kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Wataalam, kwanini mnadhani kila kitu kinabadilika na kuwa ghali? Ni kuupiga tafu uchumi unaokufa?

    Ni kama mambo yamebadirika sana na hakuna anayewaza juu ya mizigo hii mizito kwa wananchi Tulianza na umeme, Tsh 27,000 hadi 300,000+ Nafaka kutoka bei ya kila mtu anunue akale na kwa Milo yote mitatu, na sasa ni wachache sana wanaokula Milo mitatu kama siyo viongozi tu na wenye nafasi hapo...
  2. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kinachokwamisha Simba kuuza hisa zake ni kitu gani?

    Mpaka sasa wana-Simba hawajauziana hisa za klabu yao hiyo. Ni kitu gani ambacho kinakwamisha wana-Simba wasiuze hisa za klabu hiyo?
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Kitu nataka niseme kuhusiana na Mechi ya Leo ngoja ninyamaze Presha zisiue Watu

    Kujiamini kulikopitiliza + Dharau + Furaha = Kutokuamini kwa Kitakachotokea leo kwa Mkapa.
  4. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kinafanya mtu awehuke katika baadhi ya matendo?

    "Kuuliza si ujinga" Elimu ni kubwa sana tunatofautiana katika uelewa wa kila jambo mfano mimi nilipokuwa form four wakati tunasoma kitabu "Pass like shadow" nilikuwa najua kuwa main thesis ya kitabu ni ukimwi ambaopo kuna mdada alikutautana na jamaa Mwenye HIV (Nimemsahau) Ila hakuathirika ila...
  5. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Hakujawahi kuwepo kitu kinachoitwa COVID duniani. Ni uongo wa mabeberu

    Wakuu wakati wa Corona sikuamini uwepo wa hiyo kitu wala habari zake nilikuwa sisikilizi na Barakoa nilikuwa sivai. Naamini hata Hayati JPM alikuwa na msimamo kama wangu. Ulikuwa ni ugonjwa unaosambazwa kwa njia ya taarifa ya habari na sio vimelea. Ushahidi: Habari za kimataifa na kidunia...
  6. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Mariam mama yake Yesu alizaa akiwa na miaka 12 kwa baraka zake Jehova / Mungu, kipi cha ajabu kwa wakristo kukataza mabinti wa miaka 15 wasiolewe?

    leo hii katika suala la kuoa inashangaza sana wakristo wakiwa wanapiga vita kubwa sheria ya mabinti wenye miaka 15 kuolewa kwamba inaendana kinyume na ukristo. Utamaduni wa israel katika uliwachambua mabinti katika makundi matatu NA’ARAH ( נַעֲרָה ) - huyu ni msichana ambae bado hakufikia...
  7. Desierto

    JamiiForums Tanzania Umewahi tokewa na kitu gani kisicho cha kawaida mpaka ukamshukuru Mungu?

    Mwaka 2013 nilipofika dar nilifikia maeneo ya magomeni mapipa kwa ajili ya kufanya kazi za ndani, basi bhana ratiba za kazi ilikuwa kama hivi; Nikiamka saa 12 nichote maji nioshe vyombo, nifua ninywe chai, nibebe maji ya kandoro nikauze tripu ya kwanza maji 50, ya pili na yatatu, mpaka saa 11...
  8. Labani og

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji: Simba inanipa hasara, ningenunua hata Ndege

    MO: SIMBA INANIIGIZIA HASARA, KAMA SIO SIMBA NINGEKUWA NA NDEGE. “Simba ni klabu ambayo nimeipenda tangu nikiwa mdogo, naipenda Simba kutoka moyoni, mechi ya juzi tulipofungwa na Raja nimekaa kwenye Gari nimelia" “Nimewekeza kwenye Simba sio kwaajili ya pesa huu ni mwaka wa sita, tumekubaliana...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kinaitwa uungwana au huruma katika kuongoza Taifa

    Kama Taifa lingeongozwa kwa ungwana na huruma basi Taifa Hilo lazima liwe ktk hali dhoofu na kutowajibika kwa viongozi. Taifa linaongozwa kwa amri na taratibu Taifa linaongozwa kwa codes na nje ya hizo codes tunakula kichwa Taifa haliongozwi kama unavyo mlea mtoto hapana Taifa linaongozwa kwa...
  10. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Ali Kamwe na utopolo wenzake hamna kitu kinaitwa mashindano ya CAF, Kuna Cafcl na Cafcc

    Mwambieni bwana mdogo Kuna Caf champions league "Cafcl" na kombe la malooser" CAF confederation cup 'cafcc'. Tofauti zake ni kuwa Cafcl ni ligi kwaajili ya mabingwa tu na hyo nyingine ni kombe la shirikisho ni Kama viti maalumu tu vya wanawake pale bungeni.. Mwambieni ache kupoteza watu maboya...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuna vitu ukivipuuza na kuvidharau vitakudhalilisha tu utake usitake!

    KUNA VITU UKIVIPUUZA NA KUVIDHARAU VITAKUDHALILISHA TUU UTAKE USITAKE! Anaandika, Robert Heriel. Shahidi! Leo sina maneno mengi, nimekula kiporo cha Wali maharage hapa, Kwa kweli ni kitamu ingawaje sipendi vile kinavyonilewesha na kunipa uvivu. Haya ni mambo ambayo ukiyapuuza na kuyadharau...
  12. Pac the Don

    JamiiForums Tanzania Nilisema wakati unakuja kila kitu kitaanikwa hadharani

    Wacha inyeshe tuone panapovuja! Truly kama Taifa tulipita kwenye kipindi kigumu mnoo!! NB; kusema ukweli sio dhambi ingawa wanadamu hawataki kusikia ukweli! == "Ninachokiona kuna uwezekano wa Rais Samia Suluhu Hassan kupita bila kupingwa kwenye uchaguzi kwa jinsi mambo yanavyokwenda. Kwa halali...
  13. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kinaniuma Kama ndugu zangu wote kuzalia nyumbani

    Nilichogundua wanaume wa Tanzania waongo waongo tu. Dada zangu wote mbona hamjawaoa mmeishia kuwapa Mimba tu. Yaani wanaume ni waongo Sana mlikuwa mnawapeleka guest na Magari, leo hii dada zangu wanatembea kwa Miguu kwenda Kliniki (clinic) Wanaume ambao wapo serious na hawana mpango wa...
  14. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Afya ya Wananchi ni kitu muhimu kuliko vyote. Kwanini tusitoe ruzuku kwenye mifuko hii ya bima za afya zinazosuasua?

    Afya ya wananchi ndiyo kitu muhimu kuliko vyote. Shughuli zote za uchumi wa nchi zinategemea sana afya za wazalishaji kuwa na afya njema ya kimwili, kisaikolojia, kiakili na kiroho. Hii mifuko ya bima za afya ambazo ndiyo tegemeo kuu kwa afya za wananchi zimekuwa zikisuasua kutokana na ukata...
  15. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ufanye pale unapofikwa na dhahama kwenye mapenzi (mapenzi chechefu)?

    Wasalaam wana JF Hakika maumivu ya mapenzi ni magumu sana, hayasikii pain killers, pombe, bangi, maombi na ata ushauri (nasihi). Wapo waliopoteza maisha au kupoteza muelekeo katika maisha waliyoyapoteza. Jambo hili ulione na kulisikia kwa wenzio, usiombe likukute. Pamoja na magumu na machungu...
  16. 90sgeneration

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma ya kuuza vitu kwa wale walio na vitu stoo wanataka kuuza au kitu chochote unataka kukiuza

    Wakuu habari, Kama kichwa cha habari kinavosema. Kuna wale watu humu ndani ambao wana mali zao na vitu vyao wangependa kuuza ili wabadirishe wanunue vingine, au wangependa kuuza ili waviondoe tu visijaze nafasi au havina matumizi tena au wanashida ya kifedha, basi karibu nikisaidie kuviuza...
  17. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Siasa ni mchezo mchafu, Milioni 5 tu zinafanya aongelewe kila mechi

    Wanasiasa ni watu wabaya sana, wakitaka kukufadhili kitu bora ukatae, ni fursa ya kuwatangaza kisiasa hiyo. Yaani mama akaona atazungumziwaje kwenye soka. Akajifanya ananunua kila goli, sasa imekuwa too much kwenye kila radio kila kiongozi, fedha za mama, fedha za mama!
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kipimo sahihi kwamba unapendwa na mpenzi wako au hupendwi ni pale unapokua huna kitu

    Hiki ni kipimo sahihi cha kujua kama mpenzi wako anakupenda kweli au anapenda tu pesa zako na hapa naongelea zaidi kwasisi wanaume. Unakuta mtu ana mpenzi wake wa kike na anajinadi kwa watu kwamba mimi mwanamke wangu ananipenda, umetumia kigezo gani kujiaminisha hayo unayotamka ? Umeingia...
  19. kibangubangu

    JamiiForums Tanzania Kila kitu ni UONGO

    1. Maisha ya Duniani ni Uongo 2. Unachowaza ni Uongo 3.Umaskini ni Uongo 4.Utajiri ni uongo 5.Furaha niuongo 6.Huzuni ni uongo 7.Tarehe na siku ni Uongo 8.Usiku na mchana ni Uongo 9.Watakao zaliwa kesho watakutana na huu uongo...hadi pale wakifa 10.Kisicho hai ndo kinaishi duniani muda mrefu...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Video: Maajabu ya Uumbwaji Ulimwengu. Binadamu si kitu, Isa 40:28 "Akili zake hazichunguziki"

    From smallest atom to multiverse
Back
Top Bottom