kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania RC Makalla: Serikali haitaweza kufanya kila kitu, mengine fanyeni wenyewe

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Amos Makalla amewaasa wakazi wa wilaya ya Ubungo kuacha kuwaza kila kitu kitafanywa na Serikali badala yake katika baadhi ya mambo wanatakiwa kufanya wenyewe kwa kushirikiana na wadau kutoka sekta binafsi. Hayo ameyasema leo Jumanne Novemba 15, 2022 baada ya...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Serikali itunge Sheria ili mahojiano kati ya trafiki na dereva yafanyike huku abiria wakisikia Kila kitu. Kama inataka kufuta rushwa Kwa trafiki

    Ndugu wanabodi huwa nakerwa sana na hii tabia ya askari wa usalama barabarani kuchukuana na kondakta au dereva wa gari na kuenda kumalizana nyuma ya gari. Utamaduni huu unafuga rushwa na kupelekea zoezi la ukaguzi wa magari kufanywa kisanii tu. Naiomba serikali ipitishe Sheria mahojiano kati ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Arusha huwa inahujumiwa makusudi?

    Wadau naombeni mnisaidie majibu Ni Kwanini Kila kitu ARUSHA CITY huwa inahujumiwa kwa maksudi kabisa ikiwemo,miradi ya maendeleo kama Stendi ya mabasi, Uwanja wa kisasa wa ndege, na mengine mengi na ukiangalia ARUSHA CITY Ndio city namba 2 kwa tax revenue collector baada ya Dar city na Ni sehemu...
  4. JamiiForums Tanzania Whatsapp community ni kitu gani?

    Eti wakuu sana. Hii kitu whatsapp community ni kitu gani. Nimeona tu ni supergroup ambalo unaweza kuadd magroup hadi 50. Na whatsapp wanataka kuweka limit ya watu 1024 kwa group. Maana yake hili super group linaweza chukua watu 50,000+ ni nini hasa hii kitu.
  5. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC msituzingue tafadhali tunamtaka Kocha mpya upesi Mgunda hamna Kitu na ni Samjo Samjo tupu

    Kocha gani Wewe muda Wote tu ni Kukenua Kenua Mimeno huku Timu yako ikiwa inabadilika mara kwa mara Kimfumo? Wenye Simba SC yetu na Mafia wa Soka la Bongo (Tanzania) tunajua ni Juhudi gani zilifanyika ili Kocha Mgunda alipotua Simba SC akawa anashinda mfululizo mpaka Mechi za Kimataifa. Hivyo...
  6. JamiiForums Tanzania Umewahai kuwaza kitu hiki?

    Habari wapendwa? Kuna kitu kinaitwa Ziwa la Moto, umewahi kuwaza kitu hiki? Ziwa la Moto ni mahali watakapotupwa watenda dhambi wote kwenye hukumu ya mwisho pamoja na shetani na malaika zake( majini /mapepo) Ufunuo wa Yohana 21:8, Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na...
  7. JamiiForums Tanzania Vitu gani 'vidogo lakini vikubwa sana' unavyovijua lakini watu wengi hawavijui? Share kwa kifupi sana....!

    Kila mtu ana vitu vyake fulani hivi anavyovijua lakini watu wengi hawavijui. Inaweza kuonekana kama vidogo lakini ni vikubwa mno kwa tafakuri ya kina. Au pengine watu wanajua lakini hawaipi kipaumbele stahiki. Hebu share nasi kwa kifupi sana! Naanza mimi: - Serikali halisi ni familia. Hizi...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini wengi wa wanaoenda Marekani kutafuta maisha huwa wanarudi hawana kitu na kama vile kisaikolojia hawako sawa?

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba tujadili hili. Binafsi nimekulia kwenye mkoa wa kitalii ambapo nimeshuhudia vijana wengi wakienda ughaibuni kutafuta maisha.. Arusha na Ulaya zina uhusiano mzuri. Vijana kwenye utalii hupata fursa za kwenda huko. Pia wanamichezo kupitia riadha...
  9. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ulifanyiwa na mtu, kikundi cha watu au taasisi mpaka ukajiuliza hawa watu wananichukuliaje?

    Salaam wana JF, Dunia uwanja wa fujo na kila mtu anafujo zake, lakini kuna baadhi ya watu wanazidisha fujo na kuanza kuona wao ndiyo wanapaswa kuishi peke yao duniani. Hawa huwa wanajiribu kufikiri kuwa binadamu wengine walikuja duniani kwa bahati mbaya. Mtu au kundi kama hili hudiliki...
  10. P

    JamiiForums Tanzania 2015/2021 Machi, kila kitu ilikuwa tumwombe Mungu, sasa ni zamu ya machifu kuomba kwa mungu wao ili mvua zije

    Jina Mungu lilitajwa kila alipokuwa asiyependwa na wafoji vyeti, JPM, Kwenye shuguhuli zote za Kiserikali, jina Mungu lilisimama, kwenye korona, jina Mungu lilisimama, na Kwa tarifa tu ni kuwa, Tulianza kuamini zaidi kuhusu Mungu na uweza wake Mvua hazikukata, shibe ilikuwepo, hatukushuhudia...
  11. JamiiForums Tanzania Tatizo alianzisha bifu na Kila mtu ndio maana anapigwa au kupondwa kila Kona

    Yule mwamba wenu alianzisha bifu na kila mtu na kuwaita majina yasiyomithirika. Aliwananga Sana wastafu wakati wao ndio walikuwa wazuri kumzidi yeye ila akajiona yeye ndio anawazidi kwa akili zake fupi. Alifika hatua ya kuredi mpaka sauti zao kwenye mitandao mbalimbali kinyume kabisa na sheria...
  12. JamiiForums Tanzania Heshima siyo kitu cha bure, usijidanganye

    Nadhani umewahi kukutana na watu wakilalamika, "Mke wangu haniheshimu. Wadogo zangu wananidharau." Wengi hawa wanaamini kuwa maneno ya wahenga kuwa heshima ni kitu cha bure ni ya kweli. Ukweli ni tofauti kabisa. Binadamu siku zote wanamheshimu mtu mwenye uwezo, yaani mtu capable. Social animals...
  13. JamiiForums Tanzania Ni kisa gani ulijifunza/ kuaminishwa shuleni/chuoni na ukaja kufahamu badae kwamba sio kweli?

    Katika michakato yetu ya kitaaluma kuna vitu huwa tunafundishwa au kuaminishwa ila badae tukitoka katika viunga baada ya muda mwingi kupita tunakuja kugundua sio kweli au haviwezekani au ilikuwa ni "fiksi" tuu. Kwamba tunatumia Ajebra kila siku katika maisha yetu ilikuwa fiksi. Kwamba...
  14. S

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI mulikeni zaidi kutambua mafisadi miradi ya serikali

    MIRADI YA SERIKALI KATIKA TAASISI ZA SERIKALI Hapa Bado Kuna maumivu makubwa na usumbufu kwa viongozi wasimamizi wa miradi,wazabuni na wakandarasi Kama siyo TAMISEMI kunyanyua zaidi camera ili kuwaona adui zetu (mafisadi) ambao wamatawanyika zaidi, basi, TAKUKURU,TAMISEMI NA USALAMA ongezeni...
  15. JamiiForums Tanzania Ukimuangaza Manula kwa makini, kuna kitu anaiumiza Simba

    Huyu kipa bila ya shaka anaonekana ni bora sana Tanzania kwa sasa. Hata hivyo ameshindwa kuimarika na inaonekana ameshafika kileleni. Katika mazingira ya mechi ngumu huwa anavuja sana kwenye 'long range efforts'. Si mara zote kuwa tumaifu mpiga hi, bali Aisha ana misposition ama anakuwa hana...
  16. JamiiForums Tanzania Kitu gani kinaendelea Baa za Dar?

    Kama nilivyoanza hapo juu kuuliza kuna kitu gani kinaendelea ndani ya bar za Dar es Salaam. Mmimi sio mtu wa maji ila napenda kujichanganya na wana siku moja moja kutazama EPL na wana huku tukipata maji na kutoa lock si unajua bhana maji ya baba ni mazuri kwa afya ya kiumbe hai yoyote yule...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna nini Tanzania mbona kila kitu sasa ni mgao?

    Kuna kipi kinaendelea ndugu zangu hapa Tanzania kinachopelekea kila kitu kiwe cha mgao? Mfano umeme sasa ni anasa na huwezi kuupata bila kugawiwa. Maji hali kadhalika/kadharika! Kwa nini ghafla tu tumekuwa watu wa mgao?
  18. T

    JamiiForums Tanzania Mashine inayopumulia CHADEMA kwa sasa ni kupinga kila kitu kwa sauti kubwa bila hivyo itapotea

    Inavyoonekana harakati za kudai mageuzi ya kweli kupitia chadema zimeingia kwenye zama ngumu sana kuwahi kutokea katika taifa letu. Kwa kadri ccm inavyobadilibadili ma dj wake na midundo ya muziki inavyogeuzwageuzwa, ni kama kuna namna wananchi wananogewa na mziki wao. Nimefikia kufikiri hivi...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usidanganywe na msemo huu, "Umri umeenda, tafuta mtu wa kuolewa au mtu wakukuzalia"

    Kwanza poleni wakaka na wadada ambao bado single kama mimi. Kuna huu msemo eti umri umeenda tafuta mtu wa kuolewa au unatafuta mtu wakukuzalia. Hapana, hakuna hilo, mnajidanganya. Usidanganywe eti kwasababu umri umeenda uwe chocho ya mtu au mke wa pili wa mtu, hapana. Mungu aliumba ulimwengu...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia, una kitu cha kujifunza kutoka Zambia, jifunze!

    JE, ZAMBIA NI SHULE YA DEMOKRASIA? Miaka ya 1990s kulifanyika uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi nchini Zambia, Rais Kenneth Kaunda, baba wa taifa la Zambia alishindana na mwanasiasa kijana wa upinzani Frederick Chiluba akashindwa uchaguzi ule. Mzee Kaunda(Mungu amrehemu) alipelekewa taarifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…