kiwanja

  1. R

    JamiiForums Tanzania kiwanja kinauzwa manyoni

    Kiwanja kinauzwa manyoni majengo satelite city sqm 1039. Makazi na biashara. Bei 3,000,000. Maongezi yapo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Cha 3M kibaha

    Naweza pata kiwanja Kwa shilingi 3M? Nakihitaji ASAP
  3. Bosspraise

    JamiiForums Tanzania Madale kiwanja kizuri kinauzwa SQM 1200

    Kiwanja kinauzwa madale karibu na shule ya atlas Kina ukubwa wa SQM 1200 Kipo Mita 150 kutoka barabara ya lami Bei ni millions. 150 tu tsh Kipo kwenye neighbourhood nzuri Sana Usikikose tajiri Wasiliana nasi. 0742892195 call and WhatsApp
  4. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Kiwanja sqm 700 kinauzwa, kipo city center Dar es salaam

    Plot details: 700sqms. Location: City Center. Land Status: Demolished and ready to build. Size: 680-700sqms. Permit: Residential & Commercial. On the main road (prime area). Price: Tsh 4.5B. Project Prospect; you can easily build a 10-15 story building with both housing and office solutions...
  5. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Kiwanja chenye ukubwa wa 2,200sqm kipo regent estate mikocheni daressalaam tanzania, bei ni dollars million 1.2

    #plotforsale #mikocheni #daressalaam #tanzania KIWANJA KINAUZWA KIWANJA KIPO REGENT ESTATE DARESSALAAM TANZANIA UKUBWA WA KIWANJA NI 2,200SQM KIWANJA KIPO SEHEMU NZURI KABISA NA KUNA NYUMBA NDANI YAKE DOCUMENTS NI TITLE DEED BEI NI DOLLARS 1.2M 🇹🇿CALL/WhatsApp +255758844717...
  6. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kwanja kinauzwa,kipo bahari beach,cha kwanza kutoka lami, kiwanja kina ukubwa wa 4,000sqm na kina fance ambazo zimegawanywa

    #plotsforsale KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA UKUBWA WA KIWANJA NI 4,000SQM NI KIWANNA CHA KWANZA KUTOKA BARABARA YA LAMI (Bahari Beach) RAMANI YA MUUZAJI ULIKUWA NI KUJENGA APARTMENTS,KWAHYO AKAGAWANYA FENSI VIPANDE VINNE NDANI YA KIWANJA KIMOJA ENEO NI ZURI SANA KWA SHUGHULI MBALIMBALI ZA...
  7. Voldemort

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Goba au Madale

    Wadau, natafuta kiwanja chenye sifa hizi: 1. Vipimo: 500-600 sqm 2. Location:Goba au Madale 3. Kiwanja kiwe flat na ardhi isiwe na maji maji 4. Documents ziwe clean na zimekamilika Offer yangu ni milioni 22 mpaka 24.
  8. westandtogether

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Mwasonga, Kigamboni

    Ninauza kiwanja kilichopimwa chenye ukubwa wa 540 SQM kilichopo MWASONGA, KIGAMBONI kipo barabara kuu ukitokea Mwasonga stendi. 📍Mahali pazuri kwa makazi au uwekezaji- miundombinu ipo karibu. Bei 6,500,000/= ( milioni saba tu) - maelewano yapo kwa mwenye nia ya dhati. Kwa mawasiliano zaidi au...
  9. Bosspraise

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kizuri goba sqm 540

    KIWANJA KINAUZWA – GOBA NJIA NNE 📍 🔹 Mahali: Goba njia ya kuelekea Madale 🔹 Umbali: Km 1 tu kutoka barabara kuu, unaingilia kupitia KB Shell 🔹 Ukubwa: SQM 540 – za kutosha kujenga nyumba ya ndoto yako 🔹 Bei: Milioni 38 tu! ✅ Eneo zuri, tulivu na linalofikika kirahisi ✅ Tayari linafikika kwa...
  10. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Nimeuza kiwanja changu milioni 10, nataka ninunue bodaboda 3. Hii biashara mnaionaje?

    Nimeuza kiwanja changu jana kilichokuwepo Kibaha nimepata milioni 10 nikaona nifanye biashara ya bodaboda. Nizinunue 3 halafu niwape vijana waniletee hesabu. Je itanilipa wakuu Kwa mliowahi kufanya hii biashara au nitaingia loss?
  11. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba ya ghorofa 5 inauzwa Magomeni Morocco. Bei tsh billion 1.5

    #houseforsale YA KWANZA KUTOKA BARABARA YA LAMI NYUMBA YA GHOROFA TANO (5) INAUZWA IPO MAGOMENI MOROCCO DARESSALAAM INA APARTMENT NANE (8) ZA VYUMBA VIWILI,SEBULE,JIKO&CHOO PIA INA APARTMENT MOJA YA VYUMBA VINNE,AMBAYO IKO JUU FLOOR YA MWISHO INA FRAME NNE (4) NA ZOTE ZINAFANYA...
  12. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania NYUMBA NZURI SANA INAUZWA,IPO IYUMBU DODOMA,UKUBWA WA KIWANJA NI 1500 SQM,BEI NI MILLION 350 TSH,

    A House to Call Home – For Sale! 📍 Location: Iyumbu , Dodoma 📐 Plot Size: 1,500 SQM 🏠 Structure: 5 Spacious Bedrooms Servant Quarters (Self-contained) Large Living Room Dining Area Kitchen + Store Study Room Garden & Ample Parking 💰 Goes Cheap! A rare opportunity for a serene home or...
  13. uberimae fidei

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibaha kwa Mfipa

    Kiwanja kina ukubwa squire meter 400. Kipo Kibaha kwa Mfipa Milioni tatu na nusu. Km 2 kutoka Morogoro road
  14. radhiya

    JamiiForums Tanzania Kiwanja Kinauzwa Kimara Temboni

    Kiwanja Kinauzwa, kina msingi wa ukuta. Mahali: Kimara Temboni. Kipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro, Mita 300 kutoka barabara ya lami ya kuelekea kwa Mfugale. Ukubwa wa Eneo: SQM 308. Bei: Tzs Milioni 35. Nyaraka: Hati ya mauziano ya Serikali ya mtaa. Gharama ya kwenda kuona Eneo...
  15. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Naombeni elimu kuhusu kuweka lamination kwenye vyeti vya shule na hati ya kiwanja

    Habari za muda huu ndugu zangu, katika pita pita zangu mitandaoni nimekutana na mtoa elimu kuhusu mambo ya upatikanaji wa hati miliki za viwanja (aridhi), alienda mbele zaidi akaelezea kuhusiana na issue za kufanya lamination kwenye document za ki-serikali kama Hati ya kiwanja (aridhi), vyeti...
  16. GURUJI

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja Makongo Juu kinauzwa

    Kiwanja kinauzwa Makongo juu. Ukubwa Sqm 500 KIMEPIMWA. Kiwanja kipo ktk mazingira mazuri yasiyokuwa na msongamano wa Majengo. Kipo mita chache kutoka barabara kuu ya Lami iendayo Mlimani city.. Bei 75m Maongezi yapo... 0743941142.
  17. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Kiwanja Cha makazi kinahitajika Lindi mjini

    Wakazi na wenyeji wa mji wa Lindi.. Kiwanja cha kujenga nyumba ya makazi kinahitajika.. Kama unacho au kuna mtu unayemjua anacho na anauza basi unakaribishwa mtu wa nguvu.!!
  18. M

    JamiiForums Tanzania Urgent - Natafuta kiwanja Dar

    Hello all, Natafuta kiwanja Dar es Salaam. Malengo yangu ni kujenga nyumba ya vyumba sita vya kukaribisha wageni wa mda mfupi (ex : Airbnb…) Wapi Dar es Salaam naweza pata kiwanja kizuri kwa bei nafuu for my project? Natanguliza shukran wakuu.
  19. Think2

    JamiiForums Tanzania Auza kiwanja ili afanye birthday ya mtoto wake

    Hivi wadada izi akili mnazitoa wapi?? Unauza kiwanja ili ukafanye happy birthday ya mtoto ukweni kweli? NI hivi huyu dada baada ya kuolewa huku dar, mwanaume aliemuoa alitoa mahari hio mahari alipewa yeye baada ya kuongea na dada yake wa mkoani akamshauri anunue kiwanja maana wanaume dar...
  20. The bump

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mlandizi : Kiwanja Cha Ukubwa wa Hekari 2 na Nyumba ya Wafanyakazi inauzwa

    MWISHO WA MNADA, WA BEI RAHISI. MTEJA UTAKAEKUJA FAHAMU BEI SIO TENA 10M KAMA umejipanga na 10M usisumbuke Kunitafuta. GHARAMA YA SASA NI 17M bei ikipungua itashuka MWISHO 16M Na Sio HEKA 2 zote nikikuuuzia utanibakizia namimi eneo la 30 x 30 So katika HEKA 2 toa 30 x 30 inayobaki ndio ipo...
Back
Top Bottom