kitonga

Kitonga is a town in eastern Tanzania near the coast.

View More On Wikipedia.org
  1. Aerma

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza laptop bei kitonga-Mpya kabisa

    Nauza laptop my kabisa Laptop HP laptop 17 Processor: 11th gen, Intel tm 1.5 Hard drive: Ram 476 GB Memory: 16 GB Location: dar es salaam Contact: 0756523615 Price: 450,000.
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Shule ya Msingi Kitonga (Dar) ina Wanafunzi 4,000, Walimu 14, Madarasa 13

    Shule ya Msingi Kitonga iliyopo kwenye Halmashauri ya Jiji Dar es Salaam (Ilala) iliyopo Kata ya Msongola, Kitonga ina Wanafunzi zaidi ya 4000 ambao wanatumia madarasa 13 huku wakitegemea Walimu 15. Utaratibu wa shule hiyo Wanafunzi wote uripoti asubuhi ambapo baadhi ya Wazazi wenye Watoto...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Viti vinauzwa kwa bei ya kitonga

    Habari zenu ndugu zangu, Nauza viti vilivyotengenezwa kwa Chuma na mbao. VISHAUZWA
  4. Abubakari Mussa

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa TV pamoja na Friji

    Mdau umewahi kusikia kuhusu Tv guard ama Fridge Guard? "Bidhaa za Ulinzi wa TV na Jokofu: Kuweka Vifaa Vyako Salama na Imara! Je! Umewahi kuwaza jinsi ghafla umeme unavyozimika au kuwa na spikes za umeme zisizotarajiwa zinaweza kuathiri vifaa vyako vya umeme kama TV na jokofu? Ndiyo maana...
  5. Hckcode8

    JamiiForums Tanzania Mtumiaji wa mtandao wa TiGO hiki kitonga kisikupite

    Download TIGO PESA APP (play store au app store ) jisajili utapokea 1GB , Kama tayari app unayo log out then hakikisha iko updated then log in again utapata 1GB
  6. A

    JamiiForums Tanzania Nauza Tv mbili (Hisense) na Ps3 kwa Tsh. 900,000 tu!

    SOLD....
  7. B

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza magari ya aina mbalimbali

    Altezza inauzwa million 5, Dar es Salaam… mwaka wa kufosi huu lazma uwe na ndinga yako. Kwa mawasiliano 0612630936
  8. Chief Kumbyambya

    JamiiForums Tanzania Kumbe wakimuona abdala kakasirika wanachanganyikiwa eeeh

    Habari zennu....! Habari zennu...!! Ebwana wazee mbona hatuambizaniiii..!!! kwa muda kidogo nimekua nikifanya haka kautafiti ili kugundua ni kwa namna gani naweza kumtega mwanamke kivitendo kama wanavyotutesa sisi na wao waone mateso tunayopata vile wakipita na kanga zao huku nyuma...
  9. CARIFONIA

    JamiiForums Tanzania Maharage bora na safi kabisa bei kitonga

    Jamani kama mnavyojua nchi hii bei za vitu avitabiriki, kujiwekea akiba ni jambo la msingi sana, leo sukari inasumbua lakini kwa waliokua na akiba ya kutosha mambo ni shwari. Haya hii hapa fursa maharage safi kabisa na bei ni kitonga unateleza tu, tunauza kuanzia kilo moja na kuendelea Kilo...
  10. W

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa ipo Toangoma Kigamboni

    nyumba inauzwa ipo mwembe mtengu tuongomb-kigamboni ina vyumba 3 Vyumba viwili (bedroom)na publi toilet main room[master room 1]na choo chake Dining room jiko sebule pia banda lake la nje lina chumba 1 na public toilet sebule n jiko ina ukubwa eneo qm 900 ina maji safi kbsa ni Km 1.9 kutoka...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mafuriko ya maji yametokea leo Disemba 5, 2023 Mlima Kitonga, Iringa

    Salaam Wakuu, Nimeona taarifa imepostiwa na Boniface Jacob kupitia ukurasa wake wa X ikiambatana na video inayoonesha maji mengi ya mvua yakitiririka katika barabara ya Mlima Kitonga. Video hii imepostiwa pia na Change Tanzania pamoja na MwanaHabari. Je kuna ukweli wowote kwenye hili?
  12. Salahan

    JamiiForums Tanzania Unanunua bidhaa masoko ya China, njoo nikuuzie yuan(rmb) bei kitonga

    Habari Wakuu. Kwa wale wanaonunua bidhaa masoko ya China hasa Yale yanayouza China tu (domestic) hukumbana na changamoto za njia ya malipo. Wachina wengi njia yao kubwa ya malipo ni Alipay na Wechat kwa pesa ya kwao Chinese Yuan. Chukulia Chimbo kama 1688 unaishia kula kwa macho maana huko ni...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Camera za Usalama kufungwa Mlima Kitonga ili kudhibiti ajali

    Jeshi la Polisi Mkoani Iringa kwa kushirikiana na Kamati ya Usalama Barabarani ya Mkoa huo, wapo mbioni kuanza utekelezaji wa mpango kabambe wa kuweka camera za kisasa kwenye maeneo korofi kwenye barabara kuu inayounganisha Mkoa huo na Mikoa mingine na kwa kuanzia camera hizo zitafungwa eneo la...
  14. wakukurupuka1

    JamiiForums Tanzania Basi kampuni ya Newforce limepata ajali Kitonga

    Kampuni iyo ambayo imemaliza mwezi uliopita kwa mabasi yake 12 kupata ajali na kuua abiria wengi Mwezi huu wa 7 pia wameanza kwa kasi ya ajali Leo hatimaye wamepata ajali nyingine kitonga na chanzo kikuu ni mwendokasi Serikali wamegoma kuifungia hii kampuni
  15. B

    JamiiForums Tanzania New Force yapata ajali Kitonga

    Mapema leo Julai 2, 2023, eneo la KITONGA imetokea ajali ya Bus la Kampuni la NEWFORCE, tusubiri taarifa kamili kutoka mamlaka husika.
  16. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Jermain Defoe kiboko ya wanawake wote wapenda kitonga au mteremko

    Salaam wakuu, leo nimeona niwajuze kuhusiana na kisa cha kushangaza kinachomuhusu mchezaji wa mpira Jermain Defoe. Jermain defoe huyu ni mchezaji wa zamani wa soka katika timu za Sunderland,toronto,rangers na Bournemouth. Huyu bwana ameushangaza ulimwengu kwa ujumla baada ya kuthibitika kuwa...
  17. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nikitizama mlima Kitonga naona pale pia tunaweza pata chanzo cha mapato

    Ndiyo, ule mlima kama serikali ikiangalia kwa umakini inaweza ikawa inatoza kiasi flani kwa kila gari inayopita pale. Kuna magari mengi sana yanapita pale kwa siku. Mengi sana, makubwa kwa madogo. Kule mwanzo kabisa wa mlima chini kungeweka gate. Magari madogo yalipie tsh. 1,000, size ya kati...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Inonga amekuwa kitonga mbele ya chirwa

    Uyu mzee wa midadi leo amekuwa uchochoro mbele ya Obrey chola chirwa, Inaonekana alitumia nguvu kubwa Sana kumzuia mayele asifunge akasahau kule namungo kuna kiumbe mwingine anayetumia nguvu na akili matokeo yake amekuwa anaburuzwa tu kama gari bovu sasa sijui atatetemeka na Leo au vipi
  19. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Serikali, TANROADS: Tunahitaji mkakati wa kupanua kipande cha barabara Mlima Kitonga, Iringa

    Kwa miaka mingi sasa eneo hili limekuwa eneo korofi kwa kusababisha ajali nyingi sana kila uchao. Kwa wanaotumia barabara ya TANZAM ni nadra sana upite KITONGA usikutane na ajali hasa ya magari makubwa.. Ajali nyingi kwenye kipanda-njia hiki ni za Malori na Mabasi kwa sababu zifuatazo:- 1...
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi 12 wa Azam Tv wapata ajali mlima Kitonga. Walikuwa wanaelekea jijini Mbeya kurusha matangazo ya NBC premier league

    Azam Media Limited (AML) inautaarifu umma kuwa wafanyakazi wake 12 waliokuwa wanakwenda mkoani Mbeya kwa ajili ya kazi ya kurusha matangazo ya mechi za Ligi Kuu ya NBC wamepata ajali baada ya gari lao kusukumwa na lori lililokuwa likirudi nyuma kwa dharula katika Mlima Kitonga. Ajali hiyo...
Back
Top Bottom