kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kitu gani kilikufanya uache kuangalia Movi za kibongoi!? Na una lipi la kuwashauri?

    Kitu gani kilikufanya uache kuangalia Movi za kibongo? Na una lipi la kuwashauri?
  2. JamiiForums Tanzania Mwanaume, kitu muhimu kwenye Mahusiano ni kumuongoza Mwanamke

    Kama kuna kitu hujajifunza basi kitu pekee ukichukue ni uongozi. Muongoze mwanamke tangu unamsalimia ‘mambo’ hadi mkiwa kitandani. Na kama unaendelea naye na mahusiano, endelea kumuongoza hadi pale kifo kitawatenganisha. Ukiacha kumuongoza ndo mazoea huanza. Wote mnakosa hamu ya kimapenzi kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Watu mtambue majukumu yenu sio kila kitu Serikali

    Habarini za mchana wapendwa Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza naomba watu watambue wajibu wao sio kila kitu serikali sasa mtu anakomaa eti serikali itoe tamko kuhusu ushoga utazani serikali ndio imewatunzia vinyeo vyao hii watu wawape watoto wao malezi bora na wao wajilinde ili...
  4. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wapo slow karibu kwa kila kitu

    Nawasalimu Kwa jina la Jamhuri, Bado nafanya utafiti kujua ni sababu gani inayowafanya watanzania kuwa Slow karibu kwenye mambo yote. Suala la kufanya vitu Kwa wakati Kwa mtanzania ni kipengele. i) Ukienda kwneye maofisi ya umma watumishi wengi wapo slow, yaani ishu ya dakika tatu inaweza...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi ukiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo utafanya nini kwa Taifa lako?

    Suppose umepata nafasi ya kuwa Rais wa Tz. leo keeping other factors constant ungefanya nini au mambo gani mema yenye kuleta maendeleo usisahaulike? I well come you all
  6. JamiiForums Tanzania Sijasoma hila unambii kitu utanidanganya nini kauli za vijana wa Kitanzania wenye Upumbavu uliokubuu

    Hivi mnajikutaga wakina nani? Elimu huna ata maarifa sifuri kila kitu unajua ,unafahamu wewe. Hata kama unakijua kitu sikiliza pinga kwa hoja sio kubishana. Kitu hujui ila utasikia unambii kitu wewe. Au wewe kama nani? Daah Kweli baadhi ya vijana wa kitanzania ni wendawazimu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Marekani hajawahi kujifunza: Kufanya kitu kile kile ambacho hakijaweza kumletea matarajio aliyotegemea. They are not pragmatic!

    Marekani imekuwa ikijaribu kuzuia maendeleo ya nchi inazozihofia kwa kuziwekea vikwazo kwa matumaini kwamba zitadhoofika kiuchumi na kuzifanya zisiendelee kijeshi hata kuzifanya zisiwe tishio tena. Mategemeo yake ni kuwa zitakuja kumpigia magoti na kumwabudu kana kwamba kuwepo kwao kunategemea...
  8. JamiiForums Tanzania Forex: Sandile Shezi kutoka South Africa kawapiga na kitu kizito wanafunzi wake yeye huyo Asia

    Mwaka 2017 May ni mdau niliye shawishika sana kujiunga na jamii forum, kabla ya hapo nilikuwa nasoma tu na kupita hivi na sikuwa member. Ikaja thread moja kutoka kwa kijana machachali ontario kuhusu forex nikasoma na nikashawishika sana, kwa kipindi hicho nilikuwa mwa watatu chuo so kuna course...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Titles za degree za bongo zinatisha na zina maneno mazito ila ndani ya vichwa vya waliosoma hamna kitu, msitishwe na titles

    Kuna midigree inatisha ukisikia mpaka unajiuliza huyu mtu kweli namvyomjua ni kilaza hivi amewezaje kuviweka kichwani. Kumbe ukianza kuongea naye hamna kitu ila Cheti chake kinatisha. Mfano banking na financial services, sijui highway engineering sijui educational policies and planing etc...
  10. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ulishawahi kukatazwa na mpenzi wako hadi ukajiuliza hivi huyu ananichukuliaje?

    Ni kitu gani ulishawahi kukatazwa na mpenzi wako hadi ukajiuliza hivi huyu ananichukulia je?
  11. JamiiForums Tanzania Kumbe CAF super league wanachukua hadi timu mbovu

    Hizi ni timu nane ambazo zimepewa nafasi ya kushiriki super league. 1) Tp Mazembe 2) Es Tunis 3) Petro Luanda 4)Horoya 5)Simba 6) Wydad 7) Mamelod 8) Al Ahly Wakati mashindano haya yanazinduliwa, Simba waliinasibu kuwa ni mashindano ya timu bora tupu ndio zinazoshiriki hayo mashindano, lakini...
  12. JamiiForums Tanzania Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

    Labda kwa wale ambao tupo JF muda mrefu tunafahamu vizuri William Malecela Le Mutuz na Neema Ngwilulupi walikuwa ni wana ndoa na wanaishi Marekani ni member wenzetu wa hapa JF. Le Mutuz alishaandika mwenyewe historia ya maisha yake Marekani Kwahiyo Mimi sina cha kuongeza. Ila nimesikitika sana...
  13. JamiiForums Tanzania Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali

    Mke wa Ashraf Hakimi amempeleka mahakamani ili kupata talaka na alitaka Mahakama iwagawanyishe mali. Baada ya Talaka kufanikiwa na kukubaliana kugawana mali, ikagundulika kuwa Ashraf Hakimi hakuwa na mali yoyote na hata akaunti zake benki hazikuwa na pesa yoyote. Inaelezwa kuwa mahakama...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Nchi imeoza. Kila kitu kinaenda mrama

    Tunashuhudia jinsi ambavyo mambo yanaenda ovyo kila mahali ukilinganisha na utawala wa marehemu JPM. Hali ni mbaya sana. Huyu Rais kwa kweli hatufai Watanzania. Hili ni jambo la wazi kabisa. Huduma za jamii zimedorora lkn kila kukicha tunaambiwa Serikali inakopa lakini matokeo hatuyaoni...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia ana kitu cha ziada atafika mbali Sana

    Mwanzo mimi ni moja ya watu ambao sikuamini kwamba Rais wetu mpendwa atatuvusha katika utawala wake. Lakini baada ya kuzitazama tawala zote 6 toka tupate uhuru pengine Rais Samia kwa mtazamo wangu ni Rais mwadilifu baada ya Hayati julius Nyerere. Ndiye rais ambaye hana makelele na hotuba za...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia kila kitu hujui ni bora ujiuzulu

    Mara kadhaa nimekuwa nikifuatilia Bunge hasa akiongoza Spika, Dk. Tulia kila jambo analosema Mbunge yeye anasema halijui afundishwe au aeleweshwe, mtakumbuka sakata la TRAB na TRAT aliuliza ndio kituo gani hicho? Sasa unawezaje kuwa Spika hujui hata maana ya TRAB na TRAT. Mara ya pili...
  17. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani unahofia/unaogopa kisikupate mpaka unaimaliza safari duniani?

    Kuna vitu tumekua tunaogopa au kuhofia visije kutupata katika maisha yetu. Tukianza na mimi hivi ni miongoni mwa vitu ambavyo vinanisababishia hofu: Kupata ajali ya aina yoyote pikipiki au gari Kung'atwa na viumbe vyenye sumu kama nyoka, n'ge, tandu au buibui Kuuawa Kupata ulemavu wa viungo...
  18. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kilikufanya uamini uchawi upo?

    Ni kitu ganikilikufanya uamini uchawi upo? Ebu tujuzane hapa 👇👇👇👇👇
  19. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu aina ya Nokia C10 ikiwa na kila kitu Ilichokuja nacho (Fullbox), nimeitumia kwa miezi 2 ruksa kuikagua

    Technical specificationsNokia C10 Shoot HDR photos and admire them on the HD+ screen. Colors Light Purple Display Aspect ratio: 20:9 Cover glass: Toughened glass Features: Brightness 400 nits (typ.) Size:6.5 inch Resolution: HD+ (720 X 1600) 6.5 inch Imaging Features: Night mode, HDR...
  20. JamiiForums Tanzania Kitu gani kilikufanya ukampenda sana mpenzi wako?

    Moja ya vitu vigumu kuvielezea mbele za watu ni hisia za upendo. Hata ukimuuliza mtu aliyeoa/kuolewa, sababu iliyomfanya kumpenda mwenza wake, majibu mengi yatakuwa ni kwasababu ni mcha Mungu, ana heshima, yuko smart sana. Lakini mtaani wenye sifa hizo wapo wengi, swali gumu kuelezea linabaki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…