kuachana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr Sir1

    Dkt. Mwaka ajitafakari. Upendo ukiisha ni busara kukubali kuachia na maisha yaendelee

    Kuna kipindi sisi wanaume huwa tunajipalilia maanguko yetu sisi wenyewe. Haijalishi umempenda mtu kiasi gani, ikifikia wakati upendo ukaisha ni busara kukubali kuachia na maisha yaendelee. Kupitia hili sakata la Mwaka na mke wake, Mwaka anaweza akahisi ameshinda, ila daima mwanamke sio wa...
  2. Tanzania Nchi Yetu Sote

    Hoja za Kihiyo uamuzi wa NECTA kuachana na utaratibu wa kutangaza top 10 na mwanafunzi bora

    Nimefuatilia kwa karibu mitizamo kinzani ya wadau wa elimu na wanaharakati mbalimbali baada ya Baraza la mitihani Tanzania kutangaza matokeo kidato cha nne 2022, na hoja kubwa iliyoleta mjadala mtandaoni ni ile ya Baraza la mitihani Tanzania kuondoa utaratibu wa kutangaza shule kumi bora...
  3. C

    Nimeamua kuachana na mademu

    Kwema wandugu, Nimeona kufukuzia watoto wazuri inanidistract Sana nisifikie malengo yangu so naona Bora nipige chini nianze kufocus kwenye Mambo ya kujitafutia maendeleo.
  4. paul miteda

    Ndoa yangu inakwenda kuvunjika naombeni ushauri nifanyeje?

    Nimeishi na mwanamke miaka 10 tuna mtoto mmoja wakike yupo darsa la 5. Mimi ni fundi ujenzi nafanya kazi za mashirika kama NSSF, ALUMINIUM EMIRRAT naza mitaani ndogo ndogo. Familia naihudumia kwa kila kitu na mke anafanya kazi siku nikikwama akitoa hata buku yake ni ugomvi. Sasa naona mwezi huu...
  5. DeepPond

    Nikishatofautiana na WIFE, Michepuko naiona kama takataka

    Wakuu, Tangu wiki ilopita nmetofautiana na MKE Wangu mamaG, chanzo Ni mm mwnyw na upuuzi upuuzi wangu, kujitia ujuaji mwingi, kutokufuata ushaur wa MKE wangu mpk nmeyaharibu mambo. (Sio cheating, ni mambo tu kimaendeleo ya familia) Binafsi najua mm ndo nilimkosea, Ila Sasa ule Ubabe ubabe na...
  6. kyagata

    Tujifunze kuachana na ma Ex wetu vizuri

    Leo nimeamka nikiwa sina hata mia mbovu mfukoni,kila mshikaji niliyekua namuomba aniazime hata elfu 10 tu wote wakawa wananikataa.nikapekua simu yangu nikakuta jina la ex wangu ofcoz huyu dada tuliachana tu coz ya harakati za maisha na huwa tunachat mara moja moja tu kupeana salamu na vitu kama...
  7. GENTAMYCINE

    Mwenyekiti Taifa na CCM yako hongera kwa Kuachana na ‘afadhali’ Shaka na Kutua kwa ‘Potelea mbali kabisa’ Sofia

    Endeleeni tu Kudhani kila mahala Mwanamke anafaa na kwamba Watanzania wa mwaka 2025 ili wapige / wampigie Mtu Kura wanataka kuona Lundo la Wanawake katika kila Sekta. Bora kule Kwingine kwa Wapokea Mishahara kila tarehe 21 au 22 ya Mwezi na ile ya Chakula kila tarehe 30 au 31 ya Mwezi ulishtuka...
  8. APPROXIMATELY

    Leo hii nimetapeliwa

    Daaaah sona habari na nyiee... Nimetapeliwa 15000,hii ela siningekunywa zangu beer hata 5.
  9. Maleven

    Mke akigoma kuachana, bila kutunia mahakama, namfukuzaje?

    Ikiwa unataka kuachana na mtu kwa amani, mfano umemchoma, hujisikii kuwa nae, ukamwambia ki roho safi kua achukue anachotaka aondoke au aseme anataka nini halafu akagoma, unamfanya nini mtu kama huyu? Au unamuachia mji unanda kuanzisha mji wako? Kwanini mtu usikubali kuachika kama hupendwi
  10. Nobunaga

    Sababu ya Harmonize na Kajala kuachana (Hii ni fundisho kwa wadada na wamama wengine pia wenye tabia kama hizi)

    Kwanza kabisa picha linaanza Harmonize alimpa Kajala password za simu zake na account zake za social media. Yani Kajala alikuwa na access ya every communication ya Harmo na Kajala alifanya same thing, alimpa Harmo password zake zote yani kulikuwa hakuna siri kati yako. Hapo mwishoni ndiyo Harmo...
  11. Influenza

    Cristiano Ronaldo kuondoka Manchester United mara moja kwa makubaliano ya pande mbili

    Manchester United imethibitisha kuwa Cristiano Ronaldo anatarajiwa kuondoka Klabuni hapo mara moja kwa makubaliano ya pande zote mbili Klabu hiyo imesema “Inamshukuru kwa mchango wake mkubwa katika vipindi viwili akiwa Old Trafford, akifunga magoli 145 katika michezo 346” Hatua hiyo inakuja...
  12. T

    Mbinu gani umetumia kuachana na uraibu wa kamari aka Kubeti?

    Katika miaka ya hivi karibuni hapa nchini Tanzania.Michezo ya kubashiri aka kamari/kubeti imekuwa ikishika hatamu kwa vijana, kitendo kinachopelekea kuzaliwa kwa waraibu/ walevi wa kamari (gambling addicts). Nina imani humu kuna watu waliokwisha pitia uraibu huu na kufanikiwa kuuacha. Naomba...
  13. BARD AI

    Harmonize amtema Anjella, akana kumdai pesa

    Bosi wa lebo ya Konde Music, Rajab Abdul ‘Harmonize’ leo Jumamosi Novemba 5, 2022 amethibitisha taarifa za kuachana na msanii wake Angelina Samson ‘Anjella’. Angela alitambulishwa kwenye lebo hiyo Machi 11, 2021 ambapo aliachia wimbo ‘Kama’ aliomshirikisha Harmonize na mpaka sasa wimbo huo...
  14. C

    Yanga yakanusha taarifa za kuachana na Kocha Nabi

    Yanga kupitia 'Yanga Sc app' imesisitiza kuwa Kocha Nabi anaendelea kuwa Kocha Mkuu wa klabu hiyo. Hii ni tofauti na uvumi uliosambaa leo hii kuwa timu hiyo inaachana na Nabi. Katika taarifa ya Yanga, wananchi wametakiwa kufuatilia habari za klabu yao pendwa kupitia vyanzo rasmi pekee...
  15. Diversity

    SI KWELI Yanga Sc yaachana na Kocha wake Mkuu Nasreddin Nabi, leo Oktoba 25, 2022

    Kuna tetesi zimeibuka leo 25/10/2022 zinadai kuwa Yanga imeachana na kocha wake Mkuu Nasreddin Nabi. Tetesi hizi zimeshika kasi baada ya kuchapishwa na Gazeti la Mwanaspoti pamoja na kutumwa kwenye mitandao ya kijamii. Mpaka kufikia saa saba mchana Uongozi wa Yanga, umeendelea kuwa kimya na...
  16. La Quica

    Nimeamua kuachana naye baada ya kuniambia maneno haya

    Huyu manzi tulikutana Nairobi, nilienda kwenye mbishe flani ya chap kwa haraka, mwenyeji wangu akanipeleka club moja inaitwa K1 Klub. Hapo nilikutana na mamsi mmoja, ni msupuu siyo utani nikamkatia akakatika. Basi siku hiyo nikanunua tu pale vinywaji, alikuwa na beste zake tukapeana number...
  17. Execute

    Simba iliachana na Dejan, Yanga wasione aibu kuachana na Aziz Ki

    Simba walipoona wamepigwa walitumia mbinu za kivita kumpa 'frustrations' yule Dejan mpaka yeye mwenyewe akasepa bila kuiingiza timu gharama. Sasa Yanga kwa kule kupigwa 500m za usajili wasikubali kuendelea kupigwa 20m za mshahara. Jamaa anarukaruka tu uwanjani. Anzeni kazi hapo angalau muokoe...
  18. J

    Hivi na umri ulionao bado unaendeshwa na mapenzi?

    Tunajua mapenzi yanaendesha Dunia. Tumesikia na kujionea mapenzi yalivyo na nguvu, lakini sina uhakika kama yanaweza kuhamisha milima kama wasemavyo. Umri uliyonao na mambo uliyokwisha pitia, hivi bado wewe ni wakuendeshwa na mapenzi kweli au umerogwa? Ndugu yangu kubali kukua na ujifunze...
  19. JanguKamaJangu

    Haki ya kumuona Mtoto baada ya kuachana au kutengana na mzazi mwenzako

    Andiko la Wakili Bashir Yakub kuhusu haki ya mzazi kumuona mtoto baada ya kutengana na mwenza au kuachana kabisa. Sheria Namba 21 ya Mwaka 2009 Kifungu cha 38 cha Sheria ya Mtoto kinatoa haki hiyo na mzazi au mlezi anayekaa na mtoto hapaswi kuipinga, muhimu kusiwe na lengo la kumdhuru au kitu...
  20. ERTUGRUL BEY

    Nilivyolazimika kuapa ili niweze kuachana na mchepuko

    Lengo la kuchapisha habari hii ni kutahadharishana na kuachana na Michepuko ambayo huleta sintofahamu katika ndoa zetu. Haya mambo sio poa kabisa na tusi yaendekeze hata kidogo. Kabla ya kuanza kupata nyuzi bin nyuzi daah msemo huu alikuwa anapenda Sana kuutumia mtangazaji maarufu Sana Julius...
Back
Top Bottom