kiwango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Huduma za afya nchini China zaboreshwa kwa kiwango kikubwa

    Mkutano mkuu wa 20 wa Chama cha Kikomunisti cha China CPC utafanyika tarehe 16 Oktoba hapa Beijing. Lakini kabla ya kufanyika kwa Mkutano huo, ikiwa sasa watu wa China wanakuwa katika mapumziko ya siku saba ya kusherehekea miaka 73 ya kuzaliwa kwa taifa la China, siku ya taifa inayoangukia...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TBS yakamata Mabati 125,280 yasiyokidhi viwango, zoezi la kuyateketeza laingia doa

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeiandikia barua kampuni ya uagizaji na usambazaji wa mabati nchini URHOME Company Limited kuhakikisha ndani ya siku tatu imewapatia taarifa ya mabati 2176 kati 125,280 baada ya kufanyiwa ukaguzi na kugundulika hayajakidhi viwango. Akizungumza na waandishi wa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kiwango kikubwa cha Kansa kanda ya Ziwa kiangaliwe

    Nilishutushwa niliposikia hospital kubwa ya cancer Marekani MD Anderson ambayo ipo Houston Texas inafanya uchunguzi ni kwanini kuna mpasuko mkubwa wa cancer hasa za Tumbo kanda ya ziwa hasa mkoa wa Mara na majirani. Cha kushangaza ni miaka zaidi ya mitano na sijaona jitihada zozote za serikali...
  4. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha upikaji Data cha hii nchi sio cha hii sayari

    Hii nchi Data zinapikwa vibaya mno na sijui.kama kuna Taifa Data zinapikwa kama Tanzania na mbaya Kiongozi haoni aibu kusimama na kusoma Data ambazo yeye mwenyewe anajua fika ni za kupikwa. Waziri mkuu anadai nchi ina jitosheleza kwa Chakula kwa asilimia 115 na ina ziada nyingine zaidi ya Tani...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni vigumu sana kukutana na mtu mtakaependana kwa kiwango sawa?

    Ewe msoma mada jiulize wewe mwenyewe nafsini kwako, huyo mpenzi ulie nae unampenda kweli? (Ni dream partner wako tangu siku ya kwanza ulivomuona), au upo nae ili muda uende, nahis kwenye mahusiano watu wengi wameamua kuridhika na wenza walio nao, ila kiuhalisia tangu mwanzo hawakufurahia uwepo...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la kiwango cha riba nchini Marekani laathiri uchumi wa Afrika

    Katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na janga la UVIKO-19, Marekani ilichapisha dola nyingi ili kuchochea uchumi. Lakini kuanzia mwaka huu, Marekani imegeuza sera ya kifedha na kuongeza viwango vya riba ili kukabiliana na mfumuko wa bei. Kitendo hicho kimekuwa moja ya vyanzo vikuu vya mfumuko...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Mabati ya uchumi wa kati yenye kiwango

    Habari wadau....Naomba uzoefu na ushauri kuhusu mabati ya Uchumi wa kati kwa kampuni za Alaf, Sunshare na Dragon
  8. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla kushangaa UDART kushindwa kuendesha mwendokasi ni unafiki wa kiwango cha juu

    Udart kushindwa kuendesha mwendokasi sio suala la kushangaa ni unafki sana kushangaa kama wameshindwa. Kingwangala kama walivyo watanzania wengi anasumbuliwa na unafiki pale wanaposhangaa kuona udart wameshindwa mwendokasi. Yani unajenga barabara unamuita Mchina aje kuweka mabus abebe faida...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini kujiendeleza kwa walimu hukuleti tija ya kuinua ubora na kiwango cha elimu?

    1. Nianze hoja kwa kuomba wahusika na wadau wa idara, kurugenzi na wizara wafanye uchunguzi ili wajiridhishe na kuthibitisha uhalisia wa swali hili. 2. Lengo la serikali kuwapa watumishi wake fursa ya kujiendeleza kimasomo (mafunzo kazini) ni kuweza kuongeza ufanisi katika utendaji kazi kwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha Uaminifu na Uadilifu kinazidi kupungua miongoni mwa Watanzania, chanzo ni nini?

    Tafakari mifano kadhaa ifuatayo na kisha tujadili nini chanzo cha kuporomoka kiwango cha uaminifu na uadilifu kwenye jamii yetu ya Kitanzania. 1) Umetuma fedha kwa njia ya simu kwa makosa, kwa watu watatu tofauti, halafu wapigie simu na uwajulishe kwamba umewatumia fedha kwenye simu zao kwa...
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Wakinga wanakusanya faida takribani bilioni 50 kila mwezi kariakoo kiwango cha chini kwa kupunguza idadi yao na kutohesabia wasiolipa kodi

    Kwa wale tuliowahi kufika kariakoo kufunga mizigo ama kununua reja reja ama kutalii tumeshajionea jinsi wakinga walivyoikamata kariakoo, Kariakoo ndio soko kuu hapa Tanzania na wafanyabiashara wa nchi nyingine kama Zambia, Congo, Malawi, Rwanda, Burundi, Uganda, n.k hufunga mzigo kariakoo...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania UAE watamba na teknolojia ya kupanda mawingu ili kuongeza kiwango cha mvua kwa mwaka

    Umoja wa Falme wa Kiarabu umezidi kuonesha umwamba katika kukuza teknolojia ya kutengeneza mvua ambapo kwa sasa wanapanda mawingu ili kutengeneza mvua. Wataalamu wa UAE wamesema teknolojia hiyo sio tu ile ya kutuma ndege na kuweka kemikali kwenye mawingu bali ku-modify hali ya hewa kwa ujumla...
  13. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Ligi yetu imeshuka sana kiwango

    Hii ilianza kujionesha pale bingwa wetu alipozalilishwa na Vipers, hata kitendo Cha Jana Cha kufungwa na Uganda kilidhihirisha Hilo. Ligi ingekuwa na ubora bingwa wetu asingezalilishwa hivyo tena akiwa nyumbani. Pia kushuka huku kwa ubora wa ligi kimechangia Taifa stars kupata wachezaj wa...
  14. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania Ikiwa tozo na VAT zina kiwango sawa, tafsiri nyepesi ni kwamba VAT imeongezeka mara 2

    Picha hapo juu inajieleza. Tafsiri nyepesi ya hizi tozo ni kwamba VAT imepanda mara 2. Zile stori za sijui nchi ni yetu sote, tunajenga nchi, tunaendesha miradi ni vichaka tuu vya kujifichia ila ukweli ndiyo huo kwamba VAT ime-double. Sasa kwa hali ya uchumi ilivyo ni mzigo tosha kwa mwananchi...
  15. I

    JamiiForums Tanzania SoC02 Vyombo vya Habari na sheria nchini Tanzania tasnia ya habari kwa hapa nchini Tanzania inakuwa kwa kiwango kikubwa sana. Tofauti na zamani

    VYOMBO VYA HABARI NA SHERIA NCHINI TANZANIA Tasnia ya habari kwa hapa nchini Tanzania inakuwa kwa kiwango kikubwa sana. Tofauti na zamani, vyanzo vya habari vikuu vilikuwa ni Televisheni, Redio na Magazeti. Ila kutokana na ukuaji wa teknolojia na utandawazi kwasasa kuna vyanzo vya habari vya...
  16. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulaya wasifia uchaguzi wa Kenya na kusema umeweka kiwango kipya Afrika

    Vyombo vyote vya habari vina takwimu za matokeo kituo kwa kituo, data zipo kote, kila mmoja yupo huru kukotoa na kuibua popote penye tashwishi au kasoro, binafsi sikumchagua Ruto, sikumpa kura yangu ila nimependa namna uchaguzi uliendeshwa kwa njia za wazi kabisa, Afrika haijatokea uchaguzi...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania TFF na CAF waipe adhabu Yanga kwa kumchezesha Mayele ambaye kiwango chake ni cha kuchezea timu kama PSG, Barcelona, Real Madrid, Manchester

    Huu mpira anaoupiga Mayele sio wa Afrika hii. Kuna namna Yanga wamefanya. Haiwezekani mchezaji hatari kama Mayele achezee timu hizi za Kitanzania. CAF na TFF waimulike Yanga na ikiwezekana waiadhibu . Mayele analeta imbalance uwanjani.
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri asema kiwango cha udumavu kwa Watoto Mkoani Iringa ni 47%

    Waziri wa Afya, Waziri Ummy Mwalimu amesema katika Mkoa wa Iringa kuna tatizo kubwa la udumavu kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano. Ameyasema hayo leo Agosti 13, 2022 akidai kuwa kiwango cha udumavu mkoani humo ni asilimia 47 ambapo katika kila watoto 100, watoto 47 wamedumaa...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tusidanganyane kwa Kiwango cha Vipers FC, Kiwango cha Wachezaji wa Uganda na Ubora wa Kocha Wao hata Simba SC nayo ingefungwa tu

    Kiutani GENTAMYCINE nawacheka mno Yanga SC na nimefurahi sana kwa Kufungwa Kwako ki 'Beauty Beauty' Goli ( Bao ) Mbili za Vipers FC ila tukiondoa Utani Wetu wa Simba na Yanga kwa ninavyowajua Waganda, walivyowekeza katika Soka na kuwa very Serious hata Simba SC yangu ingecheza nao Leo nayo (...
  20. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Chini ya Rais Samia Suluhu, kila familia itapata maji safi na salama

    Jitihada za kuhakikisha kwamba Watanzania wanapata maji safi na salama chini ya Rais Samia Suluhu ni jitihada za kupongezwa sana kwani zimekuwa na muendelezo chanya tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani. Kwa mujibu wa ripoti ya tathmini ya ukuwaji wa uchumi katika robo ya kwanza ya mwaka...
Back
Top Bottom