Naomba kujua kodi za kuagiza gari used na mpya

Wadau wa jf naomba nijuzwe kwa ufasaha,kodi ipi ni kubwa,kati ya kuagiza gari mpya kabisa japan,na gari used japan,,,mfano gari toyota premio ya 2011 na ya premio mpya sio used ni mpya ya 2018.

Mpya ya 2018 ina kodi kubwa sababu hata bei yake ni kubwa
 
Hili linchi bwana sijui lilipataga laana ama!!! Kwanini ushuru wa magari upo juu sana na haushuki!! Ukinunua gari nje, ulizia ushuru wake utashika kichwa kama sio sawa na kununua gari la pili ama mawili kama hilo hilo dahh😱😱

Ningeishauri serikali washushe ushuru wa magari n.k ili watu wasiishi na magari mabovu, mtu anaona bora anunulie hapa kuliko kuagiza nje, na magari ya hapa kama munavyojua ni chakavu sana. Serikali tuhurumieni, mama Samia najua wewe ni mama mwenye huruma na imani, nakuomba ulifanyie kazi suala hili.
 
Ukisema mpya unamaanisha 0km? Hizo haiwezi nunua kizembe hadi uende Toyota. Na pili, Tanzania sio soko lake kbs.
Sasa Kama sio soko lake, SI ndio maana anaiagiza toka huko nje, au watakataa kumuuzia!?
 
Hili linchi bwana sijui lilipataga laana ama!!! Kwanini ushuru wa magari upo juu sana na haushuki!! Ukinunua gari nje, ulizia ushuru wake utashika kichwa kama sio sawa na kununua gari la pili ama mawili kama hilo hilo dahh

Ningeishauri serikali washushe ushuru wa magari n.k ili watu wasiishi na magari mabovu, mtu anaona bora anunulie hapa kuliko kuagiza nje, na magari ya hapa kama munavyojua ni chakavu sana. Serikali tuhurumieni, mama Samia najua wewe ni mama mwenye huruma na imani, nakuomba ulifanyie kazi suala hili.
Yaani washushe kama walivyowashushia wafanyakazi kutoka 23% to 2.3%?????
 
Wadau wa JF naomba nijuzwe kwa ufasaha, kodi ipi ni kubwa, kati ya kuagiza gari mpya kabisa japan, na gari used japan, mfano gari toyota premio ya 2011 na ya premio mpya sio used ni mpya ya 2018.
Miaka 4 iliyopita ili kuwa nusu kwa nusu yani kama umenunua gali japani kwa tshs milioni 5 basi pia ujiandae kulipa ushuru milioni 5 kwa sasa sizani kama kuna mabadiriko

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Kodi inaenda inversely promotional na YOM.

Kodi ya Gar ya 2018 ni ndogo kuliko ya ya 2011.

The aim is to discourage importation of old cars.!!
 
Kodi inaenda inversely promotional na YOM.

Kodi ya Gar ya 2018 ni ndogo kuliko ya ya 2011.

The aim is to discourage importation of old cars.!!
Unajua Kodi ya Prado j70 ya 1996 ni milion 10-13 tu haizidi ila j150 ya 2009 ilikuwa milion 30? Za 2014 ikawa mil 39

Huoni mfano wako hapo haupo..haufany kazi
 
Unajua Kodi ya Prado j70 ya 1996 ni milion 10-13 tu haizidi ila j150 ya 2009 ilikuwa milion 30? Za 2014 ikawa mil 39

Huoni mfano wako hapo haupo..haufany kazi

Uko sahihi, hapo Kuna Bei pia ni factor moja wapo inayotumika kukokotoa Kodi!

Ila Bei ikiwa constant, then tax inaenaenda vice versa na YOM.
 
Unajua Kodi ya Prado j70 ya 1996 ni milion 10-13 tu haizidi ila j150 ya 2009 ilikuwa milion 30? Za 2014 ikawa mil 39

Huoni mfano wako hapo haupo..haufany kazi
yeye anaongelea exercise duty due to age, the aim is to control damping.
 
Back
Top Bottom