kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison

    Nasikia kitu kizito kimeshatua huko Ila imetoka kwa lugha ya malkia mwenye taarifa atuwekee kitu hapa ==== MAHAKAMA ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison Raia wa Ghana na kumfanya mchezaji huyo kuwa halali...
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika: Wanangu watatu (3) wanatoka na mwanamke mmoja hawajuani na mimi tu ndio najua kila kitu

    Habarini. Naomba Niende Direct kwenye Mada husika. Ni kama Story hivi. Mimi Hapa Nina Washikaji 3 Let us tuwa name A, B, C by then tupo zetu chuo 4 year now, sa inshu ipo hivi Mshikaji wangu A anademu wake na hapa ndio ipo story sasa, Demu huyohuyo anatoka na Mwanangu B halaf tena Demu...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia isijisumbue Hayati Magufuli alieleza kila kitu na aliweka wazi matatizo ya nchi hii

    Pamoja na mapungufu ya hayati John Magufuli lakini hakupepesa macho wala kumung'unya maneno pale penye ukweli. Bado Serikali yahangaika kujimwambafwai lakini ukweli wa matatizo yoote yaliyopo nchini kwa sasa uliwekwa wazi na Hayati Magufuli. Alieleza matatizo ya baadhi ya wahujumu uchumi wa...
  4. JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere aliona mbali madhara kuruhusu kabila kubwa kushika madaraka ya Urais

    Kati ya vitu ambavyo Hayati Nyerere alivipinga sana ni pamoja na kabila kubwa kushika madaraka ya urais na hili alikuwa na sababu kubwa sana ambazo tumejidhihirisha katika kipindi cha awamu ya tano. Nadhani wahusika mmejifunza pia na hamtarudia tena makosa mliyoyafanya miaka mitano iliyopita...
  5. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kinafanya makabila mengi Tanzania kutokuwa na utamaduni wa kurudi kwao?

    Nazungumzia kurudi kama kabila ka ilivyo kwa lile kabila ambalo sina hata haja ya kuliweka hapa, Nadhani mnalijua nyomi lao hao wanaorudi ikifika December. Huko wanakofikia ndio kwao, ndio chimbuko lao, ndiko vizazi hadi vizazi vimezaliana mpaka kuja kwa hapa duniani, Kwenu ni sehemu ambayo...
  6. JamiiForums Tanzania Kumbe mfumuko wa bei siyo kitu kibaya

    Siku zote nimekuwa naamini kuwa mfumuko wa bei ni kitu kibaya hadi juzi kati nilipoona kinyume chake kwenye kitabu kimoja. Kabrasha hilo linasema kuwa mfumuko wa bei hadi wa 20 percent unasaidia kukuza uchumi. Huu unasaidia kutengeneza ajira na kuchangamsha shughuli za kiuchumi. Linaendelea...
  7. JamiiForums Tanzania Nilisema wameweka toroli mbele ya farasi kitu ambacho wamechukia, lilikuwa legal and not ego

    Wakili wa Serikali Abdallah Chavula: Ikupendeze mheshimiwa jaji, tumesikikiza mapingamizi kutoka kwa wenzetu wa utetezi kuhusu upokelewaji wa kielelezo hiki. Kiujumla sisi hatukubaliani nao, hayana muunganiko na kilichopo na kwamba tulichokifanya, kwa maoni yao hatujui tunafanya nini na kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna kitu naona kitatokea hatutoamini

    Nakumbuka kipindi hko nasoma history wakati wa vita ya kwanza na pili ya dunia inapiganwa baina ya waingreza,ufaransa na Ujerumani, Marekani ilikuwa nchi maskini kiuchumi dhidi ya nchi hizo, ilichokua ikikifanya ni kuzifadhili nchi hizo silaha ili ziendelee kuzitwanga huku yenyewe (Marekani)...
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mamlaka: Kuwe na sehemu rasmi mtu akiokota kitu cha thamani apeleke

    Sijui kama utaratibu huu upo au haupo, natamani kungekua na sehemu rasmi au kama ni kituo cha polisi au kwingineko ikitokea mtu akiokota kitu ambacho hamjui mwenyewe aende kukupeleka au kukabidhi hapo. Apewe stakabadhi maalumu kuonesha kuwa kakabidhi. Hii itasaidia watu waliopoteza vitu vyao...
  10. JamiiForums Tanzania Ukiombwa kitu chochote kinachoanza na Herufi ya Kwanza ya ID yako utatoa nini?

    Ngoja tuone😅😅😅 Mi natoa Bia😎😎😎 Tulewe kwa kwenda mbele
  11. JamiiForums Tanzania Hapa Rujewa, Mbarali umeme kwa sasa ni kitu ghali mno na nadra sana kupatikana

    Ndiyo,ni hapa Rujewa. Leo ni karibu miezi 6 sasa upatikanaji wa umeme hapa Rujewa ni wa kiwango Duni ambacho hakielezeki! Mfano, kwa wiki moja upatikanaji wa umeme hauzidi masaa 48 na tatizo halieleweki ni nini. Mbaya zaidi, si Tanesco ama kiongozi yeyote hawasemi ama kutangaza kama upo mgawo...
  12. JamiiForums Tanzania Maoni ya Wakili: Kumfunga mtu kwa kitu ambacho hakifanyi ni gumu sana, labda kwa amri

    Ndugu wanajukwaa nami kama wakili msomi ninaomba ku-share nanyi kwa uzoefu wangu wa kesi mbali mbali nilizowahi kuzisimamia huko Tz na mifano ya rejea katika kufundisha kwangu somo sheria huku ugenini. Kiufupi kumfunga mtu kwa tukio ambalo hajalifanya ni ngumu sana hata kama umemkamata na...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada: Hii alama ya duara katika line yangu ya simu inamaanisha kitu gani?

    Kama picha inavyojieleza hapo wakuu unaweza kuona hako kaalama ka duara katika hiyo line ya simu.Wajuzi wa masuala ya tech nijuzeni tafadhali hako ka alama kanamaanisha nini? Kuna saa kanatokea halafu baada ya muda kanapotea.
  14. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ukimaliza kufanya unajilaumu sana?

    Zamani nilikuwa na tabia sugu ya kupiga punyeto, haikupita siku bila kustua, hii ilinifanya nimtajirishe mangi flani ana duka kila baada ya siku 10 ilinibidi ninunue mafuta ya mgando ya elf 2 ya vaseline. Yani kila nikiona panawasha tu (nyege) nitaanza kujitetea sisi binadamu ni dhaifu sana...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyonyanyuka tena baada ya kuanguka kimaisha

    Wakuu habari zenu mimi sio mwandishi mzuri sana ila nitajitaidi kidogo kuandika kwa ufupi ili niweze ku share nanyi jambo lililonikumba mwaka jana 2020. Katika haya maisha kuna mambo tunapitia yanatuachia makovu,na hayatuachi salama baadhi yetu,mwaka jana 2020-2021 mwanzoni nilipitia anguko...
  16. JamiiForums Tanzania Je umeshasikia kitu inaitwa COBWEB, rada za wachawi kwa asiye na hatia

    Je, katika maisha yako uliwahi kuona katika pitapita zako unakutana na kitu kama utando wa buibui usoni au kichwani!
  17. JamiiForums Tanzania Hiki kitu kamwe hakiwezi kutokea ndani ya JF, yaani kamwe hakitakaa kitokee!

    Uzi kuwa na 'replies' nyingi zaidi ya 'views'
  18. JamiiForums Tanzania Nataka kuagiza kitu kwa kutumia forwarding company

    Kuna bidhaa nataka kununua aliexp ila naona fedex ndo wapo na wana bei Mkasi. Nawezaje kuwatumia kama hawa silent ocean au kampuni kama hizo?
  19. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kilikupelekea mpaka ukajiunga na mtandao wa jamiiforum

    Nakumbuka mwaka 2016 kipindi icho nikiwa kidato cha 3 nilipata demu flani hivi na kusema ukweli nilitokea kumpenda sana huyu mwanamke, kiasi kwamba nikawa namchunguza maana nilihisi uwenda akawa anatoka na wadau wengine, hali hii ilinipelekea nikawa nagoogle sana kuhusu dalili za mwanamke...
  20. JamiiForums Tanzania Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

    Wanajukwaa poleni kwa kumbukumbu ya kifo cha muasisi wa Taifa letu,Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Bila shaka baada ya Hukumu ya Lengai Ole Sabaya kuhairishwa tarehe 1/10/2021 ilipangwa kwamba itatolewa leo. Hivyo tuelekeze masikio yetu katika viunga vya mahakama. ======= Aliyekuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…