kodi

  1. Hata Joe Biden wa US apunguza kodi katika bei ya mafuta!

    Rais Joe Biden wa Marekani, leo ameondoa kodi katika mafuta ili kuwapa nafuu wananchi wake. Amewataka Magavana wa States za nchi hiyo vile vile wapunguze kodi na tozo katika States zao. KWETU TZ VIPI? Hapa Tz kodi na tozo katika mfuta bado zipo kati ya Tshs 800 hadi 900.
  2. Ole Sabaya bado hali ngumu: DPP amkatia rufaa kwenye kesi ya kwanza

    Hii ndio taarifa ya leo iliyoripotiwa na gazeti la Raia Mwema , ni kwamba DPP ameamua kukata rufaa kwa ile kesi ya kwanza iliyowashangaza wengi ambayo pamoja na Sabaya kufungwa miaka 30 Jela , lakini aliachiwa huru katika mazingira ya kutatanisha , baada ya kukata rufaa na kushinda . Tuendelee...
  3. Tarimba: Serikali iangalie njia bora ya kupanua wigo wa Walipakodi

    Mbunge wa Kinondoni, Tarimba Gulam Abbas ameishauri Serikali kuangalia utaratibu mzuri wa kupanua wigo wa Walipakodi badala ya kuongeza Kima cha Kodi Akichangia Mjadala wa Bajeti Kuu amesema, "Tatizo lililopo hasa upande wa Serikali, wanamlenga Mlipakodi wanayemuona. Leo iwe 10% kesho iwe 12%...
  4. Wabunge walipe kodi, wabunge kutolipa kodi ni rushwa inayotolewa na Serikali

    Wabunge walipe kodi. Katika nchi nyingi ulipaji wa kodi ni majawapo katika sifa kuu kwa wagombeaji wa ubunge kuwa nayo ili wakidhi kuchaguliwa. Ni wazi kuwa kwa Wabunge wetu hawa kwa kutolipa kutolipa kodi wanakosa uhalali wa kuikosoa serikali pamoja na jukumu la kuhimiza ulipaji wa kodi. Sasa...
  5. Serikali imeondoa kodi kwenye magari yenye friji. Tuleteeni basi dagaa mchele na pweza fresh huku mikoani

    Nimesikia Serikali kwenye bajeti kuwa kodi imeondolewa/punguzwa kwenye kununua malori yenye friji ndani. Hii ni habari nzuri kwa upatikanaji wa fresh foods. Mtufanyie wepesi basi tupate dagaa mchele na pweza na sisi huku mikoani. Nasi tutafanya mpango mpate ulanzi, sungura, matunda na mnafu fresh.
  6. Wakati Ulaya wakikusanya kodi ya miaka 20 iliyopita, Tanzania Samia anauliza miaka iliyopita mlikuwa wapi, msikusanye

    Wakati mwingine unajiuliza kama kiongozi wetu anaelewa anachokifanya ama haelewi chochote kabisa. Juzi rais akiwa Kagera akasema kodi inayopaswa kukusanywa ni ya mwaka mmoja nyuma tu, miaka ya nyuma mamlaka zilikua wapi. Hapo ndio palinifanya kujiuliza kama rais wetu ana ufahamu hata wa sawa na...
  7. Mwigulu: Si kila mwenye miaka 18 atalipa kodi

    Picha> Waziri wa Fedha Mwigullu Nchemba akiwa ameshika kipaza sauti Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kodi haitotazwa kwa kila mtu mwenye umri wa miaka 18, bali atatozwa mtu mwenye kipato ambacho kinaangukia wigo unaotakiwa kutozwa kodi. Waziri Mwigulu amezungumza hayo...
  8. Kodi ya malori ni kodi gani?

    Katika hotuba nimesikia kuanzishwa kwa kodi ya malori. Nijuavyo mimi wenye malori wanalipa kodi kama wamiliki maana ukaguzi wa risiti za usafirishaji unafanyika mbele ya macho yetu. Sasa hii kodi ni kwa kila lori bila kujali kazi au ni kima cha chini cha kodi bila kujali biashara? Wenye kulijua...
  9. Wapi naweza pata vibao vya posti kodi bei poa?

    Kwema wadau Naomba kuuliza ni wapi hapa jijin Dsm naweza pata vile vibao vya posti kodi vilivyo kuwa poa kama vile vya awamu ya kwanza (vile vya enzi ya Mama Tibaijuka) Maana hapa mtaan kuna wapuuzi wana vibao vyao wana viuza ila ajabu izo namba yaan utazan mtoto wa darasa la kwanza ndio...
  10. Zitto Kabwe: Waziri afafanue kodi aliyoitangaza, kodi hailipwi na mtu

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kauli kuhusu mfumo wa ulipaji kodi kwa raia wenye umri wa miaka 18 na zaidi ambaye atakuwa na TIN Namba uliopendekezwa katika Bajeti Kuu 2022/23 inatakiwa kufafanuliwa vizuri. “Inawezekana Wananchi hawajaelewa, Waziri wa Fedha hakulieleza...
  11. Serikali iache kutujazia tozo kufidia matanuzi yao

    Hii nchi ilipofikia nafikiri kilichobaki ni watu waamue kujitoa akili tu utaratibu uvurugike mazima hata nusu mwaka hivi then kitakachofuata baada ya hapo tutakaa kamati ya maridhiano maana dunia nzima itakuwa inaelewa hasa kinachoendelea ni nini! Hii biashara ya kubembelezana watu wazima kwa...
  12. R

    Hatukatai kulipa Kodi na Tozo ila inauma sana pesa zetu kuliwa na Watu wachache. Serikali yetu muonee huruma Mama ntilie wa Itigi

    Habari wana JF , Serikali ya awamu sita imeonyesha dhamira njema katika kuleta maendeleo katika nchi yetu . Hicho inakusanya kodi kwa nguvu zote na imeongeza kodi na Tozo Mbali mbali ,yote hiyo ni katika kuhakikisha pesa za maendeleo zinapatikana. Haijaishia hapo imefanikiwa kupata mikopo...
  13. Kumbukizi katika Picha: Hapa Mwigulu alitakiwa aanze kulipa kodi

    Hapa waziri wetu alikuwa katimiza umri sahihi wa kulipa kodi,yaani zaidi ya miaka 18.
  14. Kodi nyingi zitatuzindua usingizini Watanzania na kudai haki zetu, Nchemba umechemka kuhusu 18 years kulipa kodi ya kichwa

    Kodi kubwa na nyingi ndiyo zitatuzindua usingizini na kutufanya tufuatilie mipango na maendeleo ya nchi hatua kwa hatua. Hizo ndiyo zitawainua wananchi kupaza sauti na kuwa wakali kwa watendaji wa serikali wanavyofanya mambo kiholela na kimazoea. Ni sababu ya kutolipa kodi au kodi kidogo ndiyo...
  15. Ni kigezo kipi kimetumika kurudisha kodi ya kichwa wakati tayari ilihamishiwa kwenye bidhaa?

    Wazazi walinihadithia kwamba hapo zamani, wazazi wao wa kiume(babu zangu) walikuwa wanatabia ya kukimbia na kujificha maporini pale ambapo walikuwa hawajalipa kodi ya kichwa, maana familia ilikuwa ni kubwa, na hapakuwa na pesa ya ziada ya kwenda kulipa kodi ya kichwa, hivyo kuna kipindi...
  16. Je, kupewa TIN ni sawa na kodi ya kichwa?

    Waziri wa Fedha na Mipango amependekeza kugawa TIN kwa watu wa kuanzia miaka 18 na kuendelea, na taarifa hizi ziende sawa na NIDA ili kulipa kodi kwa usahihi. Baadhi ya watu wamehusianisha namna hii ya ukusanyaji kodi na Kodi ya kichwa, kitu ambacho naona ni kupotosha ukweli kuhusu kodi ya...
  17. Naomba kujua kodi za kuagiza gari used na mpya

    Wadau wa JF naomba nijuzwe kwa ufasaha, kodi ipi ni kubwa, kati ya kuagiza gari mpya kabisa japan, na gari used japan, mfano gari toyota premio ya 2011 na ya premio mpya sio used ni mpya ya 2018.
  18. Kodi inakatwa Kwa watu wazalishaji, umri sio kigezo

    KODI IKATWE KWA WATU WAZALISHAJI; UMRI SIO KIGEZO. Anaandika Robert Heriel. Serikali inayowajibu wa kutengeneza mazingira Kwa watu wake kujizalishia mali, serikali makini ni Ile inayofanya lolote, halali au haramu ili Raia wake wapate maisha Bora. Niliwahi sema hapa, Bila kuvamia nchi zingine...
  19. M

    Tunatwanga maji kwenye kinu. Rais Samia anamaliza pesa za walipa kodi kwa safari zisizo na tija

    Haingii akilini kwa kila jambo Rais anasafiri ovyo ovyo tu kama vile yeye sio mkuu wa nchi. Inaleta picha kuwa kumbe anapenda sana kupigiwa mizinga na kuwekewa parade za kijeshi na kuona ufahari. Mkuu wa nchi ana heshima zake na sio kuwa kila event ashuhudie. Ndio maana tuna Mabalozi na ofisi...
  20. Kodi kwa 'watoto' wa miaka 18?

    This is sad, Miaka 18 hata Advance hajamaliza...au ndio anamaliza... Haya ni maamuzi ya kukurupuka, una uhakika huyu 'mtoto' yuko kwenye 'ajira'rasmi? Sana sana utawashawishi watoto wasifocus na shule waingie mtaani kutafuta ajira, unskilled jobs. Huwezi ukafanya mambo( kodi) kama nchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…