Watanzania wengi wapo slow karibu kwa kila kitu

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,339
51,884
Nawasalimu Kwa jina la Jamhuri,

Bado nafanya utafiti kujua ni sababu gani inayowafanya watanzania kuwa Slow karibu kwenye mambo yote. Suala la kufanya vitu Kwa wakati Kwa mtanzania ni kipengele.

i) Ukienda kwneye maofisi ya umma watumishi wengi wapo slow, yaani ishu ya dakika tatu inaweza chukua nusu saa. Yaani kazi kujizungusha zungusha, kwa kweli kwangu inaniwia ngumu nikifika ofisi za watu bila kugombana na watumishi. Slow! Very slow! Mpaka keep.

2. Misafara ya viongozi wetu nayo mambo nI yaleyale. Yaani magari yanaweza zuiawa lisaa lizima, ukiuliza ATI unaambiwa sijui kuna nani yupo wapi atapita. Hivi hii ni nini?

3. Kufuatilia vitambulisho mtindo ni uleule, yaani sio kwa hao NIDA wala sio kwa Raia. Wote wapo slow! Mtu anatafuta kitambulisho akiwa na shida nacho, akifika vinapotolewa anasubirishwa mpaka akome, vikitoka anatumiwa meseji njoo uchukue kitambulisho chako, haendi, anasubiri akiwa na shida nacho tena, mpaka unajiuliza hii inasababishwa na nini?

4. Ajiri mtu, kuchelewa ni kitu cha kawaida na excuse zisizo na Mbele wala Nyuma. Haya kuwa mwaminifu kufanya kazi, maboss nao wengi wao ni slow Sana kwenye kulipa mishahara Kwa wakati, hivi ninyi maboss hamuwezi kulipa mishahara watu mpaka mkumbushwe? Alafu ATI mnajitia mna mambo mengi, inakera Sana.

5. Mkopeshe MTU pesa yako, kwenye kukulipa ndio utajua haujui, wako very slow kulipa madeni, hivi tatizo ni nini?

Watu wasiojali muda hasa kwa kuwa slow slow wanatabia hizi;
1. Sio waaminifu
2. Hawajali
3. Wanafiki na waongo
4. Wabinafsi
5. Wanadharau

Tunahitaji viongozi watakaoweza kuibadilisha jamii yetu iwe inayofuata muda Kwa uaminifu. Sio MTU unakalishwaaa kwa jambo ambalo linauwezo wa kushughulikiwa kwa dakika mbili tuu. Sio wasomi, sio wasiosoma, Watanzania wengi tupo na tabia hizo.

Taikon acha nipumzike kwanza, pilau la leo lilikuwa tamu.

Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
 
Nawasalimu Kwa jina la Jamhuri!

Bado nafanya utafiti kujua ni sababu gani inayowafanya watanzania kuwa Slow karibu kwenye mambo yote. Suala la kufanya vitu Kwa wakati Kwa mtanzania ni kipengele.

i) Ukienda kwneye maofisi ya umma watumishi wengi wapo Slow, yaani ishu ya dakika tatu inaweza chukua nusu saa.
Yaani kazi kujizungusha zungusha, Kwa kweli kwangu inaniwia ngumu nikifika ofisi za Watu bila kugombana na watumishi. Slow! Very slow! Mpaka keep

2. Misafara ya viongozi wetu nayo mambo NI yaleyale. Yaani magari yanaweza zuiawa lisaa lizima, ukiuliza ATI unaambiwa sijui kuna Nani yupo wapi atapita. Hivi Hii ni nini?

3. Kufuatilia vitambulisho mtindo ni uleule, yaani sio Kwa hao NIDA wala sio Kwa Raia. Wote wapo Slow! Mtu anatafuta kitambulisho akiwa na shida nacho, akifika vinapotolewa anasubirishwa mpaka akome, vikitoka anatumiwa meseji njoo uchukue kitambulisho chako, Haendi, anasubiri akiwa na shida nacho tena, mpaka unajiuliza hii inasababishwa na nini?

4. Ajiri mtu, kuchelewa ni kitu cha kawaida na excuse zisizo na Mbele wala Nyuma.
Haya kuwa mwaminifu kufanya kazi, Maboss nao wengi wao ni slow Sana kwenye kulipa mishahara Kwa wakati, hivi ninyi Maboss hamuwezi kulipa mishahara Watu mpaka mkumbushwe? Alafu ATI mnajitia mna mambo mengi, inakera Sana.

5. Mkopeshe MTU Pesa yako, kwenye kukulipa ndio utajua haujui, wako very slow kulipa madeni, hivi tatizo ni nini?

Watu wasiojali muda hasa Kwa kuwa Slow!slow! Wanatabia hizi;
1. Sio waaminifu
2. Hawajali
3. Wanafiki na waongo
4. Wabinafsi
5. Wanadharau

Tunahitaji viongozi watakaoweza kuibadilisha jamii yetu iwe inayofuata muda Kwa uaminifu.
Sio MTU unakalishwaaa Kwa Jambo ambalo linauwezo wa kushughulikiwa Kwa dakika mbili tuu.
Sio wasomi sio wasiosoma watanzania wengi tupo na tabia hizo.

Taikon Acha nipumzike Kwanza, Pilau la leo lilikuwa tamu.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Hili ni tatizo sugu kabisa hata pale UDSM wako very slow.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Tuko slow sana, na tunapenda kunyenyekewa na kujipendekeza.

Afu tunaendekeza sana mambo yasiyo na mantiki, mf. Michango ya Harusi, Ushabiki wa mipira, kuweka heshima baa, n.k.. na kwenye mambo ya msingi huwa hatujigusi.

Halafu ni wanafiki kinoma yani.
 
Hapo kwenye kunyenyekewa hapo, yaani MTU kutenda wajibu wake mpaka aombwe na kutetemekewa. Inashangaza, ngoja nifanye uchunguzi kujua ni nini chanzo cha Hali hiyo
 
Wanawakè wako slow sana kufika kileleni, I don't know why? Naendelea na utafiti.
Nawasalimu Kwa jina la Jamhuri,

Bado nafanya utafiti kujua ni sababu gani inayowafanya watanzania kuwa Slow karibu kwenye mambo yote. Suala la kufanya vitu Kwa wakati Kwa mtanzania ni kipengele.

i) Ukienda kwneye maofisi ya umma watumishi wengi wapo slow, yaani ishu ya dakika tatu inaweza chukua nusu saa. Yaani kazi kujizungusha zungusha, kwa kweli kwangu inaniwia ngumu nikifika ofisi za watu bila kugombana na watumishi. Slow! Very slow! Mpaka keep.

2. Misafara ya viongozi wetu nayo mambo nI yaleyale. Yaani magari yanaweza zuiawa lisaa lizima, ukiuliza ATI unaambiwa sijui kuna nani yupo wapi atapita. Hivi hii ni nini?

3. Kufuatilia vitambulisho mtindo ni uleule, yaani sio kwa hao NIDA wala sio kwa Raia. Wote wapo slow! Mtu anatafuta kitambulisho akiwa na shida nacho, akifika vinapotolewa anasubirishwa mpaka akome, vikitoka anatumiwa meseji njoo uchukue kitambulisho chako, haendi, anasubiri akiwa na shida nacho tena, mpaka unajiuliza hii inasababishwa na nini?

4. Ajiri mtu, kuchelewa ni kitu cha kawaida na excuse zisizo na Mbele wala Nyuma. Haya kuwa mwaminifu kufanya kazi, maboss nao wengi wao ni slow Sana kwenye kulipa mishahara Kwa wakati, hivi ninyi maboss hamuwezi kulipa mishahara watu mpaka mkumbushwe? Alafu ATI mnajitia mna mambo mengi, inakera Sana.

5. Mkopeshe MTU pesa yako, kwenye kukulipa ndio utajua haujui, wako very slow kulipa madeni, hivi tatizo ni nini?

Watu wasiojali muda hasa kwa kuwa slow slow wanatabia hizi;
1. Sio waaminifu
2. Hawajali
3. Wanafiki na waongo
4. Wabinafsi
5. Wanadharau

Tunahitaji viongozi watakaoweza kuibadilisha jamii yetu iwe inayofuata muda Kwa uaminifu. Sio MTU unakalishwaaa kwa jambo ambalo linauwezo wa kushughulikiwa kwa dakika mbili tuu. Sio wasomi, sio wasiosoma, Watanzania wengi tupo na tabia hizo.

Taikon acha nipumzike kwanza, pilau la leo lilikuwa tamu.

Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
 
Tuondoe mwenge kwanza, ule unatufanya tuwe magoigoi, na yule twiga tunayesema ni nembo ya taifa

Hivi inaweza kuwa Sababu?

Upande wa mwenge sina uhakika Ila waache kuchangisha Watu kuhusu mambo ya mwenge,
Kuhusu twiga Kwa kweli wambadilishe, Twiga ni Mpole Sana alafu anamaringo mwisho kabisa Twiga ni Prey, wamtafute Mnyama ambaye ni Predator, prey wanazubaaga zubaaga na wapo kwaajili ya kuliwa tuu
 
Nawasalimu Kwa jina la Jamhuri,

Bado nafanya utafiti kujua ni sababu gani inayowafanya watanzania kuwa Slow karibu kwenye mambo yote. Suala la kufanya vitu Kwa wakati Kwa mtanzania ni kipengele.

i) Ukienda kwneye maofisi ya umma watumishi wengi wapo slow, yaani ishu ya dakika tatu inaweza chukua nusu saa. Yaani kazi kujizungusha zungusha, kwa kweli kwangu inaniwia ngumu nikifika ofisi za watu bila kugombana na watumishi. Slow! Very slow! Mpaka keep.

2. Misafara ya viongozi wetu nayo mambo nI yaleyale. Yaani magari yanaweza zuiawa lisaa lizima, ukiuliza ATI unaambiwa sijui kuna nani yupo wapi atapita. Hivi hii ni nini?

3. Kufuatilia vitambulisho mtindo ni uleule, yaani sio kwa hao NIDA wala sio kwa Raia. Wote wapo slow! Mtu anatafuta kitambulisho akiwa na shida nacho, akifika vinapotolewa anasubirishwa mpaka akome, vikitoka anatumiwa meseji njoo uchukue kitambulisho chako, haendi, anasubiri akiwa na shida nacho tena, mpaka unajiuliza hii inasababishwa na nini?

4. Ajiri mtu, kuchelewa ni kitu cha kawaida na excuse zisizo na Mbele wala Nyuma. Haya kuwa mwaminifu kufanya kazi, maboss nao wengi wao ni slow Sana kwenye kulipa mishahara Kwa wakati, hivi ninyi maboss hamuwezi kulipa mishahara watu mpaka mkumbushwe? Alafu ATI mnajitia mna mambo mengi, inakera Sana.

5. Mkopeshe MTU pesa yako, kwenye kukulipa ndio utajua haujui, wako very slow kulipa madeni, hivi tatizo ni nini?

Watu wasiojali muda hasa kwa kuwa slow slow wanatabia hizi;
1. Sio waaminifu
2. Hawajali
3. Wanafiki na waongo
4. Wabinafsi
5. Wanadharau

Tunahitaji viongozi watakaoweza kuibadilisha jamii yetu iwe inayofuata muda Kwa uaminifu. Sio MTU unakalishwaaa kwa jambo ambalo linauwezo wa kushughulikiwa kwa dakika mbili tuu. Sio wasomi, sio wasiosoma, Watanzania wengi tupo na tabia hizo.

Taikon acha nipumzike kwanza, pilau la leo lilikuwa tamu.

Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
Kwenye kuiba hawako slow, roho mbaya ni papo kwa papo, no slowness
 
Back
Top Bottom