kituo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tonnylee

    JamiiForums Tanzania Msaada wa muundo wa barua ya kuhama kituo Cha kazi

    Wakubwa heshima kwenu, naomba kusaidiwa muundo wa barua ya uhamisho. Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi nataka nahama kutoka Halmashauri moja kwenda nyingine Binafsi sifahamu njia za kupitia ili nifanikiwe kwa haraka. Natanguliza shukrani za dhati kabisa
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini daladala hazifiki Kituo cha BRT na Daladala Gerezani?

    Habari zenu Ndugu, Naomba ufafanuzi kidogo maana kuna jambo linasababisha kero na foleni kubwa ndani ya Kariakoo. Hivi haya madaladala yenye route kama Masaki---Gerezani kwanini yanaishia kariakoo na hayafiki kabisa gerezani? Je, kuna mpango wa kuyahamishia kituo cha Gerezani? Kituo hicho...
  3. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi? Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe. Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na...
  4. Buza Kwa Mpalange

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene, IGP Sirro kiangalieni kituo cha polisi Buza

    Nawasalimu kwa jina la makato mapya ya tozo. Jamani Mheshimiwa Simbachawene na kamanda Sirro bila kumsahau kamanda Murilo tafadhalini kiangalieni kituo kidogo cha polisi Buza. 1. Kituo kina zaidi ya miezi mitatu kimefungwa yaani pachafu kama nini 2. Hakina umeme 3. Hakina maji mahabusu sijui...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Marekani: Robo tatu ya wagonjwa wa COVID 19 wanaolazwa wana chanjo ya COVID- 19

    Kituo kituo kikubwa kabisa kinachoshughulika na magonjwa ya kuambukiza cha marekani (CDC) kimelazimika kutoa matokeo yanayoonesha kuwa chanjo haimkingi kabisa aliyechanjwa kuambukizwa corona!! ROBO TATU ya maambukizi mapya yanawapata waliochanjwa chanjo ya corona. Asilimia 80 ya wanaoelemewa na...
  6. L

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU tunaomba Msaada: Kijana huyu alipata ajira Serikalini lakini akaporwa kituo cha kazi na kupewa mwingine

    UPDATE: MLALAMIKAJI AITWA KAZINI ----- NAMNA KITUO CHA KAZI KILIVYOPORWA Donald Mshani aliomba kazi serikalini mwezi February 2021 baada ya tangazo la nafasi ya MUHIFADHI WANYAMA PORI DARAJA LA 3 katika halmashauri ya wilaya ya Njombe. Alipata bahati ya kuiitwa kwenye usahili uliofanyika...
  7. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Mwanafunzi wa kidato cha kwanza mwenye miaka 13 aswekwa Mahabusu kituo cha Polisi Kirumba

    "Kati ya mahabusu wa kiume 48 waliokuwepo katika Kituo cha Kirumba, kuna mtoto mwenye umri wa miaka 13. Mtoto huyu, alimsogelea Askofu na kumueleza kwa masikitiko kisa chake. Kwamba siku moja aliamua kuchuma limao moja katika mlimao wa jirani yake ili aweke kwenye dagaa ili ale. Jirani yake...
  8. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Kituo cha mbezi wanagawa used receipt kwa wateja ??

    TUKIWA TUNAENDELEA NA KODI YA MSHIKAMANO KUNA HAYA MALALAMIKO TRA NI YA KWELI HAYA ?? "This is what taasisi zinatakiwa kudhibiti kuhakikisha kodi zinakusanywa sawa sawa, tulikosea njia tukaingia kituo cha mbezi mwisho, kwenye kutoka tukalipishwa buku but wametupa risiti iliyotumika huku...
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) Elishilia Kaaya amefariki dunia

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), Elishilia Kaaya amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi. Alikuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya AICC jijini Arusha.
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Chato: Wauguzi wahamishwa kituo madai kuomba wagonjwa rushwa 90,000/-

    WAUGUZI wawili wa Kituo cha Afya cha Bwanga wilayani Chato mkoa wa Geita, wamehamishwa, kwa kutuhumiwa kuomba Sh. 90,000 kwa wagonjwa waliokuwa wamelazwa. Wanadaiwa kuomba fedha hizo kwa wagonjwa ili kuitumia kama nauli kwenda kufuata damu katika vituo vingine vya afya kutokana na kituo...
  11. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Jihadhari na hiki kituo cha mafuta cha Victoria

    Gari yangu ya diesel na nikawekewa petroli, nimewekewa mara mbili! Nimeapa kutorudi kuweka mafuta hapo. Kuna katatizo hapa. Na manager aakawa mbishi na kusema ni shauri lako! Sijui EWURA wanasemaje hapo. NB Kuna wadau mtawaona huko mbele wanadai nimeandika kwa chuki binafsi au nilikuwa...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira ya ualimu wa sekondari shule ya private au kituo chochote cha elimu

    Najua kuna watu wananishangaa, na huenda wapo watakaonishauri nisubiri matokeo ya ajira zilizotoka juzi. Lakini mimi hizo nimepishana nazo. Baada ya kumaliza chuo nilirudi nyumbani (kijijini) kabla ya vyeti kitoka. Na nilipokuwa huko nilipishana na deadline ya kutuma hizi ajira za juzi...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kujifungua Kituo cha Afya ni salama zaidi

    Siku za kujifungua zinapokaribia ni muhimu maandalizi ya kumfikisha mjamzito Kituo Cha Afya yafanyike kwasababu kujifungulia Kituo cha Afya ni salama zaidi ya kujifungulia nyumbani. Hakikisha Mama ana vifaa hivi: Sabuni, Boksi dogo la glovu, Khanga/Vitenge, Nepi, kifunga kitovu, kiwembe/mkasi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mafunzo kwa Mafundi Magari waliokuwa ndani ya Kituo cha Mabasi cha Magufuli yatolewa

    JESHI la Polisi kitengo cha Usalama barabarani, limetoa mafunzo kwa mafundi magari waliyokuwa ndani ya Kituo cha Mabasi cha Magufuli, Mbezi Luis, Dar es Salaam kwa lengo la kuwafundisha jinsi ya kutambua vifaa ambavyo vipo kwenye magari hayo. Mafunzo hayo yametolewa leo Mei 29, 2021 na Mkuu wa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Je, ukishikiliwa Kituo cha Polisi unaweza kupata dhamana?

    Inategemea umekamatwa kwa kosa gani, kwa mfano ukikamatwa kwa makosa ya mauaji, Uhaini, makosa ya kutakatisha pesa, kunajisi, wizi wa kutumia silaha kufanya biashara ya madawa ya kulevya au ugaidi miongoni mwa makosa mengine huwezi kupata dhamana. Ikiwa umekamatwa kwa tuhuma za makosa mengine...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Dodoma Mjini, Mavunde akabidhi sare kwa kituo cha madereva taksi wa Uwanja wa Ndege Dodoma

    Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe Mavunde Leo amekabidhi sare kwa kituo cha madereva taksi wa Uwanja wa Ndege Dodoma ikiwa ni sehemu ya kuboresha huduma ya usafirishaji Jijini Dodoma. "Nimekabidhi sare hizo leo kwa madereva taksi 30 zenye thamani ya Tsh 1,500,000 katika eneo la Uwanja wa Ndege kwa...
  17. Mtalebani Mweupe

    JamiiForums Tanzania Uanzishaji wa kituo cha Radio

    Habari Wakuu, Ninaomba msaada kwa wenye uelewa kwenye Masuala ya Ufunguzi wa kituo cha Radio. Nina ndoto ya siku nyingi ya kuweza kumiliki kituo cha Radio ila kwa sasa ninataka nijipange ili itapofika Mwishoni mwa mwaka 2022 kama mungu akinijaalia uhai niwe nishafungua hii Radio Station...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kituo cha runinga chafungiwa kwa kuonesha vibonzo vya ngono Kenya

    Mamlaka ya Mawasiliano nchini Kenya imeifungua kwa muda wa wiki nne runinga ya Mt. Kenya TV kwa kukikuka sheria na kanuni za maadili. Mamlaka hiyo imeitoza runinga hiyo faini ya Dola 5,000 za Marekani kwa kupeperusha kipindi cha vibonzo kilichokuwa na maudhui yasiyo na staha. Mkurugenzi Mkuu wa...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kituo Cha Afya Makambako chadaiwa Kuwatoza Shilingi 4000 Watoto Chini Ya Miaka 5 Ili Kumuona Daktari

    Wananchi mjini Makambako wameiomba serikali kutoa ufafanuzi kuhusiana na mabadiliko ya utoaji wa huduma za afya katika kituo cha afya Makambako baada ya watoto chini ya miaka mitano kutakiwa kulipia fedha ili waweze kupatiwa matibabu. Wakizungumza na mwandishi wetu baadhi ya wanawake mjini...
  20. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Mabasi cha Magufuli kimegeuka soko kwa sababu ya usimamizi mbaya

    Hakika inashangaza na Kusikitisha kabisa. SERIKALI inashindwa kuweka na kusimamia Utaratibu Mzuri wa Uendeshaji wa Kituo cha Mabasi cha Magufuli kwa kumwaachia Wafanyabiashara kutandaza na kupanga bidhaa zao kwenye Corridor na sehemu za kupumzika Abiria. Hivi kusimamia hilo mpaka aje Mzungu...
Back
Top Bottom