Kodi ya malori ni kodi gani?

Tella Mande

JF-Expert Member
Jun 2, 2018
494
674
Katika hotuba nimesikia kuanzishwa kwa kodi ya malori. Nijuavyo mimi wenye malori wanalipa kodi kama wamiliki maana ukaguzi wa risiti za usafirishaji unafanyika mbele ya macho yetu. Sasa hii kodi ni kwa kila lori bila kujali kazi au ni kima cha chini cha kodi bila kujali biashara?

Wenye kulijua mtujuze...
 
Kodi ya mapato ndo wamewekewa 3,500,000 kwa mwaka zamani ilikuwa asilimia 30 ya faida yao hapa wengi walifoji.
 
Back
Top Bottom