Natafuta kiwanja maeneo ya Goba au Madale

Kwa hela yako hiyo hupati ningekushahuri kwa hela hiyo utafute kiwanja mbezi kuelekea kibamba utapata kiwanja kizuri sana kwa bei hiyo
 
Samahani mkuu, kumbe Dar ardhi ndio gharama hivyo? Goba si wanasema ni maeneo mapya na viwanja vya milima na mabonde? Huku mkoani hiyo hela unapata hata nyumba
 
Mkuu napajua Goba, sikushahuri ukanunue eneo huko .
Huko pamejengwa kienyeji sana hakuna , maji shida .
Nakushahuri nenda nilipokwambi achana na goba eneo ambapo watu wamejenga majumba ya thamani bila mipango .
Kuna watu kibao wamejenga huko majumba kutokana na mipango mibovu na ubinafsi wa watu wamenyimana njia goba Kuna maghorofa kibao ila hayana njia ya magari .
Nenda mbezi kwenda kibamba Kuna viwanja vya makampuni vimepimwa na vina hati .
Hii njia ya ubungo hadi kimara ikikamilika hiyo njia itakuwa haina foleni
 
Mimi sina mpango wa kujenga dar na niliondoka huko miaka mingi iliyopita. Kwa maelezo yako goba ni kama uswazi ya kishua
 
Ndio manake ila umenichekesha sana , you are very right uswazi ya kisure just imagine mtu ana nyumba ya milion 150 au 200 ila hana njia ya gari kufika nyumbani kwake gari anapaki mbali na nyumbani
 
Mkuu napajua Goba, sikushahuri ukanunue eneo huko .
Huko pamejengwa kienyeji sana hakuna , maji shida .
Nakushahuri nenda nilipokwambi achana na goba eneo ambapo watu wamejenga majumba ya thamani bila mipango .
Kuna watu kibao wamejenga huko majumba kutokana na mipango mibovu na ubinafsi wa watu wamenyimana njia goba Kuna maghorofa kibao ila hayana njia ya magari .
Nenda mbezi kwenda kibamba Kuna viwanja vya makampuni vimepimwa na vina hati .
Hii njia ya ubungo hadi kimara ikikamilika hiyo njia itakuwa haina foleni
Kama hajali aende hata mapinga atafute mtaa unaitwa Amani 6c baada ya miaka 5 utakuwa mtaa safi sana uliopangwa
 
Ndio manake ila umenichekesha sana , you are very right uswazi ya kisure just imagine mtu ana nyumba ya milion 150 au 200 ila hana njia ya gari kufika nyumbani kwake gari anapaki mbali na nyumbani
Mtu kama huyo inawezekana ana tatizo la akili kwasababu milioni 200 huku mkoani unajenga lodge ya kisasa kwenye prime area.
 
Kuna mijitu mi naiona ni mijinga mijinga mingi sana imejenga kule koba
Si wachagga ndiyo wengi afu kumbuka walikimbilia bei ikiwa cheee....mbezi kinyerezi naona ndio pakishua kwa mimi lakini....japo eneo hapati kwa hiyo bei.
 
Mkuu napajua Goba, sikushahuri ukanunue eneo huko .
Huko pamejengwa kienyeji sana hakuna , maji shida .
Nakushahuri nenda nilipokwambi achana na goba eneo ambapo watu wamejenga majumba ya thamani bila mipango .
Kuna watu kibao wamejenga huko majumba kutokana na mipango mibovu na ubinafsi wa watu wamenyimana njia goba Kuna maghorofa kibao ila hayana njia ya magari .
Nenda mbezi kwenda kibamba Kuna viwanja vya makampuni vimepimwa na vina hati .
Hii njia ya ubungo hadi kimara ikikamilika hiyo njia itakuwa haina foleni
Mkuu tuwekee baadhi ya makampuni yanayouza viwanja maeneo hayo kama hautojali..
 
Nenda kwenye kijiwe cha bodaboda,ulizia,tafuta madalali in person utapata.
JF utakatishwa tamaa tu!
 
Wadau, natafuta kiwanja chenye sifa hizi:

1. Vipimo: Kuanzia square meter 750 (25×30)
2. Eneo lililopangika vizuri
3. Kiwanja kiwe flat na ardhi isiwe na maji maji
4. Documents ziwe clean na zimekamilika

Offer yangu ni milioni 18 mpaka 20.

Nicheki whatsap 0765137266

Cheki Hyo...Unaweza nunua kimoja Pia ...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom