Ni kitu gani ulishawahi kukatazwa na mpenzi wako hadi ukajiuliza hivi huyu ananichukuliaje?

Alinikataza nisivae suruali za kitambaa au cardet na viatu vya kupiga kiwi. Nisiwe nanyoa level moja.

Alitamani niwe navaa t-shirt na jeanz na raba, kichwani niwe nanyoa pembeni naachia kidogo juu, au ikiwezekana niwe nazinyongorota virasta. Ndevu niziachie kama za kina Rick Ross, na niwe naenda gym kujaza body. Hivyo vingine nilishindwa ila alinifanya niwe napiga tizi na mpaka sasa nashukuru mazoezi yamekua sehemu ya maisha yangu. Ingawa mm na yule binti hatukuweza kufika mbali.

Nilichogundua, hawa masista duu wanawaadmire sana hawa mabishoo wanaojiweka namna hiyo (ingawa midomoni wanaonyesha kuwaponda). Kibaya zaidi wengi wao future hawana. Ndio maana wanaishia kua single mothers tu.
 
Alinikataza nisivae suruali za kitambaa au cardet na viatu vya kupiga kiwi. Nisiwe nanyoa level moja.

Alitamani niwe navaa t-shirt na jeanz na raba, kichwani niwe nanyoa pembeni naachia kidogo juu, au ikiwezekana niwe nazinyongorota virasta. Ndevu niziachie kama za kina Rick Ross, Na niwe naenda gym kujaza body. Hivyo vingine nilishindwa ila alinifanya niwe napiga tizi na mpaka sasa nashukuru mazoezi yamekua sehemu ya maisha yangu.
I hope bado mko pamoja hamjaachana mkuu
 
Alinikataza nisivae suruali za kitambaa au cardet na viatu vya kupiga kiwi. Nisiwe nanyoa level moja.

Alitamani niwe navaa t-shirt na jeanz na raba, kichwani niwe nanyoa pembeni naachia kidogo juu, au ikiwezekana niwe nazinyongorota virasta. Ndevu niziachie kama za kina Rick Ross, Na niwe naenda gym kujaza body. Hivyo vingine nilishindwa ila alinifanya niwe napiga tizi na mpaka sasa nashukuru mazoezi yamekua sehemu ya maisha yangu. Ingawa mm na yule binti hatukuweza kufika mbali.

Nilichogundua, hawa masista duu wanawaadmire sana hawa mabishoo wanaojiweka namna hiyo (ingawa midomoni wanaonyesha kuwaponda). Kibaya zaidi wengi wao future hawana. Ndio maana wanaishia kua single mothers tu.
Kabisa mkuu. Baadh ya wanawake wanzimika na mabushoo, wanapigwa kitu wanatemwa. Ndio wanaanza kuhaha kusaka ndoa huku wako 1 mbele
 
Alinikataza nisivae suruali za kitambaa au cardet na viatu vya kupiga kiwi. Nisiwe nanyoa level moja.

Alitamani niwe navaa t-shirt na jeanz na raba, kichwani niwe nanyoa pembeni naachia kidogo juu, au ikiwezekana niwe nazinyongorota virasta. Ndevu niziachie kama za kina Rick Ross, Na niwe naenda gym kujaza body. Hivyo vingine nilishindwa ila alinifanya niwe napiga tizi na mpaka sasa nashukuru mazoezi yamekua sehemu ya maisha yangu. Ingawa mm na yule binti hatukuweza kufika mbali.

Nilichogundua, hawa masista duu wanawaadmire sana hawa mabishoo wanaojiweka namna hiyo (ingawa midomoni wanaonyesha kuwaponda). Kibaya zaidi wengi wao future hawana. Ndio maana wanaishia kua single mothers tu.
Wanyoa viduku wanatutombea sana mademu zetu
 
Back
Top Bottom