Ligi yetu imeshuka sana kiwango

44mg44

JF-Expert Member
Jun 16, 2019
2,135
2,139
Hii ilianza kujionesha pale bingwa wetu alipozalilishwa na Vipers, hata kitendo Cha Jana Cha kufungwa na Uganda kilidhihirisha Hilo.

Ligi ingekuwa na ubora bingwa wetu asingezalilishwa hivyo tena akiwa nyumbani.

Pia kushuka huku kwa ubora wa ligi kimechangia Taifa stars kupata wachezaj wa kiwango Cha chin mno.

Nin kifanyike ili ubora wa lig yetu urud Kwen level?
1. Rushwa kwa waamuz ikomeshwe hasa kuipendelea Yanga.

2. Wachezaj wa kigen wamezid mno
 
we naye umekuja tu kuandika bila hata kuwa na Tathmini ya kina. yani kutofanya vizuri Chan ndio kigezo cha ligi kushuka kiwango?

Nani amekwambia ligi inachezwa na wachezaji wazawa pakee? halafu kufungwa kuna sababu nyingi , sio uwezo mdogo tu.

Inaweza kuwa kukosa muunganiko au mbinu hafifu za kocha. ina maana unataka kusema ligi ya Uganda ni bora kuliko yetu?

Wewe kaa tulia, uone timu zao na zetu zipi zitafafika mbali CAF
 
we naye umekuja tu kuandika bila hata kuwa na Tathmini ya kina. yani kutofanya vizuri Chan ndio kigezo cha ligi kushuka kiwango? nani amekwambia ligi inachezwa na wachezaji wazawa pakee? halafu kufungwa kuna sababu nyingi , sio uwezo mdogo tu. inaweza kuwa kukosa muunganiko au mbinu hafifu za kocha. ina maana unataka kusema ligi ya Uganda ni bora kuliko yetu? we kaa tulia, uone timu zao na zetu zipi zitafafika mbali CAF
Mkuu kuhusu kufungwa haijawahusu wazawa pekee,mfano Yanga kufungwa na Vipers walihuska wachezaj wa ndan pekee ???
 
Hii ilianza kujionesha pale bingwa wetu alipozalilishwa na Vipers,hata kitendo Cha Jana Cha kufungwa na Uganda kilidhihirisha Hilo
Lig ingekuwa na ubora bingwa wetu asingezalilishwa hivyo Tena akiwa nyumban
Pia kushuka huku kwa ubora wa lig kimechangia Taifa stars kupata wachezaj wa kiwango Cha chin mno.
Nin kifanyike ili ubora wa lig yetu urud Kwen level?
1. Rushwa kwa waamuz ikomeshwe hasa kuipendelea Yanga
2.Wachezaj wa kigen wamezid mno
Wewe Jamaa unatumia Kichwa kama mfuniko wa ubongo tu
 
Kuna team imefungwa vipigo mfululizo mpaka na wa Djibouti
Wachezaji wake team ya taifa wanachomesha kama yule kijeba mpiga danadana
 
Hii ilianza kujionesha pale bingwa wetu alipozalilishwa na Vipers,hata kitendo Cha Jana Cha kufungwa na Uganda kilidhihirisha Hilo
Lig ingekuwa na ubora bingwa wetu asingezalilishwa hivyo Tena akiwa nyumban
Pia kushuka huku kwa ubora wa lig kimechangia Taifa stars kupata wachezaj wa kiwango Cha chin mno.
Nin kifanyike ili ubora wa lig yetu urud Kwen level?
1. Rushwa kwa waamuz ikomeshwe hasa kuipendelea Yanga
2.Wachezaj wa kigen wamezid mno
Ilianza pale mchezaji kutoka ligi ya Uganda kuwaacha Makolo kwenye mataa na kutimkia China
 
Katika ukanda huu wetu wa Zone 5 kwenye Zone Za CAF Djibouti ndio wa mwisho katika rank za CAF.Msisahau pia hii ndio zone Nyanya/Kibonde kuliko Zone zote za CAF.
 
Hii ilianza kujionesha pale bingwa wetu alipozalilishwa na Vipers,hata kitendo Cha Jana Cha kufungwa na Uganda kilidhihirisha Hilo
Lig ingekuwa na ubora bingwa wetu asingezalilishwa hivyo Tena akiwa nyumban
Pia kushuka huku kwa ubora wa lig kimechangia Taifa stars kupata wachezaj wa kiwango Cha chin mno.
Nin kifanyike ili ubora wa lig yetu urud Kwen level?
1. Rushwa kwa waamuz ikomeshwe hasa kuipendelea Yanga
2.Wachezaj wa kigen wamezid mno
Umeandika ujinga tu hapa. Kiufupi hakuna uhusiano wa Yanga na hiki ulichokiandika hapa.
 
Team zinaahidia mil 10 zikiifunga simba last season that was nonsense decision from the political leaders .
 
Hii ilianza kujionesha pale bingwa wetu alipozalilishwa na Vipers,hata kitendo Cha Jana Cha kufungwa na Uganda kilidhihirisha Hilo
Lig ingekuwa na ubora bingwa wetu asingezalilishwa hivyo Tena akiwa nyumban
Pia kushuka huku kwa ubora wa lig kimechangia Taifa stars kupata wachezaj wa kiwango Cha chin mno.
Nin kifanyike ili ubora wa lig yetu urud Kwen level?
1. Rushwa kwa waamuz ikomeshwe hasa kuipendelea Yanga
2.Wachezaj wa kigen wamezid mno
Kufungwa kwa timu ya ligi nbc inahusikaje? Mi nadhani ligue yetu imekuwa sana na inakua sana vigezo vingi mfano uwekezaji wa timu
Uwekezaji wa wadhamini ambapo wameongezek zaid
Sajir za kimataifa
 
Back
Top Bottom