Salaam WanaJF,
Miaka ya nyuma niliwahi kuleta hapa tatizo kubwa lililokuwa linanikabili. Kwanza kabisa, naomba niwapongeze sana — mliniinua. Nilikuwa nimekata tamaa ya kuishi, nilihisi sina tena thamani. Lakini kupitia uzi mmoja tu nilioweka hapa, maisha yangu yalibadilika kabisa. Niliweza...
Mahusiano yote niliyoyavunja ni either tumeshindwana tabia, hisia zimekata or sioni future na huyo mtu.
Huwa nawaambia tu kwenye mazungumzo kama utani na baada ya hapo nasitisha mawasliano au nahama kabisa.
Mimi sipendi confrontations (magomvi) na toka nimeujua ulimwengu wa mapenzi sijawahi...
(Sababu 7 za msingi zinazomlinda mwanaume kiheshima, kiafya, kiakili na kifedha)
Katika dunia ya sasa ambapo maadili yanazidi kuyumba, kuna wanaume wengi wanaojikuta wanasamehe usaliti mkubwa wa wake zao kwa kisingizio cha watoto, familia au dini. Lakini ukweli mchungu ni huu: ukimvumilia mke...
Kuna akaunti zilikuwa hapa JF yaani comments zake ilikuwa matusi makubwa, ya kutisha, lakini tangu Mdude aamue kutojihusisha na siasa, JF imekuwa mahala pa amani.
Habari za muda humu ndani,nawaza kuachana na wife niliyekaa nae kwenye mahusiano miaka 5 kwa maana miaka mitatu tumeishi pamoja.
Sababu iliyofanya kufikiria maamuzi haya ni kukosa mtoto mpaka leo,sasa nafikiria kuanza maisha mapya tu.Naombeni ushauri wenu juu hili.
Ni mwanamke Mchepukaji mliye achana miaka mitatu iliyopita,kila mmoja akaendelea na mahusiano yake mengine.
Siku ya siku unapokea simu yake anakuomba mkutane kwa kwa ajili ya kuzungumza mawili matatu kuhusu hatima ya watoto wenu, Baada ya kwenda kuonana naye anakwambia alichokuitia sio kutaka...
Kwanza nikiri wazi mimi nilikua mpenzi, mwanachama na shabiki wa Simba sports Club..
Ila baada ya kumuona Mangungu ikulu na Kiongozi wa Sisiemu.
Na kupewa maagizo na kutoka akiwa anachekelea na mwenzake Dalali..
Mimi kama kijana naamua Rasmi kuanzia tarehe ya leo kufanya bidii katika biashara...
Kwa wanawake wengi hujikuta wanapoteza hisia za mapenzi kwa mwanaume ambaye ni mwema sana,mpole sana, mstaarabu,hapendi ugomvi wala migogoro,mwanaume mwenye kuomba msamaha mara kwa mara hata kama makosa amefanya mwanamke,mwanaume mwenye kujitoa mhanga sana kubadilisha maisha ya mwanamke,mwanaume...
🔋✨ Honda Inachagua Njia Yake! 🚗💨
Badala ya kwenda 100% EV kama kampuni nyingine za magari, Honda imesema inawekeza zaidi kwenye magari ya Hybrid na kusitisha mpango wa EV!
Honda na Nissan zilikuwa zimekubaliana kuungana na kuwa kampuni moja lakini mwanzo wa mwaka huu zilisitisha mpango huo...
Habari zenu wakuu?
Kwa wale wakatoliki poleni sana kwa msiba wa papa Francis.
Issue yangu iko hivi,kuna mwanamke nilikua naishi nae,huu ni mwaka wa 7 au 8 kama sikosei,tumebahatika kupata watoto wawili.hatuna ndoa but nilitaka mwaka huu tubariki.
Huyu mwanamke kwa suala la uaminifu sina shaka...
Siku hizi, ndoa zimekuwa kama subscription ya Netflix—ukiona haikufurahishi, unabonyeza cancel fasta! 🤷♂️ Wazazi wetu walikuwa wanaishi kwenye ndoa kwa miaka 30+ hata kama kulikuwa na matatizo, lakini kizazi cha sasa? Umetofautiana na bae mara mbili, unaita ndugu, unaandika status za toxic...
Yani mtu akija kukuambia maswala yake ya kimapenzi ujue tu anataka faraja ya kuwa huyo wanaezinguana nae labda anaweza kubadirika ila ukimwambia ukweli kwa jinsi kete zilivyo unaelekea kuliwa, unakuta mtu anakukubalia kishingo upande alafu alnarudisha masheji.
Ndio maana watu walisema mapenzi...
Nimepiga hesabu nikaona dini ni urithi mmoja wa ajabu sana, ninaamini Mungu yupo ila nita mwabudu nje ya hilo box.
Yaani unazaliwa na kukabidhiwa kitu usichokielewa au kupewa nafasi ya kuchagua.
Na hizi dini ndio zimetengeneza viumbe wenye hulka ya mazombie au vampire, ambao wao kazi yao ni...
Paschal Mayalla
I. UTANGULIZI
Makala ya Paschal Mayala katika gazeti la Nipashe, toleo la Jumapili, tarehe 23 Februari 2025, imenikumbusha matukio ya kisiasa ya mwaka 2022.
Tarehe 20 Mei 2022 viongozi wa Chadema walikwenda kwenye kikao cha majadiliano ya kuimarisha demokrasia na hali ya...
Kisaikolojia mwanaume huwa hapendi sana isipokuwa Mwanamke ndiyo ambaye huwa anapenda sana.
Ikitokea mwanaume anampenda sana Mwanamke husababisha migogoro ya kimapenzi yenye kujirudia rudia, mwanaume huanza kulalamika, kususa,kununa, kutishia kujiua, kutishia waachane,kulia,kupiga magoti lakini...
Wakuu,
Kwa uncle Trump huko ji bandika bandua, kila siku anakuja na agizo jipya, mpaka Wamarekani watajuta kumfahamu.
====
Trump akimjibu chawa Musk kupitia ukurasa wake wa X baada ya kububujikwa na machozi ya furaha kwa kuambiwa yeye ni rais bora kabisa, amejibu kwa kusema kuwa atasaini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.