Kumbe wakimuona abdala kakasirika wanachanganyikiwa eeeh

Chief Kumbyambya

JF-Expert Member
Jun 16, 2022
490
1,461
Habari zennu....! Habari zennu...!!

Ebwana wazee mbona hatuambizaniiii..!!!

kwa muda kidogo nimekua nikifanya haka kautafiti ili kugundua ni kwa namna gani naweza kumtega mwanamke kivitendo kama wanavyotutesa sisi na wao waone mateso tunayopata vile wakipita na kanga zao huku nyuma wanamizigo, mara Dem mweupe kavaa mini sketi nyeusi na mpasuo kwa nyuma mpaka juu sasa tukiona kale karangi ka upaja kanakoishia kwenda juu hamjui tu ni shida gani tunaipata wanaume Ooohoooo.....

Sasa nina wiki mbili toka nimeanza haka kautafiti kangu na kamezaa matunda chanya haswaa..

Pale nilipopanga kuna wapangaji wengi wa kike na baadhi yako ni wake za watu ila rika wako around 30's... Sasa wanavaaga kanga wengine mara mitandio tu alafu wanainama ovyo ovyo ili mradi tu kuvuruga akili za watu, hasa wanaume tunaoishi mazingira yale. Sasa na mimi nimeanza utaratibu wa kila asubuhi nataka nje kupiga mswaki kifua wazi, garden love zimejaa kama misitu ya amazon nimevaa taulo alafu mtalimbo unakua umesimama balaa (Si u ajua tena mambo ya asubuhi lazima mtalimbo uende winga)....kwahiyo kwenye taulo panatuna kinoma alafu ninavyosukutua nautingisha tingisha hivi....

Acha waanze kunipiga jicho la kiwizi wizi.... alafu nawaongelesha makusudi ila hawaniangalii usoni wanaangalia palipotuna tu na wanaonekana kabisa wanatamani.

Bado naendelea kuwatesa kihisia kama wao wanavyotutesa.

Kwenye betting hapo ni sawa na both team to score...

Ngoja tuone naona kuna wawili tayari washaanza kuwa interested maana toka nilivyoanza haka kamchezo sasa hivi kila nikikutana nao baada ya salamu tu lazima washushe macho yao katkat ya miguu yangu.

Mitego hoyeeeeee....(Hoyeeree)
Nitaanza kufanya hivi na kwenye daladala mpaka kieleweke.

Huu ni mwaka wa kufosi (si ndo walivyosema wataalam wa huu mwaka?)
 
_20240226_171257.JPG
 
Sasa na mimi nimeanza utaratibu wa kila asubuhi nataka nje kupiga mswaki kifua wazi, garden love zimejaa kama misitu ya amazon nimevaa taulo alafu mtalimbo unakua umesimama balaa (Si u ajua tena mambo ya asubuhi lazima mtalimbo uende winga)....kwahiyo kwenye taulo panatuna kinoma alafu ninavyosukutua nautingisha tingisha
Haki ya mungu Duuh 😃
stow away Amepigaje hapo 👆
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom