kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kahawa ni kitu cha gharama sana

    Kahawa maarufu tunayotumia hapa Tz ni Africafe. Kale kakopo, 50mg kanauzwa Tsh 4000. Maana yake kilo moja ya kahawa ile ni Tsh 80,000. Na kahawa hii ni ile ya quality ya chini tu. Ndiyo maana inasemwa kuwa ukiacha mafuta, bidhaa inayofuata kuwa kuwa na jumla ya pesa nyingi duniani ni kahawa...
  2. JamiiForums Tanzania Rwanda: Mwanamke akabiliwa na kifungo cha Miaka 2 kwa kuvaa nguo za Utupu

    Mwanamke mwenye umri wa miaka 24 ambaye alikamatwa kwa kuvaa mavazi ya "aibu" anakabiliwa na kifungo cha miaka miwili jela kwa kuvaa “uchafu hadharani” Wendesha mashtaka wameomba azuiwe rumande kwa siku 30 Liliane Mugabekazi alikamatwa Agosti 7 baada ya kuhudhuria tamasha la mwanamuziki maarufu...
  3. JamiiForums Tanzania Hiki kitu no muhimu sana kwa maisha ya binadam

    Kuna mwalimu wangu kipindi nikiwa primary alikuwa anatuonesha ualisia wa maisha ya binadam apa duniani kwa kusema kuwa katika vitu vya mhimu apa duniani inabidi uwe na hekima ktk madaraka ya namn yoyote,kwani madaraka yanapofusha na husipokuwa Makini unaweza husione mbele na ukawa na dharau kwa...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Mnaotunza watoto wa ndugu nje ya ndoa, naomba ushauri

    Habari wanaJF! Nina mtoto wa miaka miwili na nusu ambaye analelewa na mama yake baada ya mkubwa wangu kufariki Ila pesa ya matumizi ninatoa Mimi kwa niaba ya marehemu. Mwanzoni tulienda vizuri lakini shemeji kabadilika ghafla. Leo hii kila pesa ninayompa ya kumtunza huyo mtoto anadai haitoshi...
  5. JamiiForums Tanzania Anasubiria walisahau Ili ajiuzie ndio maana amelificha kichakani

    Wajua kwa vijana wa hawawezi amini ya kuwa wizi katika taasisi za umma hasa ubadhilifu wa Mali za umma ilikuwa ni miongoni mwa maadili ya watumishi wa umma Ili waajiriwe. Yaani kuna kipindi Ili upate ajira serikali I ulitakiwa kusema wazi yakiuwa wewe upo tayari kuwa kibaka ndo unapata ajira...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Nikasome ipi kati ya masters ya education au nitafute bachelor ya kitu kingine

    Habari wanajamii Nimekuwa katika wakati mgumu baada kumaliza masomo yangu level ya bachelor degree tangu mwaka 2015 kwani sijawahi pata ajira yoyote ile Kwa sasa nina miaka 32, nauona uzee huu hapa unasogea ikiwa sina mali, mke wala kitu cha thamani ninachomiliki na mbaya zaidi naishi nyumbani...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Upinzani hapa kwetu jifunzeni kitu: Ukishindwa usitafute sababu ya kususa ambayo haipo

    Wale makamishina wanne wa tume ya uchaguzi ya kenya wametoa sababu kwa nini hawakubaliani na matokeo yaliyotangazwa na mwenyekiti wa tume yao. Raila ametumia hoja ya makamishina hao kama msingi wa kutokuyatambua matokeo yaliyotangazwa. Tuangalie kwa karibu sababu za kususia matokeo hayo: 1...
  8. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kwa Rais Mteule Ruto na Hayati Rais Magufuli, kwa Mungu kila kitu kinawezekana

    Ninajua machache juu ya Rais Mteule Ruto juu ya Imani yake kwa Mungu lakini kwa uchache huo yatosha kusema Ruto NI muumini wa Mungu wa kweli Kama alivyokuwa Hayati Magufuli. Nakumbuka Hayati Magufuli aliwahi kukiri ni Mkapa ndie aliyemshawishi kugombea Urais na Magufuli alipoonesha kutaka...
  9. JamiiForums Tanzania Katika hili nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu hizi Races

    Huwa sipendi kabisa kuzungumzia Dini. Sababu mimi nimeshaitwa majina mengi sana. Ila huwa sijali mzee wangu ni Al Haj, Sheikh ila si Sheikh njaa. Anakazi na miradi yake mingi tu. Mimi huwa wanasema nina asili ya uasi. Yaani pamoja na kuzaliwa katika Dini bado nina ishi kama kafri/kafir. Sababu...
  10. JamiiForums Tanzania Nchi ya ujerumani ilipaswa kutofungamana na upande wowote kwenye kitu chochote

    Kihistoria naliona taifa la ujerumani kama victim wa mahusiano na mashirikiano kwenye Jumuiya za kimataifa. Vita zote matokeo yake yameidhabu ujerumani. Naona vita ya Ukraine vile vile amebebwa tu. Vita ya pili na kunyang'anywa kwake makoloni kama sehemu ya adhabu sioni koloni la mjerumani...
  11. JamiiForums Tanzania Nawaza; Sijawahi kubahatika kusikia au kuona msiba wa Albino

    Wasssalaaaaaaam wazeeee!!!! Katika maisha yangu yote mpaka nimefika umri huu sijawahi kubahatika kusikia au kuona msiba ambao aliefariki ni albino. Kuna maalbino kadhaa mitaani nimeishi nao, nimefanya nao kazi , mpaka wengine nimesoma nao kabisa lakini unakuta gafla tu bin vuu mchizi...
  12. JamiiForums Tanzania Onyo la Marekani kwa Waafrika: msinunue kitu chochote kutoka Urusi isipokuwa nafaka na mbolea

    Marekani kashikwa pabaya. Onyo la Marekani kwa Afrika: msinunue kitu chochote kutoka Urusi isipokuwa nafaka na mbolea Getty ImagesCopyright: Getty Images Afrika imekuwa na msimamo wa kutoegamia upande wowote katika vita vya Ukraine na UrusiImage caption: Afrika imekuwa na msimamo wa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wazazi wanafaidika kitu Gani wanapovunja ndoa za Watoto wao?

    Katika pitapita zangu kwa maeneo tofauti niliwahi kukutana na hii shutuma kuwa Wazazi wamekua chanzo kikubwa Cha ndoa za Watoto wao kuvunjika. 1. Je sababu zinaweza kuwa Nini? 2. Je kama mnapendana kwa dhati 3.Wazazi wanaweza kuwa na nafasi? 4. Nini nafasi ya maandiko matakatifu kuhusu Ndoa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Hili la madarasa ya giza, tufanye kitu kunusuru watoto wetu

    Abeid Abubakar Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu katika habari iliyochapishwa na gazeti la Mwananchi la Julai 23, 2022 ukurasa wa 23, alinukuliwa akisema kuwa Watanzania wapo hatarini kupata upofu kwa kukosa huduma za macho, huku akiweka bayana kuwa ni watu milioni moja pekee wanaopata huduma hiyo...
  15. JamiiForums Tanzania Situation kama hii haijawahi kukukuta kweli wewe?

    Kuna muda unakuwa una waza kwamba hivi tangia nimezaliwa nimeshakutana na wanawake wangipi mpaka umri ulio nao sasa hivi.. na ukisema uanze kuhesabu na vidole walahi unajikuta unarudia round kibao za vidole unahesabu tuu wanawake.... sasa jiulize kwa mwanamke akiisema ameshakutana na wanawake...
  16. JamiiForums Tanzania Huu Utawala, Hakuna kitu utafanikisha

    Hakuna hata project moja watakayoimaliza achilia mbali hata walizozikuta ambazo zilikwisha anza. Ukiondoa blah blah hakuna kitu ambacho kitafanyika, mpaka sasa hivi kila kitu ni failure, wameahidi kuwaongeza Wafanyakazi Mishahara 23% kwa mbwembwe nyingi na kejeli sijui walifikili Julai...
  17. JamiiForums Tanzania Napenda kujua hiyo kitu hapo inatengenezwa kwa kutumia software ipi?

    created by software ipi na hii inaitwaje!
  18. JamiiForums Tanzania China sio super power ni Mandonga wa kimataifa. Bibi katua na hakuna kitu wanafanya. Hizi ni salaam kwa Putin na wengine fyokofyoko

    Putin pokea salaam kupitia kwa Bibi. Wale wachina ni wa mchongo usijenge uswaiba nao watakuacha kichinachina. USA ni mkubwa wao. China ni mbwa koko wenye kelele. Jitadhmini sana Mr. Putin nakuonea sana huruma. Msisahau China kapigwa nyeti uwanja wake wa nyumbani wala sio mbali na home kwake...
  19. JamiiForums Tanzania Bongo kila kitu kinawezekana, Mandonga kawa maarufu kuliko hata Shabani Kaoneka ambaye ndiye bingwa

    Bongo kila kitu kinawezekana. Mandonga kawa maarufu kuliko hata Shabani kuoneka ambaye ndiye bingwa wa pambano.
  20. JamiiForums Tanzania Bondia Mandoka achapika, Kidunda ashinda, Mapambano ya ndondi Uwanja wa Majimaji - Songea, Julai 30, 2022

    Tayari mapambano yameshaanza ulingoni ndani ya Uwanja wa Majimaji Mjini Songea, leo Jumamosi Julai 30, 2022: Ndunguru ashinda Bondia Usungu Ndunguru amefanikiwa kupata ushindi dhidi ya Bernard Chitepete katika pambano la awali. Wamepigana uzito wa Super Light, raundi 6. Mtu kachapika TKO...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…