Naomba muongozo wa biashara ya kituo Cha mafuta deepbond

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,818
Reaction score
4,521
Habar wakuu naomba muongozo abc za biashara ya kituo Cha mafuta mchakato wake ukoje faida kwa siku na vibali na eneo l,na Hali ya ushindand ,,NB deepbond njoo uku tunakuhitaji ushauri
 
Profit margin kwa lita 1 ina range kati ya 130-150. (Ewura ina regulate bei) kwa vyovyote vile huwez pata zaid ya hapo kwenye kila lita.

Faida inategemea Ltrs unazouza kwa siku.

1. Starting cost
-Eneo
-Pump zile zina range kuanzia 10+Mill
-Tank zinatakiwa mbili (diesel na petrol)
Kimoja mpaka kikamilike na kuwekwa chini 10+mill
- bulding setup

2. Permit and certificates
  • licence ya Ewura
  • Lesen ya biashara licence
  • lesen ya OSHA na Fire certificates
  • EIA (enviromental impact assessment )
3. Running /operational cost
-umeme
-salaries
-gar la kukuletea mafuta (la kukodi au la kwako) zinaanzia ltrs 13,500 na kuendelea * bei ya kununua kwa ltr moja. na unalipa bank slip.
- maintanance
-na gharama nyingne ndogo ndogo

Kufungua kituo cha mafuta standard (chenye pump 2) roughly andaa 300mill tsh kwa ajili ya infrastucture zote muhimu.
Na Hapo ongezea na 100 mill mtaji wa mafuta petrol na diesel
 
Vip kama eneo Hilo Lina makampuni mengine yamafuta kama afroil,lake oil,gbp,camel na puma Kuna kuuza kweli kunakutoboa
 
Taja eneo.

Ila kila kituo kitapata wateja, na maanisha Mtagawana wateja hao hao, maana wateja wa petrol hatuna mwembwe. Tunajaza kokote.

Ila kupata faida hapo mtihani.

Kwa hali hiyo ya ushindani Let say umeuza lita 1,500 kwa siku
1,500 * 150 ni 225,000/- faida

Running cost ya siku mfano ,umeme, maji , ulinzi, Stationaries weka 100k.

Mwisho wa mwez pia kuna cost nyingne.

Je hiyo 125k inayobali itachukua muda gan kurecover 400mill yako uliyoilaza chini.
 
Mim Niko tabora,hapo kuuza hizo Lita 1500 inawezekana kweli nahayo makampuni hapo
 
Ni ngumu bro.

Kama unauza chin ya hapo utapata hasara in long run.

Nashaur tafuta kituo chochote ambacho tayar kimejengwa na ukikodishe ili ujifunze hii biashara ya mafuta.

Usikurupuke kwanza kujenga cha kwako.
Itakucost sana
 
Nimependa maelezo yako kuanzia huko huu, hii inshu ya kukodi kituo huwa iko vipi? Naomba maelezo yake tafadhali.
Ni ngumu bro.

Kama unauza chin ya hapo utapata hasara in long run.

Nashaur tafuta kituo chochote ambacho tayar kimejengwa na ukikodishe ili ujifunze hii biashara ya mafuta.

Usikurupuke kwanza kujenga cha kwako.
Itakucost sana
 
Screenshot_20250930_052332_WPS Office (1).jpg

Mawasiliano yetu:
Bright and Genius Editors;
Email: bandg.editors@gmail.com;
Whatsapp: +255687746471/ +255612607426.
Clean Energies Group;
Email: clean.energies.group@gmail.com;
Whatsapp: +255747744895.
 
Back
Top Bottom