kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Napenda kujua hiyo kitu hapo inatengenezwa kwa kutumia software ipi?

    created by software ipi na hii inaitwaje!
  2. system hacker

    JamiiForums Tanzania China sio super power ni Mandonga wa kimataifa. Bibi katua na hakuna kitu wanafanya. Hizi ni salaam kwa Putin na wengine fyokofyoko

    Putin pokea salaam kupitia kwa Bibi. Wale wachina ni wa mchongo usijenge uswaiba nao watakuacha kichinachina. USA ni mkubwa wao. China ni mbwa koko wenye kelele. Jitadhmini sana Mr. Putin nakuonea sana huruma. Msisahau China kapigwa nyeti uwanja wake wa nyumbani wala sio mbali na home kwake...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Bongo kila kitu kinawezekana, Mandonga kawa maarufu kuliko hata Shabani Kaoneka ambaye ndiye bingwa

    Bongo kila kitu kinawezekana. Mandonga kawa maarufu kuliko hata Shabani kuoneka ambaye ndiye bingwa wa pambano.
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Bondia Mandoka achapika, Kidunda ashinda, Mapambano ya ndondi Uwanja wa Majimaji - Songea, Julai 30, 2022

    Tayari mapambano yameshaanza ulingoni ndani ya Uwanja wa Majimaji Mjini Songea, leo Jumamosi Julai 30, 2022: Ndunguru ashinda Bondia Usungu Ndunguru amefanikiwa kupata ushindi dhidi ya Bernard Chitepete katika pambano la awali. Wamepigana uzito wa Super Light, raundi 6. Mtu kachapika TKO...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tusioe wanawake vilaza; Hakuna kitu kinauma kwa mzazi kama mtoto wako kuwa wa mwisho darasani

    Pata picha umesafiri umeacha familia yako Junior anaumwa, umefika ulipokwenda unampigia simu mkeo kujua vipiimo vinasemaje Mimi: Habari mke wangu doctor kasemaje Yeye; Kasema mtoto ana YUTIYAI na AMWIBA Mimi; nisomee dose yake Yeye; mwayego hapa maandishi siyaoni vizuri kuna herufi kama sio nne...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kitu gani ulikimiss au unakimiss baada ya Kuondoka Dar es Salaam?

    Habari JF, Dar es salaam ni Jiji lenye mambo mengi sana kuliko mikoa mingi na Majiji mengi Duniani Binafsi nkiondoka Dar huwa namiss vingi sana ingawa vingine vibaya kama warembo wa usiku Buguruni, vibaka, foleni barabarani etc Je, wewe unamiss kipi?
  7. fesyto4

    JamiiForums Tanzania Kwani Walimu wamewakosea kitu gani Watanzania?

    Ndugu wana jukwaa hili habari za Jumapili! Ndugu zangu nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa hoja mbalimbali ktk jukwaa letu hili lkn kwann Walimu wamekuwa wakitukanwa kwa kila aina ya maneno kama vile wao pekee yao ndiyo watumishi pekee ktk hii Nchi? Kwa mfano kila anayeandika habari ya maisha...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ni kitu Gani kinasababisha magari kuwa na milio tofauti?

    Mfano, mlio wa Nissan Safari ni tofauti na WA Toyota Land Cruiser, Mlio wa Toyota Land Cruiser ni tofauti na WA Toyota Hilux na Mlio wa Hilux ni tofauti na wa VW double cabin. Je ni kitu Gani kinachopelekea tofauti hizi?
  9. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Zamu yangu leo hii kitu ilinishindaga

    Jamani nilifanikiwa enzi za miaka 22 kupata mwanaume nauwezo wake wa kumiliki biashara za kutosha. Huyu bwana aliitwa Salimu kijana mzuri wa sura na mwili pia mkarimu na anaheshima kwa kila mtu. Utampenda kwa kujali dini yake na kila mara anasaidia masikini. Anajua kutunza sana sana . Hapendi...
  10. KijanaHuru

    JamiiForums Tanzania MAARIFA MBADALA: Tambua kitu sahihi kwa njia sahihi cha kufanya maishani

    Habari ya Usiku wana JF, Natumaini mko poa na wmaendelea vyema kabisa katika majukumu yenu na ratiba zenu za kila siku. Kuna nyuzi nyingi sana zipo humu majukwaani zinazoelezea njia mbalimbali yakupamana na tatizo la ajira yakitolewa mawazo na miongozo mbalimbali ambayo huenda si kwa kila mtu...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Jisifu Kwa kitu ambacho unacho, vinginevyo tunakuona hamnazo!

    JISIFU KWA KITU AMBACHO UNACHO, VINGINEVYO TUNAKUONA HAMNAZO! Anaandika, Robert Heriel. Angalizo; Kama ni mtu wa makasiriko usisome andiko hili. Oooh! Wahaya Sisi tumesoma Sana! Wewe umesoma? Mtu huna elimu, madarasa hayatoshi alafu kutwa kupiga kelele. Unajivunia elimu ya watu wengine alafu...
  12. The Clinical Pharmacist

    JamiiForums Tanzania Kukosa pesa kunaweza kitu watu wengi wenye tabia mbovu wanajificha humo (camouflage) na kuonekana ni wastarabu ilhali sio

    Salaam wadau.! Natumaini kabisa mko njema. Kwenye maisha yetu kila siku tumekua tukipitia vipindi tofauti tofauti ambavyo vimejaa furaha, machungu na Majonzi wakati fulani. Binadamu anaweza kuwa ni kiumbe pekee mwenye hisia hasa hasa kwenye masuala ya kiuchumi na kijamii, ambaye kwenye...
  13. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Wahaya hatushindwi na kitu

    Tuna wasomi kite duniani hata UN wanatutambua.
  14. U

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Utafiti mwanaume unatakiwa uwe na angalao na kitu kimojawapo kati ya Fedha, Utanashati na Urefu

    Wadau hamjamboni nyote Hi ni kwa mujibu wa Utafiti na maoni ya wataalami wa masuala ya Kijamii Kwamba kuna vitu vifatu muhimu kwa Mwanamume yeyote duniani ili kuongeza thamani yake na mvuto Fedha - za kumudu mahitaji yote ya msingi na ziada Utanashati - Uhandsome Urefu kuanzia futi 6 kwenda...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Hiki kilichowekwa ktk barabara za miji midogo ndani ya Wilaya ya Mbulu ni Lami au kitu gani?

    Wilaya ya Mbulu ina miji midogo miwili Haydom na Dongobesh ambayo sehemu ya miji hiyo pamoja na mji wqa Mbulu amabayo ndiyo makao makuu ya wilaya barabara zake zimewekwa kitu kinachofanana na lami. Naomba kujua kuna aina ngapi za lami, maana lami iliyowekwa ktk miji hii haifananni na lami...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Hizi zilizowekwa katika barabara za miji ndani ya Wilaya ya Mbulu ni Lami au Kitu gani?

    Wilaya ya Mbulu ina miji midogo miwili Haydom na Dongobesh ambayo sehemu ya miji hiyo pamoja na mji wqa Mbulu amabayo ndiyo makao makuu ya wilaya barabara zake zimewekwa kitu kinachofanana na lami. Naomba kujua kuna aina ngapi za lami, maana lami iliyowekwa ktk miji hii haifananni na lami...
  17. ragin

    JamiiForums Tanzania Mafundi umeme mnisaidie kuhusu hiki kitu

    Hiko kifaa ni saparet meter maswali yangu ni haya,, 1/ Nikinunua, kimoja kinatumika, kwa, mpangaji mmoja tu? 2/ Kama ni kwa, mpangaji mmoja tu je ile buku ya kila mwezi nikitaka kununua, umeme nikiweka itakatwa? 3/ Vipi kuhusu meter kuu kama wenzangu hawajaingiza umeme na tuko giza mimi wangu...
  18. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kinakufanya upate Maudhi / Ukasirike au Ukereke

    Habar Wana Jf. Wakulungwa kuna kitu Nataka kushare na nyinyi ambacho huwa hatuwezi kukiepuka maadam tunaishi na wanadamu wenzetu,nacho si kingine bali kukasirishwa,kukerwa na kupata Mauzi. Kama hatujakerwa makazini basi tutakerwa majumbani,kama sio nyumbani basi sokoni na sehemu yoyote ile...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Sterling: Chelsea wameshapigwa na kitu kizito, chenye ncha kali

    Sterling wamepigwa changa, Jamaa hamna kitu mule. Yani unachukua mchezaji wa Bench kwenye timu unayotaka kushindana nayo halafu utegemee kushindana nayo.
  20. ward41

    JamiiForums Tanzania Ghadaffi Alitawala miaka 41 (1967-2011), alikuwa na kitu gani cha ziada?

    Miaka 10 tu inatosha kupima uwezo wako wa uongozi. Ghadaffi ALITAWALA Miaka 41 ALIKUWA na KITU GANI CHA ZIADA? Kuna watu wengi wanalalamika kupinduliwa Kwa ghadaffi Kwa madai ETI alikuwa na maono ya kuunganisha Africa, Kweli? Mambo mengi kuhusu Ghadaffi yalikuwa propaganda. Miaka 41 Kwenye...
Back
Top Bottom