kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuwa Mkweli ni Kitu gani hakika 'Unakimisi' mno kutoka kwa Mpenzi wako mliyeachana na huyo Uliyenae sasa hana kabisa?

    Nipo tayari sasa Kusoma Maoni yenu.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mnatuchosha wanasiasa. Mtulipishe tu huo umeme wenu laki 8, Kila kitu tumejenga shule, afya mara barabara. Hizo V8 zenu mbona hamzitaji?

    Viongozi wa serikali Kila gharama serikali inayoingia kuhudumia jamii mnalalamika wakati Kodi mnazichukua kwetu. Kwani mnataka pesa ya serikali mfanyie nini? Mbona kama V8 zenu, maposho na mishahara mikubwa mnayolipana hatulalamiki? Juzi Waziri Afya eti NHIF inapata hasara Hadi kutamani...
  3. saidoo25

    JamiiForums Tanzania January Makamba: Nikifeli mimi imefeli nchi, kama una matatizo na Samia kuwa Rais na mimi kuwa Waziri tafuta jambo lingine

    Waziri wa Nishati Januari Makamba amesema "Nikifeli mimi imefeli nchi akifeli rais imefeli nchi" kama una matatizo Mh Samia kuwa Rais na mimi kuwa Waziri tutafute jambo lingine sio mambo ya nchi
  4. ANAUPIGA MWINGI

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania ya Viwanda ni hadaa kubwa sana na hakuna kitu kama hicho

    Kumekuwa na hamasa nyingi sana tangu awamu zilizo pita kuhusu Tanzania ya Viwanda, na kumekuwa na mikakati mingi sana ya Tanzania ya viwanda, awamu ya 5 ilifikia wakati tukawa tunapewa na idadi ya viwanda kabisa na tukaambiwa kwamba ukiwa na vyerehani 4 basi ni kiwanda na ukiwa na mashine ya...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ukatili dhidi ya wanawake, Mwanamke auwawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali huko Mkoani mwanza

    Mtu huyo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 hadi 35 aliokotwa hapo, huku pembeni yake kukiwa na chupa yenye pombe. Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia leo na kuthibitishwa na wenyeviti wa mitaa hiyo miwili huku chanzo cha mauaji hayo kikiwa bado hakijajulikana na upelelezi wa kubaini...
  6. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Kodi ,ushuru,tozo ni kitu kile kile

    Kodi ndio Mfumo upo duniani kote Lakini ushuru na tozo ni kwa mpangilio na makubaliano kati mwananchi na serikali ila kama hakuna makubaliano ni sawa na unyang'anyi hakuna tofauti na kibaka,kodi ndio inatambulika duniani ila siyo tozo na ushuru , ukiwa na wabunge wenye emotion wanaamua vitu...
  7. Rupia Marko D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kutoka si kitu hadi kuwa shujaa wa kijiji

    Jina lake anaitwa Jonathan, mtu mashuhuru ambaye kila jina lake likitajwa vichwani mwa kijiji cha Umoja kilichopo katika nchi ya Kusadikika hubaki na fikra zilizotukuka juu ya mtu huyu. Mambo makubwa aliyo yafanya katika kijiji chake ili hali tu akiwa bado ni Kijana mdogo tu katika...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuelewe Idadi kubwa ya watu hawazalishi tusilaumu kila kitu

    Nilikuwa nimeangalia data za Tanzania na kugundua tozo ni lazima, miradi ni ya lazima na umeme ni wa lazima. Tanzania tuna 70% ya vijana chini ya miaka 24, elimu ni bure kwa wanao chaguliwa, na miradi iliyoko. Sasa hakuna elimu ya bure kwa ukweli ndiyo maana kuna tozo. Elimu ya juu hii mikopo...
  9. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Mzungu wa Simba tumepigwa na kitu kizito kichwani

    Binafsi sijaona kazi yake sijui Ni macho yangu? Nyie mnaonaje?
  10. technically

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kinanikwaza Kama matangazo kwenye kwenye post

    Vipi wakuu tunawezaje kudhibiti matangazo kwenye post za watu kwenye mitandao ya kijamii kiukweli matangazo yanakwaza Sana mtu una stress zako umechoka unafunguka post unakutana na mtu sijui utoto wa wapi anatangaza tangazo la kujiuza. Hii sio sawa kwa msitakabali wa kizazi chetu. Naumia Sana...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Ni vitu gani serikali ifanye ili iweze kuboresha sekta ya elimu na ajira?

    1. Kubadilisha mfumo mzima wa elimu, kutoka elimu ya mitihani hadi uelewa? 2. Je, ni kutengeneza sera ambazo zitawalinda na kuwasaidia wafanya biashara wadogo? 3. Au kutoa mafunzo zaidi kuhusu biashara na ujasiriamali?
  12. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kahawa ni kitu cha gharama sana

    Kahawa maarufu tunayotumia hapa Tz ni Africafe. Kale kakopo, 50mg kanauzwa Tsh 4000. Maana yake kilo moja ya kahawa ile ni Tsh 80,000. Na kahawa hii ni ile ya quality ya chini tu. Ndiyo maana inasemwa kuwa ukiacha mafuta, bidhaa inayofuata kuwa kuwa na jumla ya pesa nyingi duniani ni kahawa...
  13. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Rwanda: Mwanamke akabiliwa na kifungo cha Miaka 2 kwa kuvaa nguo za Utupu

    Mwanamke mwenye umri wa miaka 24 ambaye alikamatwa kwa kuvaa mavazi ya "aibu" anakabiliwa na kifungo cha miaka miwili jela kwa kuvaa “uchafu hadharani” Wendesha mashtaka wameomba azuiwe rumande kwa siku 30 Liliane Mugabekazi alikamatwa Agosti 7 baada ya kuhudhuria tamasha la mwanamuziki maarufu...
  14. Wilson Gamba

    JamiiForums Tanzania Hiki kitu no muhimu sana kwa maisha ya binadam

    Kuna mwalimu wangu kipindi nikiwa primary alikuwa anatuonesha ualisia wa maisha ya binadam apa duniani kwa kusema kuwa katika vitu vya mhimu apa duniani inabidi uwe na hekima ktk madaraka ya namn yoyote,kwani madaraka yanapofusha na husipokuwa Makini unaweza husione mbele na ukawa na dharau kwa...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Mnaotunza watoto wa ndugu nje ya ndoa, naomba ushauri

    Habari wanaJF! Nina mtoto wa miaka miwili na nusu ambaye analelewa na mama yake baada ya mkubwa wangu kufariki Ila pesa ya matumizi ninatoa Mimi kwa niaba ya marehemu. Mwanzoni tulienda vizuri lakini shemeji kabadilika ghafla. Leo hii kila pesa ninayompa ya kumtunza huyo mtoto anadai haitoshi...
  16. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Anasubiria walisahau Ili ajiuzie ndio maana amelificha kichakani

    Wajua kwa vijana wa hawawezi amini ya kuwa wizi katika taasisi za umma hasa ubadhilifu wa Mali za umma ilikuwa ni miongoni mwa maadili ya watumishi wa umma Ili waajiriwe. Yaani kuna kipindi Ili upate ajira serikali I ulitakiwa kusema wazi yakiuwa wewe upo tayari kuwa kibaka ndo unapata ajira...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Nikasome ipi kati ya masters ya education au nitafute bachelor ya kitu kingine

    Habari wanajamii Nimekuwa katika wakati mgumu baada kumaliza masomo yangu level ya bachelor degree tangu mwaka 2015 kwani sijawahi pata ajira yoyote ile Kwa sasa nina miaka 32, nauona uzee huu hapa unasogea ikiwa sina mali, mke wala kitu cha thamani ninachomiliki na mbaya zaidi naishi nyumbani...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Upinzani hapa kwetu jifunzeni kitu: Ukishindwa usitafute sababu ya kususa ambayo haipo

    Wale makamishina wanne wa tume ya uchaguzi ya kenya wametoa sababu kwa nini hawakubaliani na matokeo yaliyotangazwa na mwenyekiti wa tume yao. Raila ametumia hoja ya makamishina hao kama msingi wa kutokuyatambua matokeo yaliyotangazwa. Tuangalie kwa karibu sababu za kususia matokeo hayo: 1...
  19. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kwa Rais Mteule Ruto na Hayati Rais Magufuli, kwa Mungu kila kitu kinawezekana

    Ninajua machache juu ya Rais Mteule Ruto juu ya Imani yake kwa Mungu lakini kwa uchache huo yatosha kusema Ruto NI muumini wa Mungu wa kweli Kama alivyokuwa Hayati Magufuli. Nakumbuka Hayati Magufuli aliwahi kukiri ni Mkapa ndie aliyemshawishi kugombea Urais na Magufuli alipoonesha kutaka...
  20. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Katika hili nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu hizi Races

    Huwa sipendi kabisa kuzungumzia Dini. Sababu mimi nimeshaitwa majina mengi sana. Ila huwa sijali mzee wangu ni Al Haj, Sheikh ila si Sheikh njaa. Anakazi na miradi yake mingi tu. Mimi huwa wanasema nina asili ya uasi. Yaani pamoja na kuzaliwa katika Dini bado nina ishi kama kafri/kafir. Sababu...
Back
Top Bottom