kuachana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Iringa: Ajinyonga baada ya kuachana na mkewe

    Kijana Carlos Mwamilinga aliyekuwa na miaka 37, amekutwa amejinyonga kwa kamba katika chumba alichokuwa akiishi eneo la Njiapanda ya Mtwivila kwa kile kinachodhaniwa kuwa ni kutingwa na mawazo kupita kiasi kutokana na kuachana na mkewe mwezi mmoja uliopita. Marafiki na majirani wa marehemu...
  2. M

    Samsung kuachana na Google Kama Search Engine

    Imeripotiwa kuwa Samsung wana mpango wa kuanza kutumia Bing ya Microsoft kama default search engine. Taarifa zinasema kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya AI ambapo ChatGPT iliyo chini ya Microsoft kuonekana kuwavutia wengi imefanya Samsung wafikirie kutumia Bing kama default search engine...
  3. M

    Samsung kuachana na Google kama Default Search Engine

    Imeripotiwa kuwa Samsung wana mpango wa kuanza kutumia Bing ya Microsoft kama default search engine. Taarifa zinasema kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya AI chatbot ambapo ChatGPT iliyo chini ya Microsoft kuonekana kuwavutia wengi imefanya Samsung wafikirie kutumia Bing kama default search...
  4. Infinite_Kiumeni

    Jinsi ya kuachana na aibu ukiwa ua mwanamke

    Njia pekee ya kuacha aibu ni kufanyia mazoezi. Fanya mazoezi ya kuwa jasiri utakavyo. Fanya mazoezi kwa wanawake wengi uwezavyo. Ongea chochote na wanawake wengi uwezavyo. Huna cha kupoteza wakati unafanya mazoezi. Kama utasoma haya na hufanyi mazoezi ni kazi bure. Pia baada ya muda utaachana na...
  5. farfat

    Inakuchukua muda gani kuanza kutafuta mpenzi baada ya kuachana?

    Tupo katika kipindi cha toba kwa dini zote, Islamic na Christian tupo katika Ramadan na Kwa Resma, ni matumaini yangu mnashirki vyema na Mungu awabariki. Kwa hakika mahusiano hayajawahi kuwa rahisi iwe katika uchumba ama ndoa. Kuna ups n down nyingi za kukatisha tamaa, ila wakudumu wanadumu na...
  6. BARD AI

    Urusi, China, Iran na Saudi Arabia zaanza maandalizi ya kuachana na matumizi ya Dola ya Marekani

    Ripoti mbalimbali zinadai kuwa Benki kuu za Urusi na Uchina zimeanza kuondoa akiba ya dola ya Marekani katika hifadhi yake huku biashara zake nyingi zikiendeswa kwa Yuan ya China. Kuhama huku kutoka kwenye dola kumechochewa na vikwazo vilivyowekwa dhidi ya Urusi kwa kuivamia Ukraine...
  7. vance12

    Je, umewahi kuachana na mtu uliewahi kumpenda? Ilikuwaje?

    Kati ya vitu vigumu ambavyo vimekuwa vinawasumbua vijana wengi sikuhizi ni pale anapokuwa ana mapenzi na mtu ambaye kiukwel yeye anampenda kutokana na mazingira labda waliokutana au vitu walivyofanya pamoja lakni mwenzake anakuwa hampendi kabsa na kuna vitu baaadhi anakuwa anafanya ili tu...
  8. BARD AI

    Drake anafikiria kuachana na masuala ya Muziki

    Drake anaweza kuwa anafikiria mpango wa kuondoka kwenye game. Rapa huyo anaonekana kuongelea kustaafu kwake wakati wa mahojiano na "rafiki yake mkubwa" Lil Yachty kupitia mazungumzo ya tangazo la kampuni ya miwani ya jua ya FUTUREMOOD. ============ “I think I’m at the point now where I just...
  9. tpaul

    Mpenzi wako akianza kukuletea msharti, achana naye tafuta mpenzi mwingine; kwani kuachana shilingi ngapi?

    Habari wana MMU? Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Naomba kuwashirikisha kisa kimoja na mpenzi wangu Salma. Tumekuwa kwenye mahusiano kwa takribani miaka 2 ijapokuwa kimtindo. Siku za nyuma nilimfungulia kibiashara akawa anajishughulisha nacho lakini baadaye alikula mtaji...
  10. U

    Hofu ya kuongezewa mke mwenza, wepesi wa kutoa talaka na kuachana bila kugawana mali inachangia wanawake waislam kuwa na adabu kuzidi wakristo?

    Nimejaribu kutafakari hili jambo ila nimeona nikilileta humu naweza kupata michango ya ziada yenye afya, Kwa maoni yangu nimeona ipo hivi, ningependa nisahishwe nilipokosea, kuongezewa nilipopunguza, n.k. Kuoa mke moja vs ruhusa ya kuongeza - kwetu wakristo unakuta mwanamke ukimuoa kiburi...
  11. X

    Dkt. Mwaka ajitafakari. Upendo ukiisha ni busara kukubali kuachia na maisha yaendelee

    Kuna kipindi sisi wanaume huwa tunajipalilia maanguko yetu sisi wenyewe. Haijalishi umempenda mtu kiasi gani, ikifikia wakati upendo ukaisha ni busara kukubali kuachia na maisha yaendelee. Kupitia hili sakata la Mwaka na mke wake, Mwaka anaweza akahisi ameshinda, ila daima mwanamke sio wa...
  12. Tanzania Nchi Yetu Sote

    Hoja za Kihiyo uamuzi wa NECTA kuachana na utaratibu wa kutangaza top 10 na mwanafunzi bora

    Nimefuatilia kwa karibu mitizamo kinzani ya wadau wa elimu na wanaharakati mbalimbali baada ya Baraza la mitihani Tanzania kutangaza matokeo kidato cha nne 2022, na hoja kubwa iliyoleta mjadala mtandaoni ni ile ya Baraza la mitihani Tanzania kuondoa utaratibu wa kutangaza shule kumi bora...
  13. C

    Nimeamua kuachana na mademu

    Kwema wandugu, Nimeona kufukuzia watoto wazuri inanidistract Sana nisifikie malengo yangu so naona Bora nipige chini nianze kufocus kwenye Mambo ya kujitafutia maendeleo.
  14. paul miteda

    Ndoa yangu inakwenda kuvunjika naombeni ushauri nifanyeje?

    Nimeishi na mwanamke miaka 10 tuna mtoto mmoja wakike yupo darsa la 5. Mimi ni fundi ujenzi nafanya kazi za mashirika kama NSSF, ALUMINIUM EMIRRAT naza mitaani ndogo ndogo. Familia naihudumia kwa kila kitu na mke anafanya kazi siku nikikwama akitoa hata buku yake ni ugomvi. Sasa naona mwezi huu...
  15. DeepPond

    Nikishatofautiana na WIFE, Michepuko naiona kama takataka

    Wakuu, Tangu wiki ilopita nmetofautiana na MKE Wangu mamaG, chanzo Ni mm mwnyw na upuuzi upuuzi wangu, kujitia ujuaji mwingi, kutokufuata ushaur wa MKE wangu mpk nmeyaharibu mambo. (Sio cheating, ni mambo tu kimaendeleo ya familia) Binafsi najua mm ndo nilimkosea, Ila Sasa ule Ubabe ubabe na...
  16. kyagata

    Tujifunze kuachana na ma Ex wetu vizuri

    Leo nimeamka nikiwa sina hata mia mbovu mfukoni,kila mshikaji niliyekua namuomba aniazime hata elfu 10 tu wote wakawa wananikataa.nikapekua simu yangu nikakuta jina la ex wangu ofcoz huyu dada tuliachana tu coz ya harakati za maisha na huwa tunachat mara moja moja tu kupeana salamu na vitu kama...
  17. GENTAMYCINE

    Mwenyekiti Taifa na CCM yako hongera kwa Kuachana na ‘afadhali’ Shaka na Kutua kwa ‘Potelea mbali kabisa’ Sofia

    Endeleeni tu Kudhani kila mahala Mwanamke anafaa na kwamba Watanzania wa mwaka 2025 ili wapige / wampigie Mtu Kura wanataka kuona Lundo la Wanawake katika kila Sekta. Bora kule Kwingine kwa Wapokea Mishahara kila tarehe 21 au 22 ya Mwezi na ile ya Chakula kila tarehe 30 au 31 ya Mwezi ulishtuka...
  18. APPROXIMATELY

    Leo hii nimetapeliwa

    Daaaah sona habari na nyiee... Nimetapeliwa 15000,hii ela siningekunywa zangu beer hata 5.
  19. Maleven

    Mke akigoma kuachana, bila kutunia mahakama, namfukuzaje?

    Ikiwa unataka kuachana na mtu kwa amani, mfano umemchoma, hujisikii kuwa nae, ukamwambia ki roho safi kua achukue anachotaka aondoke au aseme anataka nini halafu akagoma, unamfanya nini mtu kama huyu? Au unamuachia mji unanda kuanzisha mji wako? Kwanini mtu usikubali kuachika kama hupendwi
  20. Nobunaga

    Sababu ya Harmonize na Kajala kuachana (Hii ni fundisho kwa wadada na wamama wengine pia wenye tabia kama hizi)

    Kwanza kabisa picha linaanza Harmonize alimpa Kajala password za simu zake na account zake za social media. Yani Kajala alikuwa na access ya every communication ya Harmo na Kajala alifanya same thing, alimpa Harmo password zake zote yani kulikuwa hakuna siri kati yako. Hapo mwishoni ndiyo Harmo...
Back
Top Bottom