kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kitu gani huwa kinaishikilia reli ardhini?

    Eti wakuu sana. Ni kitu gani kinaishikilia reli ya treni ardhini?
  2. Myahudi Jr II

    JamiiForums Tanzania Hivi sisi Tanzania Tunashindwa wapi hii kitu?

    Wakati Tanzania Iphone ni kama Lulu, wanawake wanahongwa iphone haijalishi ni mdogo au mkubwa ila wanafuraha sana na kutamba wanatumia "latest Iphone" Wenzetu unapewa simu unalipa $15 kwa mwezi ambazo ni TSHS 30,000 tu Shida ni nini? Hizi hapa ni bei kabla ya punguzo unapewa simu kwa mkopo...
  3. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Hivi mbona wachungaji wanajifanya wanajua kila kitu?

    Mbona madhabahu na injili inavamiwa na washamba sana, yaani akili ya kusoma vifungu vya bible, na hizo lukutu lakata leketee feki ndio wanajifanya na kujikuta wanajua kila kitu, mahusiano wanajua sana, heshima wanajua wao, sifa za kuoa wao, sifa za kuolewa wao, namna ya kutongoza wao namna ya...
  4. mweatu

    JamiiForums Tanzania Hii kitu huwa inauma lakini pia huwa inahamasisha kupambana

    Pale ambapo upo mkoani na unapambana kupata ajira, halafu unapata interviews za Dar mara kadhaa, na unafikia kwa washikaji zako huko Dar ambao kiasi fulani maisha wameyaweza. Ni wa umri wako, wengine hata classmates. Unakuta wana mijengo saafi, usafiri, unakaa pale comfortably unakula...
  5. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Hii kitu naomba mnieleweshe

    Kitabu Cha Waefeso 5:31 BHN “Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili mmoja.” Sasa inakuwaje mwanaume ananiletea ndugu zake Tena inakuwaje kakiuka maandiko . Mnavyoooa mmeoa mje mkajenge familia yenu na mzae nampate watoto. Ila...
  6. Pdidy

    JamiiForums Tanzania KITU PEKEE MESSI ANAWEZA ONDOKA NACHO WCUP N MCHEZAJI BORA/MFUNGAJI BORA VINGINE ATAONA KWA MACHO

    DJ NIPE KWANZA NYIMBO YA SINA UBAYA SINA UBAYA NAE UKWELI HALISI EO TUNAISHIA TAMATI TA MASHIDANO YA WCUP NAJUA WENGI WMECHEPUKA SANA KUSINGIZIA WCUP KBW ZAIDI NDUGU YANGU MESSI KITU PEKEE ANAWEZA ONDKKA NACHO LEO N MFUNGAJI BORA HII N 75% MCHEZAJI BORA 90% UBINGWA ASAHAU KABISA NA KAMA...
  7. Desierto

    JamiiForums Tanzania Tufunguke kuhusu hii kitu kwa unavyoijua au kuisikia

    Naamini hakuna ambaye hajawahi ona hii kitu Naombeni kujua maana Na kazi yake maana nimegundua huu sio urembo
  8. APPROXIMATELY

    JamiiForums Tanzania Kitu chenye thamani sana

    Habari zenu..... Binadamu wanaongezeka sana,ila aridhi haiongezeki,tena inazidi kupungua kila kukicha,kama unauwezo wekeza kwenye kununua aridhi sehemu tofauti tofauti,tena nunua kwa kufuata maendeleo ya mji yanavyokuwa,angalia ramani za mji ndo ununue.. Aridhi ukinunua leo baada ya miaka...
  9. Kadoda nguku

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya ya wajumbe wa NEC, kipo kitu nyuma ya Pazia, Mwenyekiti shtuka

    Uchaguzi umekwisha , na wajumbe wa NEC wamechaguliwa. Itoshe kusema kanda ya ziwa ndio walio shinda kwa kurudi na wagombea wao wote. Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara 👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼 Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa...
  10. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Dashboard ya gari inaandika "Change Engine"

  11. Q

    JamiiForums Tanzania Nashauri tususie mada za Ushoga na Udini

    Habari zenu wapwa. Nisiwachoshe. Wote mnaona jinsi kumekuwa na wimbi kubwa la nyuzi za Ushoga hasa za kujifanya kupinga na kulaani Ushoga. Ndugu zangu msidanganye,publicity ni publicity hakuna publicity mbaya.Kitendo tu cha kuandika neno Ushoga tayari umeu promote.Hata ukiandika MASHOGA WAULIWE...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge CHADEMA: Tuhoji kila kitu, asimulia alivyoshinda Ubunge 2020

    02 December 2022 Sumbawanga, Rukwa Mbunge pekee wa CHADEMA Mh Aida Khenan aelezea mbinu alizotumia mpaka kushinda ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 Hali ilikuwa mbaya baada ya CCM kubaini mbunge wa CHADEMA ameshinda, wengi waliswekwa mahabusu lakini wananchi wa Sumbawanga walisimama...
  13. FourTwoNet

    JamiiForums Tanzania TANESCO vipi lakini?

    Hivi kwa hizi mvua ninazoziona, mpaka mjini zinanyesha, huko milimani ndiyo itakuwaje? Yaani hapo ni tufanye mvua ndiyo sababu ya mito kujaa maji, maana yake vyanzo main ni chemchem. Kama ulikuwa umepanda maharage yako, tegemea kula kande. Ila TANESCO vipi lakini? Hivi kweli 2022 mnatufanyia...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Katika ukoo wetu mimi ndiye wa kwanza kuwa mwajiriwa wa serikali, jifunze kitu hapa

    Kulikuwa na minong'ono kuwa ndugu yetu mkubwa ni mchawi na ana roho ya wivu. Mafanikio anataka yawepo ndani kwake tu. Wengine walikuwa mpaka wanakuwa wa kwanza kiwilaya katika mitihani ya dhihaki (mock) darasa la saba. Ikifika mitihani ya taifa wenzake aliyowaburuza darasani wanapangiwa Mzumbe...
  15. Eagle Wa njano

    JamiiForums Tanzania Kwanini bara la Afrika lipo nyuma kwa kila kitu kuliko mabara mengine?

    Habari gani ndugu wananchi? Kuna jambo limeliwaza sana hasa nilipokuwa nikitazama kombe la dunia hii leo kule Qatar. Shida hivi ipo wapi kwa nchi za kiafrica? Kwann kila kitu kibaya ni Africa? Uongozi, tunalalamikiana Africa, Sayansi na teknolojia tupo nyuma zaidi ya sana nahisi ndo wa Mwisho...
  16. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nikijua wewe ni dhidi yangu(Serikali) siwezi kukushirikisha. Utatumia sheria zote za Kimataifa, nitatumia za ndani kuku-bar

    Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake Kwa mfano Tanzania, miaka minne mitano iliyopita tulikuwa na Tanganyika Law Society ambayo frankly speaking...
  17. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa kuhoji kila kitu ni sifa muhimu ya ukuzaji wa ubinadamu na chachu ya maendeleo katika njia tofauti

    Binadamu ameumbwa kwa upekee unaomfanya kila mmoja kujuona kwa namna yake. Hitaji kubwa la mwanadamu ni uhuru dhidi ya kila kitu. Taasisi nyingi zilizopo leo kwa upekee wake zina mazingira ya kupora uhuru na kujenga mazingira ya hofu kwa mwanadamu ili aweze kutawalika. Baadhi ya maandiko ya...
  18. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ni kitu cha ovyo sana. Inasababisha kuwa na viongozi wenye maneno mengi, matapeli na waongo kupindukia

    Kwenye demokrasia hakuna kitu cha maana huwa kinafanyika. Mnaishia tu kuwa na viongozi waongeaji sana na waongo waongo. Wanaotatua matatizo kwa maneno na si matendo. Watu wa zamani waliona kabisa ubaya wa huu mfumo. Leo nchi yetu imejaa wapiga maneno, matapeli na waongo-waongo. Mtu anaweza...
  19. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Umewahi kufanya kitu gani cha maendeleo katika jamii yako?

    WanaJf, SALAAM! Jukwaa hili linaundwa na watu mbalimbali wa lika, na jinsi tofauti - wa elimu na ufahamu tofauti - wa viwango na nafasi tofauti. Wote wetu tumegeuka kuwa wakosoaji wazuri wa masuala hasa ya kijamii na kiuchumi. Ni jambo zuri kukosoa lkn ni jambo zuri zaidi kuonesha njia kwa...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania CCM imejaa waoga, wanaogopa kila mtu na kila kitu

    CCM imechakaa sana, imekosa watu wenye nguvu za hoja, imejaa watu waoga wanaogopa hata watoto wadogo wanaopigana wakiwa wamevalishwa sare za CCM. Walianza kuogopa wapinzani lakini sasa wanaogopana hata wenyewe kwa wenyewe. Wasipokuwa makini lazima kutatokea jambo lisilofaa.
Back
Top Bottom