kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uthubutu na kuiweka hofu kando, kila kitu kinawezekana

    Haujambo mwafrika, haujambo mtanzania? Katika jukwaa la stori za mabadiliko, ninayo furaha kubwa kuwasalimu kwa jina la mtanzania na muwe na amani hata milele Amina. Niko na wazo langu, ambalo kupitia jukwaa hili, huenda likaleta mabadiliko kwenye jamii yetu ijapo hata kidogo tu. Nina uliza...
  2. JamiiForums Tanzania Viongozi wa kisiasa waache kuwakashfu viongozi wa dini kwenye mikutano yao

    Namsikia Lema akiwakoromea viongozi wa dini kwa maneno ya dhihaka na dharau kwa kuwa tu hawajahudhuria mkutano wa siasa, kana kwamba na wao ni wanasiasa au wanalazimika kufanya hivyo. Wana hiyari ya kuja au kutokuja, wasipokuja hawana kosa na wakija pia hawana kosa, iweje wasipokuja uwaone...
  3. JamiiForums Tanzania Jere Van Dyk: Nilichukuliwa na Taliban mara nilipokubali kukatwa kichwa kitu cha ajabu kilitokea

    Jere Van Dyk alikamatwa na kushikiliwa na kundi la Taliban kwa siku 45 katika eneo lisilo la mtu kati ya Afghanistan na Pakistan, ambapo alikabiliwa na hukumu ya kunyongwa. Kadiri matukio ya kutisha yanavyoendelea, watu kunyakuliwa na kundi la Taliban na kuuawa kwa kukatwa kichwa lazima iwe...
  4. JamiiForums Tanzania Simba Sc hatujamaliza, Saa 7 tunasambaratisha kila kitu

    Wakati kibegi kikiendelea kurindima na nyuzi kali, fahamu kwamba hatujamalizaa. Leo saa 7 mchana tunamtangaza mkali wao na kusambaratisha kila kitu.
  5. JamiiForums Tanzania Kitu gani kitanizuia kuwa Kama Elon Musk

    Habari Wana jf Mimi ni mtanzania niliye na shauku kubwa ya kuwa mtu mwenye ushawishi mkubwa duniani hasa wa kifedha , Elon Musk ndiye role model wangu. Nikifatilia story za Elon Musk ili nijijenge zaidi 👉Kwenye Kati ya speech yake Elon alisisitiza watu wafute social media, basi nami...
  6. JamiiForums Tanzania Hiki ni kitu gani jamani?

    Ni nini!?
  7. JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo: Mkataba wa Bandari unafanana kila kitu na mkataba wa ujenzi wa Mlimani City

    Ukienda pale Dar es Salaam kuna sehemu inaitwa Mlimani City, na wengine wakienda Dar es Salaam na kama hawajafika Mlimani City wanahisi hawajafika Dar es Salaam. Wakati tunaijenga Mlimani City tuliambiwa tunakiuza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kumbe tulichukua eneo dogo na kumpa mwekezaji...
  8. JamiiForums Tanzania Leo tuwape Mods na Kiongozi Melo maua yao. Mod gani anakukosha? Alifanya kitu gani ukafurahia uwepo wako JF?

    Wakuu kwema? Mada inajieleza kabisa hapo. Leo ni tuwape Mods wa JF pamoja na Muanzilishi wa JF, kioo cha wengi Bwana Maxence Melo maua yao. Sema jinsi Mods na Melo wanavyosaida siku yako iwe nzuri kila unapoingia JF. Ulifanyiwa kitu gani kikakupendeza mpaka ukatamani uwatoe hata ka ofa ka...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hivi hili la bandari nalo likipita kwa ushwari uliolengwa na mamlaka, je ni kitu gani au jambo gani tena la kutuingiza barabarani kama nguvu ya umma?

    Kama kuna jambo ambalo limeamsha hisia na vuguvugu za kizalendo kwa kipindi kirefu kilichopita, na kupata sapoti ya wanazuoni wanaoheshimika ndani na nje ya nchi ni hili la bandari. Pamoja na kuwa wazi kabisa kwamba kuna kila dalili ya kuja kulilia huko mbele ya safari kuwa viongozi wetu...
  10. JamiiForums Tanzania Nikiwa nafanya meditation napaswa kuwaza kitu gani?

    Wakuu habari za majukumu, Huwa ninafanya mazoezi, na kila baada ya mazoezi nakaa kitako, nafumba macho nikivuta hisia. Wakati huu napaswa kufikiria jambo gani? Update. Nashukuru nimepata link. Meditation: Maana, njia na faida zake
  11. JamiiForums Tanzania MB DOG: Diamond Platnumz amenidhulumu wimbo wa Mapenzi Kitu Gani

    "Google wimbo huu wa Mapenzi Kitu gani au ingia YouTube halafu ataona. Nenda kwenye more Information utaona jina la Msanii aliyeimba wimbo huu imeandikwa jina la #DiamondPlatnumz. Ubunifu kama huo lakini nikitaka kuutumia napigwa stop. Unapotaka kuutumia kwa ajili ya maisha ya familia ili nipate...
  12. JamiiForums Tanzania Giggy ana kitu, atafika mbali

    Giggy akipiga bonge la Own Goal (OG). Ana kitu
  13. JamiiForums Tanzania Elibariki Kingu ni mtupu kichwani, hana kitu!

    Member type: Constituent Member Constituent : Sing in the West Political Party : CCM Phone : +255786570111 P.O Box : Email address: e.kingu@bunge.go.tz Date of Birth : 1979-08-05 The history of education: School Name/Location Course/Degree/Award From To Level The University of Macedonia...
  14. JamiiForums Tanzania Wanaume, ni kitu gani unavutiwa nacho unapokutana na mwanamke kwa mara ya kwanza?

    Binafsi navutiwa na sauti nzuri laini.
  15. JamiiForums Tanzania Kama kila kitu kinachotokea kwenye maisha ya binadamu ni mpango wa Mungu then kwanini Wakristo na Waislamu hufanya jambo hili?

    Waislamu na Wakristu uhubiri kwamba kila jambo analolifanya mwanadamu na kila jambo analo fanyiwa mwanadamu ni mipango ya Mungu. Kama hoja hii ndio msimamo wa mafundisho ya kikristo na kiislamu then kwanini wakristu na waislamu HUTUBU DHAMBI ZAO kwa Mungu pindi watendapo dhambi? Kwa sababu...
  16. JamiiForums Tanzania Movie ya EONII hakuna kitu

    Nimeingalia movie ya EONII lakini haijanifurahisha kabisaaa. Advertisement waliyofanya AZAM ni kubwa sana lakini movie sifuri. Teknolojia iliyotumika ni kubwa kuliko movie yenyewe. Characters waliocheza movie wamemezeshwa maneno ya kuongea hata mzuka haupo. Angalau Azam wangetafuta professional...
  17. JamiiForums Tanzania Kumbe vunja Bei kapigwa kitu kizito mno. Nimeona igenda amevaa jezi mpya ya Simba ikiwa na nembo ya VB akijitambulisha lkn inazibwazibwa

    Nimemuona huyo jamaa mkenya uko Simba app akiongea kavaa Uzi mpya juu ya nembo ya mo xtrer Kuna nembo ya VB inapaushwa kwenye video editing ili isisomeke. Kweli VB alifanya kosa kubwa kutoweka nembo za mo kwenye Uzi wa Simba wa kimataifa hata msahau Muhamedi Kamwe.
  18. JamiiForums Tanzania Kitu pekee kitakachoitoa CCM madarakani ni mgawanyiko wa ndani ya chama na sio vinginevyo

    Nimekuwa nikisoma mashambulizi mbalimbali mitandaoni dhidi ya chama kilichobeba matumaini ya watanzania wote wakiwemo wanaokiponda hasa CHADEMA na kujikuta wakati mwingine niwaze kitakachoitoa CCM madarakani. Ukisoma maandishi ya wapinzani unaweza ukatishika na kudhani mwisho wa CCM ndo...
  19. JamiiForums Tanzania Kosea vyote lakini sio kuoa au kuolewa. Najuta

    Wanasema kosea vyote lakini sio kuoa au kuolewa. Nipo kwenye ndoa nae mwaka wa sita huu lakini sasa ni mtihani mtupu. Mke wangu ana kiburi cha asili, gubu na wivu wa kijinga sana na kwenye ndoa tuna watoto watatu. Hakuna anachokosa natimiza wajibu wangu kama mume, sijikwezi lakini ukweli mke...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali yasema haiwezi kubadilisha kila kitu kwenye Sheria ya Habari

    Naibu Waziri wa Habari na Teknolojia ya Mawasiliano, Kundo Mathew amewataka wadau wa habari kutosheka na maboresho ya Sheria ya Huduma za Habari Sura ya 229 akisema ni hatua kubwa imepigwa. Ameyasema hayo leo Julai 6, 2023 alipokuwa akifunga mradi wa ‘Boresha Habari’ wa taasisi ya Internews...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…