Mchekeshaji @stanbakora_ Agombea Nafasi Ya Udiwani Kata Ya Kiwanja Cha Ndege Morogoro
Ameyasema Hayo Kupitia Ukurasa Wake Wa Instagram Kwa Kuandika👇
“Wana MOROGORO MJINI Kata Ya KIWANJA CHA NDEGE Nipo Tayar Kuwatumikia”
Kiwanja hakijapimwa ila kipo surveyd, kina ukubwa wa 1500sqm+. Kipo karibu na shamba litakalo jengwa shule ya feza kigamboni. Kinataka 30ML. Zingatia kutoka barabara ya kibada mwasonga ni 450m only hakina udalali. Price included na ku process hati ni PM.
Wadau, natafuta kiwanja chenye sifa hizi:
1. Vipimo: Kuanzia square meter 750 (25×30)
2. Eneo lililopangika vizuri
3. Kiwanja kiwe flat na ardhi isiwe na maji maji
4. Documents ziwe clean na zimekamilika
Offer yangu ni milioni 18 mpaka 20.
Nicheki whatsap 0765137266
Kiwanja Kinauzwa, kina msingi wa ukuta.
Mahali: Kimara Temboni.
Kipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro, Mita 300 kutoka barabara ya lami ya kuelekea kwa Mfugale.
Ukubwa wa Eneo: SQM 308.
Bei: Tzs Milioni 35.
Nyaraka: Hati ya mauziano ya Serikali ya mtaa.
Gharama ya kwenda kuona Eneo...
Hi
------
Posti hii inaeleza jinsi hali ya kiwanja inavyoathiri bajeti ya ujenzi. Mambo muhimu yaliyoangaziwa ni:
1. Aina ya ardhi:
- Tambarare: Gharama hupungua.
- Mteremko/milima: Gharama huongezeka.
2. Aina ya udongo:
- Laini: Huhitaji msingi wa kina → gharama huongezeka.
-...
Nauza kiwanja.
Mahali: Chanika Lukooni nyuma ya stendi mpya inayojengwa ya Chanika. Kama unaelekea Mvuti unateremkia Videte.
Ukubwa: mita 12 kwa mita 18.
Bei: 7.5 m
Mawasiliano: +255788745213
Nauza kiwanja.
Mahali: Chanika Lukooni nyuma ya stendi mpya inayojengwa ya Chanika. Kama unaelekea Mvuti unateremkia Videte.
Ukubwa: mita 12 kwa mita 18.
Bei: 7.5 m
Mawasiliano: +255788745213
Kiwanja kinauzwa Mbande sokoni. Panafaa sana kwa biashara, biashara yoyote. Unaweza kujenga:
1) Fremu
2)Duka kubwa
3)Ghala
4) Mgahawa
5) Bar
6) Nyumba ya kulala wageni
7) Chekechea
8) Ukumbi wa sherehe
9) Kituo cha Afya
10) Kituo cha huduma ya dini. N.k
Bei milion 100, bei inapungua.
Simu...
Salamu matajiri.
Namba zangu hizo hapo dalali ambaye Sina mkuu lakini Kazi zangu zimenyooka.
Ukitaka nyumba ya kununua au kiwanja basi nahakikisha kila kitu Kipo Sawa.
Hakuna mgogoro wa kiserikali au kifamilia.
sikutozi Hela ya kukupeleka kuona eneo Ila utalipia usafiri WA kukupeleka sehemu...
Kiwanja Kinauzwa – Kibada Block 11, Wilaya ya Kigamboni
Bei: TSHS Milioni 130 (Inazungumzika)
Ukubwa wa Kiwanja: SQM 1,490
Fursa ya kipekee kumiliki kiwanja kikubwa na chenye mandhari nzuri katika eneo linalokua kwa kasi la Kibada Block 11, Wilaya ya Kigamboni. Kiwanja hiki kina ukubwa wa mita...
Sijaelewa kama Kuna Sheria inayoongoza matumizi ya Ardhi na ujenzi inavyotafsiri uhusiano uliopo kati ya Ardhi na aina ya jengo linalotakiwa kujengwa
Hizi "High, medium &Low density" zinajengwaje? Maana utakuta wanunuzi wa viwanja wanabadili aina ya jengo bila ya kuzingatia ukubwa wa kiwanja.
Bure kabisa fatilia hapa
Natoa ofa kuanzia leo Nitajie kiwanja chako kina ukubwa gani mimi nikwambie unaweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi vya kulala
Wasalaam Eng James 0743 257 669
Nimeulizwa swali
Je kiwanja cha 27 kwa 15 kinaweza kujengwa nyumba ya vyumba vingap?
Kiwanja chenye urefu wa mita 27 na upana wa mita 15 kinaweza kubeba idadi tofauti ya vyumba kulingana na mpangilio wa ramani, aina ya ujenzi, na nafasi ya fensi.
1. Idadi ya Vyumba Unavyoweza Kupata
✅ Nyumba ya...
Kiwanja Kinauzwa, kina msingi wa ukuta.
Mahali: Kimara Temboni.
Kipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro, Mita 300 kutoka barabara ya lami ya kuelekea kwa Mfugale.
Ukubwa wa Eneo: SQM 308.
Bei: Tzs Milioni 35.
Nyaraka: Hati ya mauziano ya Serikali ya mtaa.
Gharama ya kwenda kuona Eneo...
Wakuu poleni na majukumu.
Moja kwa Moja kwenye mada, nahitaji msaada wenu, Mimi ni mhitimu wa chuo Cha MUST mbeya nlieamua kujitafuta hapa hapa mbeya.
Baada ya kujitafuta kwa miezi kadhaa kitu Cha kwanza ikawa ni kutafuta eneo kwa ajili ya makazi.
Kwa bajeti ya Milion2 hadi 3 naweza pata...
Nauza kiwanja changu kilichopimwa kipo Kisemvule Njia PANDA ya KIBAMBA MSIKITINI
Eneo ni sqm 1700
Price; Million 6. Hakina udalali.
Huduma zote za kijamii zinapatikana.
Kwa mawasiliano; Njoo PM
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.