuwa umemaliza kila kitu.
 
Cc: Evelyn Salt & Madame B
 
Ulitakiwa uachane naye Ile siku aliyokuomba akuingilie kinyume.....

Sasa mkiachana unataka ukawe na Nani? Yaani mkaka wa watu ajitunze, hajui na hajawahi Kula kisamvu ndo unataka ukaanze nae mahusiano halafu umfundishe tabia mbaya🤣🤣🤣 Inauma.

Waliosema mabinti tujitunze hawakuwa wajinga kumbe.
 
Si ni kupunguza mawasiliano nae hali itakayomfanya atafute mbadala wako Kisha utamove on ila hapo shida naona ni namna utakavyoshughulika na akili Yako ambayo imeshazoea huo mchezo kwa kuanza labda uende muhimbili wakupe matibabu
 
Mpe na taratibu na kanuni za TOBA.
Asome Zaburi ya 51 kwa kumaanisha, na Kisha aombe tu kwa kusema Yesu naomba Toba na Rehema kwa kuwa nilikuwa nafanya anataja ... naomba unirehemu maana neno lako linasema katika 1wakorintho 6:9 kuwa wafiraji hawataurithi ufalme wa Mungu naomba Leo unirehemu Mimi na kizazi changu utuondolee uovu huu, ututakase kwa damu yako...

Aombe mpaka apate amani moyoni...

Kwa muendelezo Kila siku
 
ikafika mahali nikawa nikichepuka, basi lazima huyo mwanaume wa pembeni ninaechepuka nae nimlazimishe aniingilie nyuma.
JamiiForums496604964.jpg
 
Habari za wakati huu wanafamilia wote wa Jamii Forums, hasa wa jukwaa hili la MMU.
Nimekuja kuleta tatizo langu kwenu hapa jukwaa ili kama kuna mtu/daktari/mtoa ushauri/mwanasaikolojia atakayeweza kunisaidia basi na aweze kunisaidia....japo ni tatizo la aibu au la fedheha, lakini nina imani ninaweza pata msaada angalau nikafanikiwa kumaliza hili tatizo kama sio kulimaliza kabisa.

Historia yangu inaanzia miaka kama 5 iliyopita, nilipata mwanaume ambae kiukweli tulipendana sana, ingawa alikuwa amenizidi umri, hilo sikulizingatia kwa sana.
Tulianza mapenzi na baada ya muda wa kama miezi 4 akaanza kunilazimisha aniingilie kinyume na maumbile nami kwa kuwa nilikuwa na mapenzi nae, nilikubali japo awali sikutilia maanani kama tatizo hili litakuwa kubwa.
Basi, tukawa tunaendelea na mchezo huo mpaka nikawa nazoeazoea, ikafika mahali nikawa nikichepuka, basi lazima huyo mwanaume wa pembeni ninaechepuka nae nimlazimishe aniingilie nyuma.
Ikawa tabia yangu na kiukweli niliifurahia ile hali japo nilitaka kuacha, ila naogopa kuharibu mahusiano yangu.
Ikafikia hatua nachoka kufanya hayo ila najilazimisha tu
.....Shida inakuja hv, nataka niachane na hii hali na pia niachane na huyo mwanaume maana naweza jikuta naharibikiwa sana.
Mwanaume amesema nikijaribu kumuacha,atanivurugia mahusiano yangu mapya kila niendapo.
Pia anadai eti ana video zangu wakati akinitendea hiko kitendo...(hapo naweza nisiamimi maana hatujawahi kushika simu au kujirekodi popote wakati wa tendo)

Msaada, nifanyaje?
Nikamshtaki au nipambane nae kiume?
Kwanza nitamshtaki kwa nani?
Kupambana nae najua aidha nitashinda au nitaharibu kila kitu.
almost miaka 5 anakuingilia kinyume , na ww why uchepuke na kumlazimishia mwanaume mwingine akuingilie kinyume
 
Back
Top Bottom