KIWANJA KINAUZWA
KILUVYA KWA KOMBA
KIPO MITA 600 TU KUTOKA LAMI
_____________________________
✅ KINA UKUBWA WA 25*30
✅ KIPO KARIBU NA LAMI HAINA
HAJA YA KUPANDA BODA MITA 600
TU KUTOKA MAIN ROAD.
✅ KIPO KWENYE BARABARA YA MTAA
✅ KIPO MTAA ULOCHANGAMKA
✅ HUDUMA ZOTE MUHIMU ZIPO...
- Mpangaji Mmoja Mwenye Kukodisha Muda Mrefu Anahitajika!
· Nyumba Kuu: Ina vyumba vitatu (3) vya kulala, jiko, sebule na eneo maalum la kulia.
· Nyumba Ndogoo (2): Kila moja ina vyumba viwili (2) vya kulala vyenye ufanisi.
· Bora kwa: Mpangaji anayetafuta kuchukua majengo mengi kwa mara moja...
Kiwanja kinauzwa madale karibu na shule ya atlas
Kina ukubwa wa SQM 1200
Kipo Mita 150 kutoka barabara ya lami
Bei ni millions. 150 tu tsh
Kipo kwenye neighbourhood nzuri Sana
Usikikose tajiri
Wasiliana nasi.
0742892195 call and WhatsApp
Plot details: 700sqms.
Location: City Center.
Land Status: Demolished and ready to build.
Size: 680-700sqms.
Permit: Residential & Commercial.
On the main road (prime area).
Price: Tsh 4.5B.
Project Prospect; you can easily build a 10-15 story building with both housing and office solutions...
#plotforsale #mikocheni #daressalaam #tanzania
KIWANJA KINAUZWA
KIWANJA KIPO REGENT ESTATE DARESSALAAM TANZANIA
UKUBWA WA KIWANJA NI 2,200SQM
KIWANJA KIPO SEHEMU NZURI KABISA NA KUNA NYUMBA NDANI YAKE
DOCUMENTS NI TITLE DEED
BEI NI DOLLARS 1.2M
🇹🇿CALL/WhatsApp +255758844717...
#plotsforsale
KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA
UKUBWA WA KIWANJA NI 4,000SQM
NI KIWANNA CHA KWANZA KUTOKA BARABARA YA LAMI (Bahari Beach)
RAMANI YA MUUZAJI ULIKUWA NI KUJENGA APARTMENTS,KWAHYO AKAGAWANYA FENSI VIPANDE VINNE NDANI YA KIWANJA KIMOJA
ENEO NI ZURI SANA KWA SHUGHULI MBALIMBALI ZA...
Wadau, natafuta kiwanja chenye sifa hizi:
1. Vipimo: 500-600 sqm
2. Location:Goba au Madale
3. Kiwanja kiwe flat na ardhi isiwe na maji maji
4. Documents ziwe clean na zimekamilika
Offer yangu ni milioni 22 mpaka 24.
Ninauza kiwanja kilichopimwa chenye ukubwa wa 540 SQM kilichopo MWASONGA, KIGAMBONI kipo barabara kuu ukitokea Mwasonga stendi.
📍Mahali pazuri kwa makazi au uwekezaji- miundombinu ipo karibu.
Bei 6,500,000/= ( milioni saba tu) - maelewano yapo kwa mwenye nia ya dhati.
Kwa mawasiliano zaidi au...
KIWANJA KINAUZWA – GOBA NJIA NNE 📍
🔹 Mahali: Goba njia ya kuelekea Madale
🔹 Umbali: Km 1 tu kutoka barabara kuu, unaingilia kupitia KB Shell
🔹 Ukubwa: SQM 540 – za kutosha kujenga nyumba ya ndoto yako
🔹 Bei: Milioni 38 tu!
✅ Eneo zuri, tulivu na linalofikika kirahisi
✅ Tayari linafikika kwa...
Nimeuza kiwanja changu jana kilichokuwepo Kibaha nimepata milioni 10 nikaona nifanye biashara ya bodaboda. Nizinunue 3 halafu niwape vijana waniletee hesabu. Je itanilipa wakuu Kwa mliowahi kufanya hii biashara au nitaingia loss?
#houseforsale
YA KWANZA KUTOKA BARABARA YA LAMI
NYUMBA YA GHOROFA TANO (5) INAUZWA
IPO MAGOMENI MOROCCO DARESSALAAM
INA APARTMENT NANE (8) ZA VYUMBA VIWILI,SEBULE,JIKO&CHOO
PIA INA APARTMENT MOJA YA VYUMBA VINNE,AMBAYO IKO JUU FLOOR YA MWISHO
INA FRAME NNE (4) NA ZOTE ZINAFANYA...
A House to Call Home – For Sale!
📍 Location: Iyumbu , Dodoma
📐 Plot Size: 1,500 SQM
🏠 Structure:
5 Spacious Bedrooms
Servant Quarters (Self-contained)
Large Living Room
Dining Area
Kitchen + Store
Study Room
Garden & Ample Parking
💰 Goes Cheap! A rare opportunity for a serene home or...
Kiwanja Kinauzwa, kina msingi wa ukuta.
Mahali: Kimara Temboni.
Kipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro, Mita 300 kutoka barabara ya lami ya kuelekea kwa Mfugale.
Ukubwa wa Eneo: SQM 308.
Bei: Tzs Milioni 35.
Nyaraka: Hati ya mauziano ya Serikali ya mtaa.
Gharama ya kwenda kuona Eneo...
Habari za muda huu ndugu zangu,
katika pita pita zangu mitandaoni nimekutana na mtoa elimu kuhusu mambo ya upatikanaji wa hati miliki za viwanja (aridhi), alienda mbele zaidi akaelezea kuhusiana na issue za kufanya lamination kwenye document za ki-serikali kama Hati ya kiwanja (aridhi), vyeti...
Kiwanja kinauzwa Makongo juu. Ukubwa Sqm 500 KIMEPIMWA. Kiwanja kipo ktk mazingira mazuri yasiyokuwa na msongamano wa Majengo.
Kipo mita chache kutoka barabara kuu ya Lami iendayo Mlimani city.. Bei 75m Maongezi yapo... 0743941142.
Wakazi na wenyeji wa mji wa Lindi..
Kiwanja cha kujenga nyumba ya makazi kinahitajika..
Kama unacho au kuna mtu unayemjua anacho na anauza basi unakaribishwa mtu wa nguvu.!!
Hello all,
Natafuta kiwanja Dar es Salaam. Malengo yangu ni kujenga nyumba ya vyumba sita vya kukaribisha wageni wa mda mfupi (ex : Airbnb…)
Wapi Dar es Salaam naweza pata kiwanja kizuri kwa bei nafuu for my project?
Natanguliza shukran wakuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.