kituo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza viwanja Kigamboni njia ya fun city kituo njano

    Nauza viwanja vipo 4 vipo kigamboni njia ya kuingia Fun city nyuma ya kituo cha Njano kila kimoja kina sqm 500 kila kiwanja kinaanzia Tshs,28ML kama upo intrested njoo tuyajenge piga hii no 0743921019
  2. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi wakuu inawezekana mtu kuijiandikisha kupiga kura zaidi ya kituo kimoja na mashine ikakubali

    Hivi huwa najiuliza mfano mwaka huu mtu mmoja ujiandikishe zaidi ya kituo kimoja je hii inawezekana na ukapatiwa kitambulisho Mimi naona kama hili jambo haliwezekani sababu Kuna finger print tulikua tunabishana Ili swala na wadau kijiweni wengine wanadai inawezekana wengine wanasema haiwezekani...
  3. Isenye

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kubadili kituo cha kufanyia usaili kwenye hizi ajira za TRA?

    Mko salama wakuu? Nilikua nauliza, inawezekana kubadili kituo cha kufanyia usahili kwa hizi ajira za tra? Mfano nimepangiwa dar ila kwa sasa niko Mwanza.je inawezekana nikafanyia kituo kilichopo mwanza? Ni hatua gani za kufuata? Mwenye kujua anijuze tafadhali.
  4. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nipo kituo cha kuandikisha wapiga kura, utaratibu mbovu, kasi ndogo ya uandikishaji unawakatisha tamaa watu wengi kujiandikisha

    Nimefika kituo cha kujiandikishia wapiga kura cha Tegeta 'A' inasikitisha sana kwani mashine iliyopo ni moja tu na watu waliopo na wanaoendelea kuja ni wengi sana kiasi cha kushindwa kukidhi uhitaji. Utaratibu wa kuingia kuhudumiwa kuna namba zinatolewa, wanaopewa kipaumbele ni wanawake...
  5. S

    JamiiForums Tanzania King'amuzi cha Azam tv

    Habar za jioni,nimepata changamoto king'amuzi kinaniambia "hakuna kituo" Msaada kwa anaejua tafadhali
  6. upupu255

    JamiiForums Tanzania Video: Tazama mwizi huyu wa simu alivyodakwa kirahisi hadi akaona aibu mwenyewe

    Tazama huyu mwizi wa simu alibambwa kirahisi hadi akaona aibu mwenyewe
  7. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Tanzania Nauza eneo la kituo cha Gas

    Habari wakuu. Eneo Kwajili ya Gas linauzwa GOBA Hapo unaweza kufungua kituo cha Kuuza Gas. Ewe mwekezaji fumba macho ununue hili Eneo. Sqm 2000. Kwa mawasiliano Zaidi 0754693556
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Polisi Wanawake (TPF-net) watoa msaada kwa Kituo cha Wazee Wasiojiweza Njoro

    Mtandao wa Polisi Wanawake (TPF-net) mkoani Kilimanjaro leo Machi 6, 2025 wametoa msaada wa vitu mbalimbali katika kituo cha wazee wasiojiweza Njoro, kilichopo kata ya Mji mpya mkoani hapa. Vitu vilivyotolewa ni mchele kilo 100, unga wa ugali kilo 50, unga wa ngano kilo 50, mafuta ya kula...
  9. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa kituo cha polisi kwa milioni 81 wakamilika Nkinga Tabora

    Wananchi wa Kata ya Nkinga, katika Tarafa ya Simbo, wilayani Igunga, mkoani Tabora, ambao awali walikuwa hawana uhakika wa Kituo cha Polisi na kulazimika kupeleka malalamiko ya uhalifu umbali wa zaidi ya kilomita 80 wilayani Igunga, adha hiyo imeisha baada ya kituo kipya cha polisi kilicho...
  10. L

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Susan Kaganda Balozi mpya wa Tanzania - Zimbabwe, Prof. Sanga apewa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.amefanya uteuzi wa viongozi watatu. Ambapo katika uteuzi huo ameweza kumpangia kituo cha kazi Suzan Kaganda kwenda Nchini Zimbabwe. Hi hapa taarifa ya ikulu👎
  11. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Vurugu Kituo cha Mwendokasi Kimara Temboni, abiria ashambuliwa

    Vurugu zimeibuka katika Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi cha Kimara Temboni, baada ya kile kinachodaiwa kuwa ni ukiukwaji wa utaratibu wa kupanga mstari kwa abiria. Tukio hilo limetokea leo Februari 25,2025 majira ya saa 8:40 asubuhi ambapo lilianza pale abiria walipovunja mstari rasmi wa upanda...
  12. Kigger

    JamiiForums Tanzania Kwa nini uazishe kituo cha online radio

    kwa sasa online radio inasikizwa zaidi kuliko vituo vya fm,hii inatoa fursa kubwa hasa kwa vijana kufikia maono yao ya kumiliki media. kwaanza kabsa unafichua mitazamo ambayo radio kubwa azifuatilii au awatoi kipaumbele mfano nyimbo, makala na habari kwa undani pili ni kutangaza utamaduni wako...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Nilivyojikuta Kituo cha Polisi baada ya kumsajilia Mtu Line ya simu

    Nakumbuka 2021 kuna mshkaji wangu aliniomba nimsainie line ya simu kwa NIDA yangu kwa sababu alikuwa hana kitambulisho cha Taifa. Basi mimi si nina muamini nikamsajilia kwa wale wakala wanaozungukaga mitaani, kipindi hicho niko Arusha yeye akaenda kufanya mishe zake Morogoro Baada ya miezi...
  14. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL limekabidhiwa umiliki, usimamizi, uendeshaji na uendelezaji wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano pamoja na Kituo cha

    Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL limekabidhiwa umiliki, usimamizi, uendeshaji na uendelezaji wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano pamoja na Kituo cha Taifa cha Kutunza taarifa chenye thamani ya zaidi ya Bilioni 450. Pia, TTCL imekabidhiwa miundombinu ya Consortium kama sehemu ya Mkongo wa...
  15. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Kituo kinachofuata Taiwan napata mashaka

    Kwa huu mwenendo wa marekani kwa sasa mwenye uhakika wa usalama,ukaribu na utafiki na marekani naona ni Israel pekee. Hawa wengine wanatumika tu kiurafiki wa kinafiki na marekani kwa ajili ya maslahi yake binafsi. Canada kazi ya marekani wameiona, Mexico wameiona, Denmark wameiona, umoja wa...
  16. P

    JamiiForums Tanzania KUHAMA KITUO CHA KAZI KWA MASHIRIKA YA UMA YA SERIKALI

    Wakuu mimi niko Mamlaka ya maji nawafikiria sana TRA, TBS, eGA, TCRA na TANAPA ni ICT afisa, nataka nipambanie uhamisho kwenye hizi taasisi ni ICT afficer II-SOFTWARE DEVELOPER(WEB) hii taasisi haifanyi software development kabsa zote zinafanywa na eGA, naomba msaada wa kiufundi watalam ili...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Heko kwa bodaboda wa Kituo Kipya Gongo la Mboto DSM

    Nimefurahishwa sana na bodaboda wa Kituo Kipya Gomz DSM, Nmependa sana utaratibu wa kusimamisha watu kutopita njia ya SGR pale zipitapo treni mimi nmepita leo mida ya saa1 jioni hivi nkajiuliza kuna nini hapa kusubiri kidogo naona treni ya SGR hii hapa Hongereni sana kujali uhai hasa kwa watoto...
  18. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi atiwa mbaroni akidaiwa kubaka watoto yatima watano kwa nyakati tofauti

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Stephano Maswala, miaka 35 mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi (jina linahifadhiwa) kwa kosa la kubaka watoto watano kwa nyakati tofauti kuanzia mwezi Oktoba 2024 mpaka Januari 2025 waishio kituoni hapo. Muhumiwa huyo alikuwa...
  19. Empty container for sale

    JamiiForums Tanzania House4Rent Kituo cha mafuta (Sheli ) kinapangishwa. Kipo Boko Magengeni

    Update :tayari kimepata MTU , thank you all.🙏🏽 Kituo cha mafuta kinapangishwa kipo Boko Magengeni . Price 8M - eight million per month Bei million nane Kwa mwezi Kina matenki matatu Diesel lita 25000 Petrol lita 25000 Diesel lita 9000 Ukubwa wa eneo ni Square metres 2970 Call...
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Usiogope Unaweza kuanzisha Kituo cha Kujaza gesi (CNG) kwenye magari na bajaji

    Matumizi ya Gesi Asilia Iliyoshindiliwa (CNG) yameanza kushika kasi Tanzania kutokana na gharama zake nafuu ikilinganishwa na mafuta ya petroli na dizeli. Tanzania ina akiba kubwa ya gesi asilia, hasa katika maeneo kama Mnazi Bay (Mtwara) na Songo Songo (Lindi), ambayo yanaweza kusaidia kuongeza...
Back
Top Bottom