kiwanja

  1. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kusaini mkataba wa mauziano ya kiwanja nikiwa mbali?

    Kiwanja kipo mbali na mkoa ninaoishi kwa sasa. Nina mtu atakayenisaidia kupokea hela kwa ajili ya malipo, au ninaweza nikaweka kwenye akaunti ya muuzaji kama ataona sawa. Changamoto yangu ni kuwa ninataka jina langu na sahihi yangu kama mnunuzi ionekane kwenye mkataba huo. Siyo kwamba siwaamini...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua gharama za kupata hati ya kiwanja

    Natumaini nyote wazima, naomba kujua gharama za kupatata Hati ya kiwanja ambacho kimeshapimwa na kupatiwa block number, kiwanja kipo chanika. Au kama kuna mtu anaweza nisaidia nikapata nitashukuru Natanguliza shukrani
  3. radhiya

    JamiiForums Tanzania Kiwanja Kinauzwa Kigamboni Tuangoma

    Kiwanja Kinauzwa, kimezungushiwa uzio na kipo kwenye kona (Corner plot). Mahali: Kigamboni Tuangoma, karibu na nyumba ya Mkuu wa Wilaya. Kipo km 1 kutoka barabara ya kuelekea Tuangoma. Ukubwa wa Eneo: SQM 1265. Bei: Tzs Milioni 100. Maongezi yanaruhusiwa. Nyaraka: Hatimiliki. Gharama ya kwenda...
  4. Hharyson

    JamiiForums Tanzania UNA KIWANJA KIDOGO NA UNAHITAJI GOOD DESIGN CALL US +255624004650

    4BEDROOMS ON 15X25M PLOT CALL US +255624004650 TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM SINZA
  5. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Tanzania Kama umejipata ni Bora Kununua kiwanja kuliko kununua gari la pili au la tatu.

    Habari wakuu. Mkuu uliyejipata ni Bora ununue hiki kiwanja ili badae uuze Bei ya juu kuliko Kununua Gari lingine alafu badae uje uuze Bei ya kutuma. Gari kila baada ya Muda linashuka Bei na likipata ajali ndio kabisa. Lakini kiwanja kila baada ya Muda kinapanda Bei. Hivyo basi nakupa hiki...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Nataka kiwanja cha hati lakini gharama za kufanya transfer naskia ni kubwa naomba ushauri

    Naomba ushauri kuna kiwanja nimekipenda kununua kina hati miliki lakini naskia gharama za kufanya transfer ni kubwa je nifanyeje ili kupunguza gharama au nitafute ambacho hakina hati militias nipime nitafute hati miliki
  7. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania KARIBU TANZANIA,KARIBU KIJITONYAMA, NAKULETEA KIWANJA CHENYE JENGO LA GHOROFA KINAUZWA KIJITONYAMA,BEI NI 850M

    Plot for Sale at Kijitonyama located in a very quite and peacefully neighborhood, ■One incomplete building ■Area size 1500sqmt ■Price 850m tsh Contact us and Schedule a visit!! 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  8. No SQL

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale KIWANJA KINAUZWA KAHAMA (1730 SQM) KIPO NYASUBI CHINI YA ROCKEN HILL PRIMARY

    Hope all is well oooh.. Tafadhali, husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu... Kiwanja kina; -Hati -Maji - Umeme -Nyumba (ya zaman ) anaish anaelinda eneo PRICE : 80M Kama upo interested nichek inbox nikupe namba ya owner mtaongea. Maboss wa JF karibuni, lakini mnikumbuke kidogo kijana wenu.
  9. No SQL

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale KIWANJA KINAUZWA KAHAMA (1730 SQM) KIPO NYASUBI CHINI YA ROCKEN HILL PRIMARY

    Hope all is well oooh.. Tafadhali, husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu... Kiwanja kina; -Hati -Maji - Umeme -Nyumba (ya zaman ) anaish anaelinda eneo PRICE : 80M Kama upo interested nichek inbox nikupe namba ya owner mtaongea. Maboss wa JF karibuni, lakini mnikumbuke kidogo kijana wenu.
  10. V

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza Kiwanja Mabwepande

    Kiwanja kinauzwa kina ukubwa wa 20x25. Kipo Mabwepande karibu na hospital ya Wilaya. Mauziano ni Serikali ya mitaa, huduma muhimu zipo karibu. Bei ni sh 8,400,000.00 Ukitaka maelezo zaidi piga simu au watsapp Peter +447939378570
  11. Dalali mbeya jiji

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Iwambi block E sqm 1100

    Kiwanja kina uzwa Iwambi block E. Sqm 1100. Bei Tshs 30m. Mazungumzo yapo. Wasiliana nasi +255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
  12. radhiya

    JamiiForums Tanzania Kiwanja Kinauzwa Kigamboni Tuangoma

    Kiwanja Kinauzwa, kimezungushiwa uzio na kipo kwenye kona (Corner plot). Mahali: Kigamboni Tuangoma, karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Wilaya. Kipo km 1 kutoka barabara ya kuelekea Tuangoma. Ukubwa wa Eneo: SQM 1265. Bei:Tzs Milioni 100. Maongezi yanaruhusiwa. Nyaraka: Hatimiliki. Gharama ya...
  13. Dalali mbeya jiji

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Jakaranda,Mbeya

    Kiwanja kinauzwa Jakaranda Mbeya. Sqm 1200, bei Tshs 120m, Jakaranda ni mahali pazuri kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za makazi hasa apoartments. Wasiliana nasi:+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
  14. MNEKI

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Msalato-Dodoma

    Deleted
  15. G

    JamiiForums Tanzania Kiwanja Kinauzwa Kibaha kwa Mfipa million 3.2

    Kiwanja kinauzwa Kibaha kwa Mfipa(upande wa chuo) Ukubwa ni mita 20×20(sqm 400) Bei million 3.2 Hicho pembeni ya hiyo nyumba Kilomita 2.5 toka stendi Huduma zote zipo Umeme na maji ni kuvuta tu Kimebaki kimoja tu 0744757738 0784376888
  16. V

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Kibada Kigamboni

    kiwanja kipo karibu na barabara ya lami kina ukubwa wa sqm 1700 bei milioni 70 mazungumzo yapo mawasiliano 0659962452
  17. dalalitz

    JamiiForums Tanzania Kiwanja chakukata,sqm.600,Tshs.70 milioni, Mbezi-Afrikana

    Hapa
  18. W

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa

    .
  19. dalalitz

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja chenye msingi, kinauzwa na bank, sqm. 600, tshs.7 milioni, Mabwepande

    ...
  20. Y

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja Zinga Mlingotini

    Habari ndugu zangu,nauza kiwanja ukubwa ni 20 ×24 kiwanja kipo karibu na barabara ya vumbi inayoenda mlingotini kina karatasi ya mauziano bei 6,00,000/= maongezi kidgo yapo Phone number 0657759846, 0653652755 Kiwanja kipo nyuma ya nyumba ya kwnza kutoka barabara ya vumbi..kina njia pana tu ya...
Back
Top Bottom